Ipi sifa yako kuu moja inayoelezea personality trait yako?

mi ni introvert
 
Mtu bussy sana masaa yote sipend changanyikeni. Wananiita mwana Hip hop napenda kufanya mambo yapeke yangu japo had kunamuda najishuku ila ndo tabia yangu meshindwa kuibadilisha. Ila mwenye huruma pia kwa watu nnaowajua siwez kujivunga kutoa katu ikiwa ninacho
 
Me mchangamfu mno. Mtu akiniangalia tu nisha smile. Hata hivyo sipendi kujichanganya sana na watu....napendelea zaidi sehemu tulivu niangalie movie au nisome
 
Mimi Nina sura ya kutia huruma, naonekana sijiamini. But deep down ni totally opposite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…