Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

Kasome doctrine of necessity utaelewa vizuri maana ya haram na halali
 
Kitendo cha kutengeneza hizo unazozita internal confusions,ndio akili zenyewe sasa,kuna jamii ngapi duniani mbona wao wameweza kufanya hivyo?
Sasa hapo ndo tunakuja Upande wa Energy consuption maandalizi na vyakula Tunavyokula..
Wayahudi Hawali Chakula Ila Kiwe KOSHER..

Ila afrika Tunakula Kila kitu
 
Nipe uzoefu wako katika imani hiyo ya kiyahudi.
Upande gani Mkuu Maana ukisema Uzoefu bila Kutaka Upande Iko General Sana..
Ila ukitaja Upande tutaenda sawa..

Unaweza ukasema Nipe uzoefu kwenye Upande wa Kusali kwa wayahudi..
Nipe uzoefu kwa Upande wa Ibada..Nipe uzoefu kwa Upande wa Elimu, Nipe uzoefu kwa Upande wa Ukuaji, na Malezi nipe uzoefu kwa Upande wa Mgawanyo wa Madaraka etc..
 
Hahaaa eti kurwani,yani kitabu cha pedophile kije kuleta majibu ya kisayansi?
 
Duuh,kama umetahiriwa inakuaje?au kutahiriwa kukoje huko?
 
Ni hao waliomkataa Yesu, akili kubwa. Sisi tumempokea tu kichwa kichwa pasipo kuhoji.
 
Mkuu naewe si ukapige kelele kama ni rahisi,
 
Aisee,hii experiment hainatofauti na wafia dini katika ulimwengu huu.
 
Hivi mchinaa ana akili gani, kila sikuu kucopy vituu vya watuuu
Hata kukopy nayo nia akili,wewe mweusi umekopi tech ipi hadi sasa,angalia maendeleo ya china linganisha naya waarabu au watu weusi.
 
Wayahudi wanaamini biblia bna usidanganye.Kuanzia kitabu cha mwanzo hadi Malaki hiyo wanaamini na kuvifuata pasi na kuacha hata nukta moja.Wao hawaamini injili tu.
Vipi kuhusu yesu?
 
unakuwa na akili kisha unakuwa shoga vipi wewe unatamani mtoto wako awe kama Waisrael awe na akili kisha anatafunwa hiyo lost uliyokweka ni mashoga watupu.
Anzisha Uzi wako utajibiwa dogo!
hebu nikuulize!; ww umepewa kiigezo chema ibn abd allah usipo mgeza ni kafir dhahir eeh?!
👇👇

لَّقَدۡ كَانَ لَكُمۡ فِى رَسُولِ ٱللَّهِ أُسۡوَةٌ حَسَنَةٌ۬

“Hakika nyinyi mnacho kiigizo chema kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu.”
[Al-Ahzab: 21]
 

Attachments

  • Screenshot_20240404-161727~2.jpg
    68.6 KB · Views: 3
Duuh,kama umetahiriwa inakuaje?au kutahiriwa kukoje huko?
Hahahah Hapana Huwezi kutahiriwa Tena sasa Ukitahiriwa Tena watakata Nini kichwa 😅😅

Nop huwa inafanyika Ritual moja ambayo Ni symbolic na "Brit milah" (בְּרִית מִילָה) [au kiswahili Kutahiriwa)..

Hiyo symbolic Ritual Huitwa "hatafat dam brit" (הטפת דם ברית.)..

Hii Hutahiriwi In such way.....
ila Damu huwa lazima Imwagike kuonyesha Unaingia Agano la Damu ambalo chimbuko Lake Lilianza kipindi cha Ibrahimu alipopewa Agano hili na Mungu
 
Hivi hujui kwamba Roma ni taasis iliopo kwenye decline, ivi huoni sign jinsi Papa francis anavyohangaikaa kwendaa sawaa na walimwengu na mambo yao badala ya kukanyaa? Roma yenyee nguvuu ni ilee ya zamani ambayo hata uwe mfalmee unakula jeupee, uliza Anglican ilitokanajee.

Pia tazama kesi za ulawiti zinavyotafuna kanisaa! It almost systematic padre analawiti kijiji A anapelekwaa kijiji B nakoo analawitii. it around the corner the greatest perscution itaanzaa kwa viongozi wa juuu kabisaa wa roma catholic kuhusika kwa namna moja au nyinginee. Haya ya kina diddy na rkelly ni mfumoo unafanyaa mazoezi na kupima Reaction ya watuu.

It over, endapo among the greatest bishop wameoa wangeweza kuwa guide nzurii but now no guidance. It hell
 
We ndo nahisi huna akili Ila waafrika ndo Wana akili mwafrika kagundua vitu vingi sana , kagundua
Moto,cctv camera,madawa,mitumbwi,hesabu,uvuvi,utabiri wa anga za juu , kagundua ndege,kagundua chipsi, kagundua elimu,kagundu friji , kagundua bulb org za umeme n.k ,we ndo huna akili tu mkuu kwa kumezeshwa propaganda
 

Attachments

Ndio ujue tofauti ya watu waliobarikiwa na Mungu na watu wengine. Ibrahimu alimwombea Ishmael kwa Mungu ili zile baraka alizoahidi Mungu ziende kwake Mungu akakataa akampa baraka tu za kawaida. Lakini akamwambia baraka za Agano zitaenda kwa mzao atakayezaliwa na mke wa Ibrahim yaani Isaka. Baada ya Isaka ndio akaja Israeli. Hivyo Akili nyingi zinatokana na baraka za Agano na Mungu.
 
Hadi leo hujui kwamba jews hawatumii na hawaamini katika biblia wala ukristo ambao hawautaki hata kuusikia?
Wewe ndiye hujui Biblia. Biblia ina sehemu mbili kubwa. Agano la kale linalohusu Wayahudi na utabiri wa Masihi na Agano Jipya linalomhusu Masihi na wokovu kwa mataifa yote. Baadhi ya Wayahudi walipigwa chenga ktk kuamini kwamba Yesu ndiye Masihi. Hivyo hawaamini Agano Jipya. Lakini wapo wengi wanaoamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…