Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

Hao watu Acha kabisa
 
Hivi kumbe hakuna waislamu mashoga? Ndio nimejua Leo hii NI mpya
Akati kule visiwani ambapo wanajinadi kushika dini ya 'Alah' na mtume marehemu mudi ndo wanaongoza kwa ushoga, kiufupi hawa jamaa ndo mashoga hata mudi inasemekana kuwa kumfirah mkewe yule mdogo wa miaka 9
 
Nani aliyesema waisrael Wana akili? Una akili unapigana na mtu mwaka mzima wewe Una Drones yeye ana mawe na humuwezi
umeongea utumbo.
Kwahyo yale mabom elf5 waliyoyarusha tar7 yalikua mawe yale???

wavaa makobazi bwanaa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Hakuna anayeamini biblia acha kujidanganya na hawamshirikishi mungu kama wakristo ambaye wanamwita yesu ni mungu
Kwa wayahudi ni kosa kubwa kumwita yesu ni mungu
Wakristo wamelishwa matango pori ,wayahudi wapo sahihi mungu ni mmoja na hashirikishwi
 
umeongea utumbo.
Kwahyo yale mabom elf5 waliyoyarusha tar7 yalikua mawe yale???

wavaa makobazi bwanaa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Mjinga uliyeshiba divai, wapalestina wala wakristo hawahusiki kabisa na huu mgogoro Ila wajinga kama wewe? Mtu aliyevamia maeneo ya watu na kujifanya yake muhuni Tu kama. Wewe
 
Nani watalaamu wa dini? Hili ni muhimu kujua, na kwa nini. Dini inajihusisha na roho yaani, inashughulikia "Kweli za kiakili".

Kama mtu hujui vizuri dini, na imani; utaona kuwa wayahudi walimkataa Yesu. Aidha, utaona kwamba wayahudi hawaamini kuwa Yesu ni Mungu.

Lakini swali la msingi la kujiuliza ni hili: Yesu alifundisha nini na wayahudi wanafanya nini?
 
Wayahudi hawamuamini Yesu kwa sababu
Fikiri kwamba yesu sasa hivi arudi lakini arudie pale uyole azaliwe na mzee mwafulani yesu awe pale anauza maparachichi ya mzee wake kama kawaida na unabii unaendelea sasa nani ataweza kumuamini?
Nabii hakubaliki kwao ilianzia kwa Yesu nadhani na ni msemo wa kweli kabisa huu
 
Hamna kitu hapo. Hapa duniani ukiniambia nipange safu ya watu wenye akili wakwanza warusi, Japanese , Indians, hao wazungu na Africans wanakuja mwisho kabisa
 
Ha
KWa hiyo mungu wa wayahudi na wa wakristo ni tofauti au siyo?
yo mambo mengine ya iman za watu nitata saana hasa pale usipokuwa muumini wa imani husika.Lakini Mungu wa wakristo na wayahudi ni mmoja.Tena wakristo wanajua kwanin waisrael hawamwamini Yesu na ni mazingira yepi watakuja kumwamini Yesu.
 
Bila Algebra(muislam huyu),dunia ingekuwa gizani,algebra ndio inatumika katika IT(information technology),na bila IT,dunia ingekuwa gizani.Kila unachokiona kimetengenezwa na binadamu ni kupitia kwa IT,na IT ibatokana na Algebra.
Akili za madrasa hizi,๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mchango wa algebra ni mdogo mno katika it,ni kama negligible kabisa.

Wadanganye wajinga wenzako.

Myahudi ni kama maji usipo mnywa utachambia ukienda kuswali
 
Ha
yo mambo mengine ya iman za watu nitata saana hasa pale usipokuwa muumini wa imani husika.Lakini Mungu wa wakristo na wayahudi ni mmoja.Tena wakristo wanajua kwanin waisrael hawamwamini Yesu na ni mazingira yepi watakuja kumwamini Yesu.
Sasa mkuu mbona unachanganya mambo, hawa hawamuamini yesu tena walifikia hadi kumpa kipondo, na kwao israel wanaamini mungu ni mmoja ,usilazimishe mambo kwa kujipendekeza
 
Kasome doctrine of necessity utaelewa vizuri maana ya haram na halali
Sina haja ya kusoma hicho kitabu ila tambua halali ya wayahudi no tofauti na halali na haramu ya waislamu,

Nguruwe sio haramu katika uislam anaruhusiwa kuliwa katika codndition ya kama hakuna chakula zaidi ya kitimoto unakula.

Wayahudi wanamiongozo kabisa ya kila aina ya wanyama kwanini waliwe na kwanini wasiliwe.

Ila muslamu ngamia anakula,ila wayahudi hapana,waislam bata halali wayahudi bata ni haramu.

So acha kujilinganisha na uyahudi wakati ni mbingu na ardhi.
 
Nikisema ninarrow down naona sitafahamu mengi hivyo nakupa nafasi ya kufunguka ili niweze kufahamu mengi nisiyoyajua hada katika mafundisho na misingi za dini ya kiyahudi?
 
Kwamba watachuna kidogo dushelele ili damu imwagike๐Ÿ˜…
 
Hakuna ufalme au taaisi itakayodumu milele hilo sikupingi,ila still roma ya ukatoliki imendelea kutumu kwa muda mrefu hadi sasa bado ina ushawaishi sehemu nyingi ulimwenguni hilo halipingiki.

Nadhani moja ya misingi imara ni kwasababu ya kutoruhusu mapadre waowe,mwanaume ukiwa na familia unakua weak katika masuala mengine hasa ya usimamizi lazima tu maslahi ya familoa yako yataingilia kati.
 
Nikisema ninarrow down naona sitafahamu mengi hivyo nakupa nafasi ya kufunguka ili niweze kufahamu mengi nisiyoyajua hada katika mafundisho na misingi za dini ya kiyahudi?
Mafundisho ya Kiyahudi Yako mengi huenda Kuliko hata Ukristo au Uislamu..

Wana mafunzo ambayo Ili kuyasoma Na Kuweza kuyaelewa Angalau upate kibali cha kuonekana unafaa Kuendelea Kuaminiwa angalau Usome mwaka mmoja hivi na hapo ni Basic..

So mafunzo ya Mwaka mmoja na zaidi Nikueleze Ndani ya Sentensi Moja...

Duh Hiyo Ni ngumu sana Hata Wafanya Summary maarufu sidhani kama wanaweza..

Ukitaja Labda Niambie upande w Imani, Au ipande w Sheria au upande wa vyakula au upande kitu gani...

Maana Bila Kutaja Upande au Eneo ni ngumu sana unajua Jews ni tofauti na Ukristo kwamba Nitasema kuna Madhebu kadhaa walokole wako hivi wanafanya hivi wana maji ya upako wasabato hivi na Waroma hivi...

But Judaism is another level meehn ni kama Unaingia Kwenye Another Mystery kabisa...
 
Sasa mkuu mbona unachanganya mambo, hawa hawamuamini yesu tena walifikia hadi kumpa kipondo, na kwao israel wanaamini mungu ni mmoja ,usilazimishe mambo kwa kujipendekeza
Hilo liko wazi na hakuna asiyefahamu kuwa wayahudi waamini mungu mmoja tu,ila bado wana amini kuwa masihi atakuja kuwakomboa so bado wanasubiri masihi.
 
Kwamba watachuna kidogo dushelele ili damu imwagike๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Nop sio Kuchuna Actually...
Yaani yule "mohel (ืžื•ึนื”ึตืœ)" au Kiswahili huwa Mnasema Ngariba huwa Yuko Trained kwenye Sheria za Kidini za Kiyahudi as well as Medical..

Anachukua Kisindano kidogo sana (Ambako hata hakiumizi sana) Huko wanaita "makhat" (ืžื—ื˜) halafu unachomwa..

Damu ikitoka Bhasi unakuwa umeshafanya Agano la Mungu na Vizazi vya Israel tangu Agano la kwanza la Ibrahimu..Na unaweza kuendelea na Process zingine kama Za Kufanya Kogo la Lazima ambalo huitwa mikveh..

Au Umesahau Mungu alitaka Kumuua Mtoto wa Musa Kisa hajatajiriwa Mkewe Musa zippora akachukua Jiwe akakwangua Govi la Mtoto wake damu Zikatoka Mungu akamuacha?

Kutoka 4:24-26

"24 Ilikuwa walipokuwa njiani mahali pa kulala, Bwana akakutana naye akataka kumwua.

25 Ndipo Sipora akashika jiwe gumu na kuikata govi ya zunga la mwanawe, na kuibwaga miguuni pake akasema. Hakika wewe u bwana arusi wa damu kwangu mimi.

26 Basi akamwacha. Ndipo huyo mkewe akanena, U bwana arusi wa damu wewe, kwa ajili ya kutahiri."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ