Ipi siri ya Wayahudi kuwa na akili sana?

Propaganda za kuwakuza wayahudi zipo nyingi..

..hapo umemaanisha 'wayahudi' kama dini au kama 'jamii' Fulani?
Hapa namaanisha Wayahudi kama jamii fulani(ethnicity) hasa kwa kuzingatia wenye wazazi wote wawili Wayahudi, nikiweka list ya watu wenye mzazi mmoja tu myahudi(mama) nitakesha.
 
old testament ndio kitabu cha mungu, hivi vingine wakristo mmepigwa fanya research zako utakuja kuniambia
 
Uzi unaongelea uwezo wa kiakili wa MAYAHUDI,wewe unaongelea umungu wa Yesu vitu viwili tofauti.
Aliyewaletea dini yako alikosea sana kuwapa method ya kuponda wana choamini wenzenu kwa nia ya kuitangaza dini yenu.
Tofauti na nyie wakristo wao watafika sehemu wataihibiri injili na kupata wafuasi bila hata ya kutaja upande mwingine kuwa ni wa kweli au si wa ukweli.
Hubiri imani yako bila kulingania.
Kulingania kunaifanya dini yenu na vitabu vyenu kuwa tegemezi kwenye biblia
 
Mind game, inamake sense,
Ni kweli kwamba by default watu wote tuko sawa.

Sasa ilikuaje wao wakawa na ufahamu huo kwa level hiyo yakuweza kujua saikolojia ya mtu na kucheza nayo kabla hata ya jamii nyingine na wakafanikiwa kutuharihu kisaikolojia, na ukizingatia nyakati hizo za tokea kale huko...

Je hiyo level yakuorganize mambo/program in very long term plan kwa ufanisi mkubwa hivyo na wakafanikiwa, waliutoa wapi? Ama hawakua pekeyao? Au ndio akili waliotuzidi? Au kweli wamebarikiwa na mungu?
 
Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu,

Albert Einstein-Relativity(E=mc^2)

Ngoja nikuchambuwe moja moja:


Hapana, Albert Einstein hakuwa wa kwanza kuielezea na kuendeleza nadharia ya uhusiano (relativity), lakini alikuwa wa kwanza kuchapisha kazi yake juu ya mada hiyo:


  • Isaac Newton
    aliunda nadharia ya mechanics ambayo ilikubaliwa kwa zaidi ya miaka 200 kabla ya nadharia ya Einstein ya uhusiano.


  • Qur'an
    Baadhi ya aya katika Qur'an zinahusiana na nadharia ya uhusiano, ikiwa ni pamoja na Sura Al-Hajj 47, ambayo inasema, "Hakika siku moja kando ya Mola wako Mlezi ni kama miaka elfu kutoka miaka unayoihesabu."
 
Cha kwanza Wanajua Siri nyingi Za Kale Kuliko wengine kwa sababu Wanarithishana Maarifa kwa Mdomo.Kizazi hata kizazi..

Cha pili Ukiona Mbwa Yuko Juu ya Mti kapandishwa hajapanda Mwenyewe
 
Ni kweli Wayahudi wamekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya kisayansi, kiteknolojia, kiuchumi, na kijamii duniani.

Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu sababu ambazo zinaweza kuchangia mafanikio haya ya kipekee.

Watafiti wamegawanyika kuhusu kama haya yanatokana na vinasaba, mazingira, au mchanganyiko wa mambo kadhaa.

1. Vinasaba na Historia ya Kujitenga
Wayahudi wamekuwa na historia ndefu ya kuwa jamii inayojitenga na kuchagua wenza ndani ya jamii yao.

Hii inaweza kuwa imechangia kwa kiasi fulani kuweka vinasaba fulani vinavyoonekana kuhusishwa na uwezo wa akili, ingawa si jambo lililo na ushahidi wa moja kwa moja.

2. Thamani ya Elimu
Tamaduni za Kiyahudi zinaangazia sana elimu. Kuanzia umri mdogo, watoto wa Kiyahudi hufundishwa kusoma na kujifunza maandiko ya kidini na ya kiakademia, jambo linaloweza kuchochea fikra za kina na kufikiria kwa upana.

Hii huwajengea misingi bora ya utafiti, uvumbuzi, na kujenga uelewa wa masuala mbalimbali.

3. Changamoto za Kihistoria
Wayahudi wamepitia historia ya misukosuko, mateso, na kubaguliwa. Hali hii imewafanya wengi wao kuwa na motisha ya kujitahidi na kufanikiwa ili kujiimarisha na kuondokana na hali ngumu.

Kwa mfano, kutokana na kubaguliwa katika kazi na sekta nyingi, waligeukia biashara na taaluma kama udaktari, sheria, na sayansi ambapo walipata nafasi ya kuonyesha uwezo wao.

4. Ujumbe wa Kiroho na Kujitambua
Wayahudi wengi wanaamini kwamba wana wito wa Mungu ili kuwa na mchango maalum duniani.

Imani hii hujenga moyo wa kujituma na kutafuta ujuzi wa juu. Mwito huu wa kiimani unachangia kuimarisha mawazo yao na juhudi za kubuni na kutatua changamoto.

5. Kuwekeza Katika Sayansi na Teknolojia
Mataifa yenye idadi kubwa ya Wayahudi kama Israeli yamewekeza sana katika elimu ya sayansi na teknolojia, na hii imesaidia kuendeleza mawazo ya kibunifu na matumizi ya akili katika maendeleo.

Hivyo, kuhusu swali la ikiwa ni 'kubarikiwa' au la, ni vigumu kulijibu moja kwa moja, kwani inaweza kuwa ni mchanganyiko wa mambo haya yote, yakihusisha pia juhudi za kibinafsi na jamii nzima.

Ova
 
Utashangaa wengi wa hao washindi wa Nobel wa Austria ni Wayahudi!
 
Dada Faiza Unafahamu chochote kUhusu Physics??

Isaac Newton Hakuwahi Kujihusisha na Theory yoyote ya Relativity ila kama Una Ushahidi hata mdogo hata kama Punje ya Unga Wa Ngano kuhusu Ushahidi wa Relativity theory ya Newton Niko Tayari kujifunza..

Newton alijikita sana kwenye classical Mechanics..
 
Nani aliyesema waisrael Wana akili? Una akili unapigana na mtu mwaka mzima wewe Una Drones yeye ana mawe na humuwezi
Unafikiri swala la Israel siyo anapigana na palestinians yeye anapigana na magaidi wa hamas waliojichanganya ndani ya raia wa kipalestina na wengi wa wapalestina hawapendi hamas wanalazimishwa tambua west bank ni mamlaka ya palestinians lakini hakuna tatizo kama la gaza wanakotawala hamas wayahudi wako kwenye nchi moja lakini mamlaka ziko tatu fathah hamas na Israel kama taifa huduma zote za jamii zinatoka Israel hivyo kupigana pale hakipo kuna kusaka hamas na mali zao wanawapunguza nguvu hao viongozi ndiyomaa sasa wanawasaka viongozi tu
 
Kuna imani moja wao kukuingiza kwenye dini yao ni matter ya sekunde moja wala hakuna mafundisho
 
KWa hiyo mungu wa wayahudi na wa wakristo ni tofauti au siyo?
Ngoja nijaribu kukuelezea kwa lugha nyepesi kabisa:
1. Wote wanamuabudu Mungu anayeitwa Yahwe/Yehova (Agano la Kale)
2. Wakristo wanaamini Yahwe aliwahi kujivika ubinadamu akaja akaishi duniani (Yesu) kama ilivyotabiriwa kwenye Agano la kale (Ujio wa Masihi).
3. Wayahudi hawaamini yule Yesu wanaomuamini Wakristo ndio Masihi mwenyewe aliyetabiriwa kwenye Agano la Kale. Wanasema Masihi wa ukweli bado hajaja duniani ila atakuja. Tena kutokana na miujiza ambayo Yesu alikuwa anafanya kipindi kile wao mpaka leo wanasema alikuwa ni magician tu. (mchawi)
 
Kikongwe kadandia mada ili "achip" in agenda zake.

Mimi pia nashangaz habari ya theory ya relativity toka kwa Sir Isaac Newton.
 
Kuna imani moja wao kukuingiza kwenye dini yao ni matter ya sekunde moja wala hakuna mafundisho
Kuingia Kwenye Uyahudi Its hard sana ni ngumu sana..

Unatakiwa Usome Uelewe nini hasa ni uyahudi usome sheria usome torah Usome si chini ya mwaka na sehemu Chini ya Community ya Rabbi group fulan Wale rabbi wakiona umekwiva ndo wakupendekeze Kwenda kwenye Beit Din (kama Mahakama ya Marabbi) uulizwe maswali ukifaulu Mahakama hiyo ndo upelekwe kwenye Kutahiriwa baadae Upelekwe Mikvah (Josho)..

Ni process Sio kitu cha Siku moja
 
Sasa INA maana HAO nafaidi wanaakili kuwazidi akina Netanyau kama ndio hivyo
 
Austria, Hungary, Denmark kote huko kuna wayahudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…