Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuambie mkuu hapo kipi nilichoandika cha uongo?Ndugu kuhusu Israel najua mengi sana lakini si uongo wako huu binafsi niesomalski huko uongo huu sijauona huko kuna wapagani kabisa na hawabaguliwi naona kuna watu wanawalipa labda kwa uongo huu!!
Usitake kuhamisha mada Israel wanamwamini Yesu na wana hubiri mitaani kama huku. Kuna wa Tanzania wengi wanafanya na shirika la Jews for Jesus.Tuambie mkuu hapo kipi nilichoandika cha uongo?
Je wakristo israel wanafika 3% jibu ni hapana
Waislamu israel wanafika 20% jibu ni ndio
Je israel wanamuamini yesu? Jibu ni hapana
Je israel wanakula nguruwe? Jibu ni hapana
Haya tuambie mkuu hapo kipi cha uongo?
Hawa watapigwa na sandals(kobazi) wakikutwa hamna adhabu nyingine kulingana na mafundisho ya Quran ,Quran 4:16 kabla hii Aya kuja kufanyiwa marekebisho badae,inaonekana Allah na Muhammad walijisahau mwanzo hadi walete Aya mpya yenye ukali baadae ili kuweka mambo Sawa.
Anataka evidence huyo mdiniUarabuni mbona mbali sana, sehemu kubwa ya Pwani na visiwani hapa Tanzania ushoga umeshamiri sanaa.
Yaan Znz mtoto wa kiume analindwa mnoo kuliko mtoto wa kike. Aisee nilienda zenj dah niliyojionea nilisikitika sana.
na akili ukicompare na za nani, hakuna myahudi anayeishi israel, kizazi chao kilifutika kikaisha waliopo israel ni wazungu toka mataifa mbalimbali. Taifa la israle lilifutika mkuuNi ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu,
Albert Einstein-Relativity(E=mc^2)
Neils Bohr- Nuclear,
Oppenheimer-bomu la atomic,
Edward Teller-bomu la Hydrogen
Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa,
Boris Rosing-TV,
Paul Baran-Internet
Simcha Blass-Mfumo wa umwagiliaji shambani
William Fox-Movies,
Sergey Brin-Google,
Singer- Cherehani,
Milton Friedman-Uchumi
Waldemar Haffkine- Chanjo ya ukoma,
Jonas Salk- chanjo ya polio
Baruch Blumberg-Chanjo ya homa ya ini
Hedy Lammar- WiFi,
Mark Zuckerberg- Facebook
Levi Strauss- Jeans
Emile Berliner- microphone na helicopter
Ralph Baer- video game
Karl Landsteiner-makundi ya damu
Rothschild family-benki kimataifa
Sigmund Freud-Saikolojia
Leon Trotsky-Namba 2 mapinduzi ya kijamaa Russia 1917
Noam Chomsky
Selman Abraham Waksman-Antibiotics
Bila kusahau 22% ya washindi wa tuzo ya Nobel ni wa asili ya Wayahudi.
Hizo akili ni kwa sababu ya genes, mazingira au ndio kubarikiwa kama wengi wa Wayahudi wa Buza ambavyo wanaamini na kudai?!
Oh wow!Utalinganisha vumbuzi(INVENTIONS) za jeans, chanjo, cherehani, drip irrigation, WiFi, silaha, nadharia za ujamaa na hizo biashara za magari ya Wajapan waliyoendeleza hapo juzi kati tu ? Hapo bado sijaongelea arts (walivyoikamata Hollywood), music, media na literature. Bado finance, economics, psychology majina makubwa ya Wayahudi yanatamba. Kazi za Wayahudi ni consequential, tuache utani.
Pia, mwenye akili hauliwi kama sisimizi. Labda uniambie Hitler alikuwa na akili zaidi ya hao Wayahudi.Mwenye akili hafanyi genocide
Mmmmmm sidhani ni nadharia tu....nenda field ukaone hayo mawe.....kuna kitu wanachokitaka....kuifuta kabisa na eneo lile liwe bandaro huru...kosa lao wameingia kwenye mfumo na mtegoNani aliyesema waisrael Wana akili? Una akili unapigana na mtu mwaka mzima wewe Una Drones yeye ana mawe na humuwezi
Pia, mwenye akili hauliwi kama sisimizi. Labda uniambie Hitler alikuwa na akili zaidi ya hao Wayahudi.
Ila tukubali tu kuwa kwenye jamii kuna wenye akili zaidi ya wengine. Wewe chunguza tu hata kwenye ukoo wako au kazini kwako wenye akili utawajua tu na vilaza utawajua tu.Hahaha 🤣🤣
Mkuu kuhusu Wayahudi Hakuna historic Facts Ni kwamba Wao wametuzidi Akili na ndo wanaotawala Dunia yote Kiakili,Kijeshi na Hata Kimtazamo..
Wameweza kututawala Mpaka Kifikra na Kuingiza Historia yao kwenye Kila Mtu Duniani..
Kwenye watu Bilion 8 Duniani Watu Bilion 3 karibia na Nne ni Wakristo na Watu Bilion 2 Ni Waislamu na watu Karibia Bilion 1 Ni wayahudi wote hawa wanatukuza Historia ya Wayahudi na Kusifu miungu ya wayahudi...
Hii inafnya Watu Bilion 6 au Bilion 5 kati ya Bilion 8 Kuwa wafuasi wa Wayahudi bila Kujua..
Je Tumewahi kujiuliza kwanini wanatawala kwa sababu wakristo wanaamini wao wamebarikiwa, Na waislam wanaamini Pia kuwa Wayahudi walikuwa Taifa la Mungu..
Je ipi siku ambayo Sisi kama Binadamu tutakuwa Juu ya wayahudi?
Ni siku ambayo tutaacha kuwaweka juu kuliko Sisi..
"Cognitive Distortions" au Inferiority complex tuliyonayo bado Sana kuwazidi wayahudi..
Kuna kipindi Watu walikuwa wanaamini Mw alimu wa Shule hakosei na anajua kila kitu miaka ya 80 na 90 hiyo Until watu walipokuja kujua ni mtu wa kawaida na Huenda Ni mtu aliyefail matokeo yake Darasani..
Baada ya Jamii kumdunisha Mwalimu ilionekana mtu akisoma Ualimu ni mtu Duni katika jamii (Japo sikubaliani na Hoja hiyo)
Ni hivyo hivyo zamani watu waliamini Askofu au Padre hakosei hivyo ukisikia kakosea utapinga hata kupigana ukimtetea..
Sasa Tumeaminishwa na wayahudi kuwa wana akili kuliko wengine je hiyo dhana ni ya kweli??
Naongea mengi But huu Mfano wa Mwisho.
Umewahi kusikia Chochote kuhusu Dogon of Mali wale waliokuwa Mamajusi wa kutumia Nyota kuliko Watu wote Dunia Nzima ila ghafla utaambiwa Mamajuzi imeanza Mashariki ya Mbali..
Na mifano mingi inayofanana na hayo kwa sababu lengo ni kutengeneza Uoga, Inferior Thinking kwamba Huwezi kuliko mimi (Its a Mind game) ili ujione wao ndo wanaweza kuliko Sisi..
Na hili kufanikisha hilo Walizuia Vyuo vyao Vyote miaka hiyo Kuweka Watu wengine isipokuwa wao tu..
Lengo ni kufanya wao waone ni bora kuliko wengine na sisi na watoto wetu tujione hatuna ubora..
But Trust me Hata tuzo za Nobel na Tuzo zingine miaka hiyo ilitolewa kwa kuangalia Impacts ya Baadaye..
Kila Idara nyeti Myahudi kashika mpaka Freemason na Illuminati ilianzishwa na Myahudi...
Bila Kusahau hata Dhehebu la Shia Waislm lilianzishwa na Myahudi..
So ndo lengo lao hilo kucreate Internal Confusion among us And so tuwaone wao ni Bora kuliko yoyote..
I rest my case (BUT THATS THE TRUTHS) Its a Mind Game rather than Intelligence Game
Mi sijashiba propaganda kama wewe! Mi nnachojua waisrael ni wahuni kama wahuni wengine Tu they have nothing to do with God kama nnavyoamini wewe mshiba divaiWafuga Midevu na Majini utawajua tu kwa maneno yao!!!
Na UKATILI, UUWAJI, KUTESA, KUIBA, KUPORA ....Ni ukweli usiobishaniwa kwamba Wayahudi ni watu wenye akili sana katika dunia hii, na hii hapa ni mifano michache tu ila wako maelfu,
Albert Einstein-Relativity(E=mc^2)
Neils Bohr- Nuclear,
Oppenheimer-bomu la atomic,
Edward Teller-bomu la Hydrogen
Karl Marx- Nadharia ya Ujamaa,
Boris Rosing-TV,
Paul Baran-Internet
Simcha Blass-Mfumo wa umwagiliaji shambani
William Fox-Movies,
Sergey Brin-Google,
Singer- Cherehani,
Milton Friedman-Uchumi
Waldemar Haffkine- Chanjo ya ukoma,
Jonas Salk- chanjo ya polio
Baruch Blumberg-Chanjo ya homa ya ini
Hedy Lammar- WiFi,
Mark Zuckerberg- Facebook
Levi Strauss- Jeans
Emile Berliner- microphone na helicopter
Ralph Baer- video game
Karl Landsteiner-makundi ya damu
Rothschild family-benki kimataifa
Sigmund Freud-Saikolojia
Leon Trotsky-Namba 2 mapinduzi ya kijamaa Russia 1917
Noam Chomsky
Selman Abraham Waksman-Antibiotics
Bila kusahau 22% ya washindi wa tuzo ya Nobel ni wa asili ya Wayahudi.
Hizo akili ni kwa sababu ya genes, mazingira au ndio kubarikiwa kama wengi wa Wayahudi wa Buza ambavyo wanaamini na kudai?!
Kwani kasema waisreli ni wakrto mashoga??Hivi hakunaga waislamu ni shoga?
Never overestimate the intelligence of so called intelligent people…“Never underestimate the power of stupid people in large groups.”
Acha kulazimisha vitu kama hata jambo kama hili hujui basi uwezo wako ni mdogo sana, jitahidi kuongeza elimu na exposureUsitake kuhamisha mada Israel wanamwamini Yesu na wana hubiri mitaani kama huku. Kuna wa Tanzania wengi wanafanya na shirika la Jews for Jesus.
Ni muhimu kujua Israel ina ukubwa wa mkoa Mwanza tu ila ina uchumi mkubwa kuzipita nchi zote za Africa, imeipita Iran, na nchi nyingi sana kubwa kubwa, na imekuwa taifa rasmi mwaka 1948!Oh wow!
Basi kumbe ndo maana uchumi wa Israel ndo uchumi mkubwa zaidi duniani!