Ipo haja ya kumuombea Magufuli msamaha, lawama ni nyingi mno

Mungu katuepusha na kitu mbaya. Kama Magufuli asingekufa nakuhakikishia kuwa tungekuwa na hali mbaya kama Zimbabwe. Alipanga mwaka 2025 kutangaza kuwa hakuna uchaguzi kwa vile fedha zinaelekezwa kwenye miradi.

Mauaji yangeendelea, watu wengi wangekimbia nchi, chuki kati ya makundi mbali mbali ya kidini na kikabila zingezidi
 
Na wengi wao huku Jf na kule twitter ni watumishi wazembe wapenda vya bure na Ufipa lkn 90% ya Watz wamemmis sn.
Sana, nilisoma post moja kule instagramu acha kabisa,watu wanamkumbuka sana,
Humu kuna mamluki,wapo kwa kazi maalumu ya kufifisha upendo tulionao kwa hayati .
 
Kafa sasa,una hali nzuri?
 
Unamuombea msamaha kwa nani? Aliyoagiza wauawe ? , Alioagiza wafungwe kwenye viroba ,alioagiza watekwe , wafunguliwe kesi za uonezi za uhujumu uchumi ,utakatishaji fedha , aliopora hela zao kwa mgongo waTRA , aliowafukuza kazi kwa uonezi , aliowstupa waliwe na chatu wakaliwa , aiseee orodha ni ndefu sana , kama yeye hakuona umuhimu wa kutenda mema hapa duniani wewe nani wa kumuombea msamaha ?
 
Kwa kipi? CHADEMA kubaki na Mbunge mmoja wa Jimbo?
 
Kwa kosa gani? Huo msamaha baki nao mwenyewe. Alitimiza majukumu yake ya kikatiba na kuleta maaendeleo kwa spidi kubwa hadi kifo kilipomchukua. Staili yake ya uongozi haikuwa ya blabla na maneno matamu mliyozoeshwa bali vitendo vyenye matokeo tu.
Alikuta sukari sh ngapi?
Mafuta ya kula sh ngapi kwa ltr?
Unajua ni kampuni ngapi zilishindwa kujiendesha na watanzania wangapi wanaumia na familia zao mpaka sasa?

Yule jamaa alikua shetani. Amewatia watu kwenye umasikini wa hali ya juu mpaka najiuliza hawa watu nini hatma zao na familia zao.

Watu wanaompenda ni zile mbwembwe na kubweka hovyo hovyo
 
Kuna watu tuna chuki naye kwa sababu ya matendo yake, hatuwezi kumsamehe, na hizi chuki zitahamia kwa kizazi chake.
 
Ila aliwakomesha na kuwaweza kweli kweli. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe una mapenzi mema na taifa? Mnafiki mkubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…