IPP Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana, bado mpo kizee sana

IPP Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana, bado mpo kizee sana

TBC 1 angalia wakati wa Taarifa ya habari saa moja na saa mbili
kwahio inakua na quality wakat wa taarifa ya habar tu.

maan hapa naangalia TBC 1 naona mawingu tu nikikompea na channel za azam
 
Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana wenye fikra za kizamani.

Teknologia imebadilika sana ninyi bado mpo nyuma, kongole kwa TBC 1 kwa kufumua muonekano wa kizamani na kutengeneza muonekano wa sasa unaovutia vijana kitizama channel yenu lakini pia pongezi nyingi kwa kuingia katika mfumo wa kurusha video zenye ubora wa 4K.

Ipp Media na Clouds Media ninyi mnatakiwa kununuliwa na watu wenye akili za Elon Musk ili wawafumue kama alivyofanya kwenye kampuni ya Twitter kwasababu mmetawaliwa na uzamani mwingi sana.
watangaze nafasi ya watu wapumbafu kama elon musk ili waweke mambo sawa
 
Clouds wako vizuri sana

ITV, EATV inabidi wabadilishe mambo mengi sana
 
Sawa mjuaji
Angalia mpangilio wa ITV utagundua ni uleule wa tangu 2015, Graphics inawasumbua vijana wapo wengi sana wanaojua Designing kwanini wasibadilike
 
Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana wenye fikra za kizamani.

Teknologia imebadilika sana ninyi bado mpo nyuma, kongole kwa TBC 1 kwa kufumua muonekano wa kizamani na kutengeneza muonekano wa sasa unaovutia vijana kitizama channel yenu lakini pia pongezi nyingi kwa kuingia katika mfumo wa kurusha video zenye ubora wa HD.

Ipp Media na Clouds Media ninyi mnatakiwa kununuliwa na watu wenye akili za Elon Musk ili wawafumue kama alivyofanya kwenye kampuni ya Twitter kwasababu mmetawaliwa na uzamani mwingi sana.
Haya makampuni yapo kitambo sana,lakini Azam amekuja na amewapita mbali sana
 
Haya makampuni yapo kitambo sana,lakini Azam amekuja na amewapita mbali sana
Kawapita sana, naimani Dr Mengi angekuwepo angeshabadilisha siku nyingi mana mwenye uchungu ni yeye mwanzilishi, mrithi hana maumivu
 
Azam hawana Full HD wana HD tu

Ata ukiangalia azam two ama zile sport utaon pameandikw HD na sio Full HD

tutofautishe kat ya HD na FHD

HD = 720P (1,280 × 720 pixels)
FHD = 1080p ( 1920 × 1080 pixels)
1080p pia nayo ni HD sio lazima uiite full HD. Hata youtube wameipa 1080p jina la HD kutokana na technolojia kukua.

Pia uang'avu wa 1080p unajulikana hata ukiuangalia kwa macho. 720p haina uang'avu wa namna ile kwenye screen kubwa ya 55inch.
 
Azam hawana Full HD wana HD tu

Ata ukiangalia azam two ama zile sport utaon pameandikw HD na sio Full HD

tutofautishe kat ya HD na FHD

HD = 720P (1,280 × 720 pixels)
FHD = 1080p ( 1920 × 1080 pixels)
Unaowaelekeza hawajui kitu alafu hawataki kuelimishwa,unapoteza muda wako
 
1080p pia nayo ni HD sio lazima uiite full HD. Hata youtube wameipa 1080p jina la HD kutokana na technolojia kukua.

Pia uang'avu wa 1080p unajulikana hata ukiuangalia kwa macho. 720p haina uang'avu wa namna ile kwenye screen kubwa ya 55inch.
YouTube wanapokea mpaka 4K wapo vizuri, ila ukitaka Video ya 4K YouTube labda ile ya Jennifer Lopez - I luh ya Papi na wasanii wengineo
 
YouTube wanapokea mpaka 4K wapo vizuri, ila ukitaka Video ya 4K YouTube labda ile ya Jennifer Lopez - I luh ya Papi na wasanii wengineo
Yes najua. 4k mtu yeyote anaweza upload youtube hata wewe sio wasanii tu
 
Back
Top Bottom