African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Kumzidi kwenye nini mkuu? Youtube ni standard platform ya video sharing. Ni kama official gallery ya videoKuna uwezekano Twitter akaja kumzidi YouTube
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumzidi kwenye nini mkuu? Youtube ni standard platform ya video sharing. Ni kama official gallery ya videoKuna uwezekano Twitter akaja kumzidi YouTube
Kila moja ina niche yake mkuu, haziingiliani.Kuna uwezekano Twitter akaja kumzidi YouTube
Nahizo ndio media ambazo habari zake zinaaminika kuliko media yyte ukisikia habari popote usitangaze akikisha unasikiliza kutoka katika hizo media kwnzaIpp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana wenye fikra za kizamani.
Teknologia imebadilika sana ninyi bado mpo nyuma, kongole kwa TBC 1 kwa kufumua muonekano wa kizamani na kutengeneza muonekano wa sasa unaovutia vijana kutizama channel yenu lakini pia pongezi nyingi kwa kuingia katika mfumo wa kurusha video zenye ubora wa HD.
Ipp Media na Clouds Media ninyi mnatakiwa kununuliwa na watu wenye akili za Elon Musk ili wawafumue kama alivyofanya kwenye kampuni ya Twitter kwasababu mmetawaliwa na uzamani mwingi sana.
1080p pia nayo ni HD sio lazima uiite full HD. Hata youtube wameipa 1080p jina la HD kutokana na technolojia kukua.
Pia uang'avu wa 1080p unajulikana hata ukiuangalia kwa macho. 720p haina uang'avu wa namna ile kwenye screen kubwa ya 55inch.
Lakini pia resolution ya 1920x1080 unaweza kuset kwenye Decoder yako kama inaruhusu kwamfano mimi nabadilishaga kwenye Decoder yangu ya DSTv Explora, sijajua kwenye Azam Tv kama wana hiyo featureIla sikupingi just nimetoa tofaut ya HD na FHD
Kwa Azam nawez kubal kama HD yao walimaanisha FHD ya 1080p
Umeongea point sana.. sana sana itv... Mfano mtu aliefariki miaka ya 2000 mwanzoni, leo akifufuka, hata ona mabadiliko yoyote itv....Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana wenye fikra za kizamani.
Teknologia imebadilika sana ninyi bado mpo nyuma, kongole kwa TBC 1 kwa kufumua muonekano wa kizamani na kutengeneza muonekano wa sasa unaovutia vijana kutizama channel yenu lakini pia pongezi nyingi kwa kuingia katika mfumo wa kurusha video zenye ubora wa HD.
Ipp Media na Clouds Media ninyi mnatakiwa kununuliwa na watu wenye akili za Elon Musk ili wawafumue kama alivyofanya kwenye kampuni ya Twitter kwasababu mmetawaliwa na uzamani mwingi sana.
IPP na Star [emoji294] tv zinaongoza kwa kuwa kizee..sijui kama wanapata faida yoyote kwenye hayo makampuni.
Huyo haelewi kitu mkuu, acha kuumiza kichwa asee.Kumzidi kwenye nini mkuu? Youtube ni standard platform ya video sharing. Ni kama official gallery ya video
Mwisho wa siku atakuja kufananisha spotify na instagram huyu. Mweupe sana kichwani.Kila moja ina niche yake mkuu, haziingiliani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hilo nalo mkalitazame
Umewasahau STAR TV [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ipp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana wenye fikra za kizamani.
Teknologia imebadilika sana ninyi bado mpo nyuma, kongole kwa TBC 1 kwa kufumua muonekano wa kizamani na kutengeneza muonekano wa sasa unaovutia vijana kutizama channel yenu lakini pia pongezi nyingi kwa kuingia katika mfumo wa kurusha video zenye ubora wa HD.
Ipp Media na Clouds Media ninyi mnatakiwa kununuliwa na watu wenye akili za Elon Musk ili wawafumue kama alivyofanya kwenye kampuni ya Twitter kwasababu mmetawaliwa na uzamani mwingi sana.
decoder inaweza kuruhusu lkn kama channel hain ni haina tuLakini pia resolution ya 1920x1080 unaweza kuset kwenye Decoder yako kama inaruhusu kwamfano mimi nabadilishaga kwenye Decoder yangu ya DSTv Explora, sijajua kwenye Azam Tv kama wana hiyo feature
Bora CMG ila IPP ni achokile sanaIpp Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana wafumue na kuunda upya vituo vyenye muonekano wa kushawishi vijana kutazama channel zenu kwasababu mpo kizee sana channel zenu zimekaa kizee ndio maana vijana wamewakimbia na kwenda Wasafi Media ninyi mmeabaki na wazee na vijana wenye fikra za kizamani.
Teknologia imebadilika sana ninyi bado mpo nyuma, kongole kwa TBC 1 kwa kufumua muonekano wa kizamani na kutengeneza muonekano wa sasa unaovutia vijana kutizama channel yenu lakini pia pongezi nyingi kwa kuingia katika mfumo wa kurusha video zenye ubora wa HD.
Ipp Media na Clouds Media ninyi mnatakiwa kununuliwa na watu wenye akili za Elon Musk ili wawafumue kama alivyofanya kwenye kampuni ya Twitter kwasababu mmetawaliwa na uzamani mwingi sana.
Wamuuzie tu Azam hyo Kampuni,Ila kweli hio itv ukiichek unajihis kama Uko kwenye 90s ivii [emoji1787][emoji1787]