IPP Media na Clouds Media uzeni kampuni zenu kwa wawekezaji vijana, bado mpo kizee sana

TBC 1 angalia wakati wa Taarifa ya habari saa moja na saa mbili
kwahio inakua na quality wakat wa taarifa ya habar tu.

maan hapa naangalia TBC 1 naona mawingu tu nikikompea na channel za azam
 
watangaze nafasi ya watu wapumbafu kama elon musk ili waweke mambo sawa
 
Clouds wako vizuri sana

ITV, EATV inabidi wabadilishe mambo mengi sana
 
Sawa mjuaji
Angalia mpangilio wa ITV utagundua ni uleule wa tangu 2015, Graphics inawasumbua vijana wapo wengi sana wanaojua Designing kwanini wasibadilike
 
Haya makampuni yapo kitambo sana,lakini Azam amekuja na amewapita mbali sana
 
Haya makampuni yapo kitambo sana,lakini Azam amekuja na amewapita mbali sana
Kawapita sana, naimani Dr Mengi angekuwepo angeshabadilisha siku nyingi mana mwenye uchungu ni yeye mwanzilishi, mrithi hana maumivu
 
Azam hawana Full HD wana HD tu

Ata ukiangalia azam two ama zile sport utaon pameandikw HD na sio Full HD

tutofautishe kat ya HD na FHD

HD = 720P (1,280 × 720 pixels)
FHD = 1080p ( 1920 × 1080 pixels)
1080p pia nayo ni HD sio lazima uiite full HD. Hata youtube wameipa 1080p jina la HD kutokana na technolojia kukua.

Pia uang'avu wa 1080p unajulikana hata ukiuangalia kwa macho. 720p haina uang'avu wa namna ile kwenye screen kubwa ya 55inch.
 
Azam hawana Full HD wana HD tu

Ata ukiangalia azam two ama zile sport utaon pameandikw HD na sio Full HD

tutofautishe kat ya HD na FHD

HD = 720P (1,280 × 720 pixels)
FHD = 1080p ( 1920 × 1080 pixels)
Unaowaelekeza hawajui kitu alafu hawataki kuelimishwa,unapoteza muda wako
 
1080p pia nayo ni HD sio lazima uiite full HD. Hata youtube wameipa 1080p jina la HD kutokana na technolojia kukua.

Pia uang'avu wa 1080p unajulikana hata ukiuangalia kwa macho. 720p haina uang'avu wa namna ile kwenye screen kubwa ya 55inch.
YouTube wanapokea mpaka 4K wapo vizuri, ila ukitaka Video ya 4K YouTube labda ile ya Jennifer Lopez - I luh ya Papi na wasanii wengineo
 
YouTube wanapokea mpaka 4K wapo vizuri, ila ukitaka Video ya 4K YouTube labda ile ya Jennifer Lopez - I luh ya Papi na wasanii wengineo
Yes najua. 4k mtu yeyote anaweza upload youtube hata wewe sio wasanii tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…