tukisema inatawaliwa na wayahudi, tunamaanisha kiuchumi, kwenye social media, mass media na ushashishi mkubwa kwenye serikali.Marekani haitawaliwi na wayahudi hizi fikra dumavu wacheni.
Bali kuna ushirikiano na kusaidiwa kwa Israel na Marekani.
Hakuna siku Netanyahu alisimama katika Congress na akatukana thubutu yakeee.
Mbona hakutukana mwaka juzi baraza lilipokataa kupitisha upelekaji wa silaha Israel pale Capitol Hill!?
Hizi fikra zenu huwa sijui mnatoaga wapi.
USA na Israel wana mutual benefits tu hivyo kubebana ni lazima.
Ila utake USITAKE Israel haina nguvu ya kupigana vita peke yake sasa hivi.
Maana ina rekodi ya askari wengi walemavu wa akili na viungo,pia wana upungufu wa askari.
Utasikia Dunia ipo kimya π€£Msirudi kuanza kulia lia hapa mkianza pigwa
Huyo kubwa la magaidi unaweza kumliganisha na Mandela ama Lissu?!
Magaidi ni kama huyo Iran anayesupport vikundi vyote vya kigaidi vinavyofanya mauaji hapo Middle EastMagaidi wanapimwa na kuthibitishwa na nani?
Hudhani hapo ndipo palikuwa pa kuanzia?
Why they Killed Hanniyeh.....Mkuu uko serious? Au unatania....Hau humjuhttps://www.jamiiforums.com/threads/mjukuu-wa-mandela-babu-angekuwapo-angewaunga-mkono-hamas-na-wapalestina-dhidi-ya-israel.2212532/a Hanniyeh
Hapo umeongea,japo still vita sio rahisi kama udhaniavyo.tukisema inatawaliwa na wayahudi, tunamaanisha kiuchumi, kwenye social media, mass media na ushashishi mkubwa kwenye serikali.
juzi hapa, havard na vyuo vingine walichelewa tu kulaani antisemitism na wakaongea fyongo, makampuni mengi yalijiondoa ufadhili na viongozi walijiuzuru. maeneo makubwa ya kiuchumi yamemilikiwa na wao pia. kama unabisha basi tuamini yamemilikiwa na waarabu. hata siasa za sasaivi, nani uona kwenye kampeni anaponda israel? ajaribu aone. CNN, kampuni za HP, DELL, google, facebook, twitter x, whatsapp, CNN, TIME, just to mention a few.
Kwanini hudhani asiyemjua Hanniyeh au mwenye kutania au kutokuwa serious ni wewe?
Mjukuu wa Mandela: Babu angekuwapo angewaunga mkono HAMAS na Wapalestina dhidi ya Israel!
Magaidi ni kama huyo Iran anayesupport vikundi vyote vya kigaidi vinavyofanya mauaji hapo Middle East
Mossad iko busy kuliko kipindi chochote katika historia.Tuliwahi kusikia kina Mandela, Gaddafi, ANC, au hata wale wa vita vya maji maji au mau mau nao kama hivi hivi wakiitwa nagaidi.
Hapo unasema je?
Tupo wengine tunaoona magaidi ni kama huyu aliye na nia ya vita na hasa kumvutia Marekani upande wake dhidi ya Iran.
Hapo napo unasema je?
Usalama mdogo Iran ndio maana wamemsubiri aende huko
Iran kabigwa Dole hadharaniKichekesho ni Kwamba mahali walipoona ni rahisi kumuondoa ni Tehran! Imetoa ujumbe mzito sana, maana walikuwa wanamlia tenda, na walikuwa data kamili atalala wapi, floor ipi! Iran ni aibu tupu!
Mkuu nini Mandela hata ANC inawaunga mkono Palestina....Inawasaidia ni Hamas....Jus mere rhetoric tu....Wapeleke majeshi ndio tutaona wanatoa msaada....Wanatumia kigezo kuficha nchi inayonyumbuka kwa rushwa!
Iran kabigwa Dole hadharani
Pole pole ndugu.
Si kila nchi au Kila mtu anaiona Hamas au Hanniyeh kuwa ni magaidi. Kweli?
Kama ndivyo, nani anabeba litmus paper ya kuthibitisha gaidi?
Kumbe kwanini Natenyahu au Israel wasiwe ni magaidi kama wengine nao wanavyowaona?
Hudhani kuna manyani yasiyoona makundu yao hapa?
πππππWatu watapita na kilemba hicho waanze kuhaha
Pole pole ndugu.
Si kila nchi au Kila mtu anaiona Hamas au Hanniyeh kuwa ni magaidi. Kweli?
Kama ndivyo, nani anabeba litmus paper ya kuthibitisha gaidi?
Kumbe kwanini Natenyahu au Israel wasiwe ni magaidi kama wengine nao wanavyowaona?
Hudhani kuna manyani yasiyoona makundu yao hapa?
View attachment 3057825
Kila mtu ana litmus paper yake! Hilo lisikupe shaka! Swala yake kwa Allah baada ya kuangalia tukio la October 7 Haijajibiwa......Hakujua yuko njiani!
Tuliwahi kusikia kina Mandela, Gaddafi, ANC, au hata wale wa vita vya maji maji au mau mau nao kama hivi hivi wakiitwa nagaidi.
Hapo unasema je?
Tupo wengine tunaoona magaidi ni kama huyu aliye na nia ya vita na hasa kumvutia Marekani upande wake dhidi ya Iran.
Hapo napo unasema je?
Mkuu niseme nini....Maana hata Hamas anamvuta Iran, Turkey....China hata Urusi awe upande wake....! Kuna Ubaya Israel ikimvuta Marekani?
Kumbe kila mtu ana litmus yake? Basi si sahihi kutumia litmus binafsi kuwahukumu wengine.
Kwamba kumbe nani gayuko njiani au nani ambaye yeye kafika?
Hivi Trump ukimsikia leo pro gun kama alivyokuwa angali hana maono mapya?