Ongeza na manzese na kariakooSawa ngoja wachambuzi na wataalamu wenzako wa maswala ya vita ya mashariki ya mbali kutoka Buza, Kwa Azizi Ally, Bunju B, Zhakiem na Gongo la Mboto waje kukupa uchambuzi wa kinachoendelea huko.
Dunia hii ukiwa mnyonge utaonewa sana ..kama akina Jordan na saudia arabiaLile shambulio lilikua ni move ya kurahisisha mambo yaende idf walitaka kuwapanda kichwani watu wazima
Hizbollah wenyewe hawamuelewi, walidhani kaja na wapiganaji kama Iran ilivyokua imeahidi, kumbe kaleta dawa ili Hizbollah wakomae wenyewe.
Yule Ayatolah mdogo aliyekuwa awe mbadala wa Ayatula wa Hezbola aliyeuwawa nae kauwawa usiku wa kuamkia leo.
Kama hii habari ni kweli, nahisi kuna kitu kinafichwa kuhusu lile shambulizi.Lile shambulio lilikua ni move ya kurahisisha mambo yaende idf walitaka kuwapanda kichwani watu wazima
Kama hii habari ni kweli, nahisi kuna kitu kinafichwa kuhusu lile shambulizi.
Na ndiyo maana hawa jamaa wanachimba biti kwamba wakishambuliwa tena round ijayo itakuwa mbaya zaidi.
Ngoja tuone.
Ni habari ya kwli mkuu🤠🤠🤠....Netapaka alihitaji kichaa mwenzie Ili mambo yaende sawa....alijifanya mwendawazimu kumbe kuna vichaa kama yy wanamchora tu....hyu rais mpya wa Iran alikuwa mpolempole naona kaisoma gemu kaona hapa ni kubadilika Ili waendane na Kasi ya drafti.....kibabu Ayatollah na chenyewe leo kimepiga mkwara tenaKama hii habari ni kweli, nahisi kuna kitu kinafichwa kuhusu lile shambulizi.
Na ndiyo maana hawa jamaa wanachimba biti kwamba wakishambuliwa tena round ijayo itakuwa mbaya zaidi.
Ngoja tuone.
Iran hata warusi wanamtegemea sana especially kule Ukraine.Bila msaada wa usa ujanja never happen
Kibabu Ayatollah kilijificha kabla ya shambulizi. Lakini baada ya shambulizi, naskia juzi kalikuwa somewhere live kwenye msikiti.😀Ni habari ya kwli mkuu🤠🤠🤠....Netapaka alihitaji kichaa mwenzie Ili mambo yaende sawa....alijifanya mwendawazimu kumbe kuna vichaa kama yy wanamchora tu....hyu rais mpya wa Iran alikuwa mpolempole naona kaisoma gemu kaona hapa ni kubadilika Ili waendane na Kasi ya drafti.....kibabu Ayatollah na chenyewe leo kimepiga mkwara tena
View: https://x.com/visegrad24/status/1842179262524063861
Lebanon wakileta ujuaji Israel inaongeza eneo lao
Dunia hii ukiwa mnyonge utaonewa sana ..kama akina Jordan na saudia arabia
Alafu unakuta ndege anazotumia ni za wamarekaniakija kupotelea angani muanze kulialia
Kisha sema wamemsaidia tokea vita ianze na Hamas na bado wataendelea kumsaidia afu kuna zile hesabu za 1=3 bado wanabisha eti Israel sio nchi dhaifu
Alafu unakuta ndege anazotumia ni za wamarekani
Israel imeendelea kushughulika na Hezbollah, hapo Sio mbali na uwanja wa ndege wa Beirut 🤔Onyo lilitolewa kwa ndege zote, za kivita ba kiraia akidai kwamba ndege za kiraia zimekuwa zikitumika kubeba silaha za kivita kwa ajili ya Hezbollah na jeshi la lebanon
Israel imeendelea kushughulika na Hezbollah, hapo Sio mbali na uwanja wa ndege wa Beirut 🤔
....
Bei Facebook anmelden
Melde dich bei Facebook an, um dich mit deinen Freunden, deiner Familie und Personen, die du kennst, zu verbinden und Inhalte zu teilen.www.facebook.com