Iran imedhamiria, waziri wake atua Beirut kibabe

Sawa ngoja wachambuzi na wataalamu wenzako wa maswala ya vita ya mashariki ya mbali kutoka Buza, Kwa Azizi Ally, Bunju B, Zhakiem na Gongo la Mboto waje kukupa uchambuzi wa kinachoendelea huko.
Ongeza na manzese na kariakoo
 
Hizbollah wenyewe hawamuelewi, walidhani kaja na wapiganaji kama Iran ilivyokua imeahidi, kumbe kaleta dawa ili Hizbollah wakomae wenyewe.
 
Yule Ayatolah mdogo aliyekuwa awe mbadala wa Ayatula wa Hezbola aliyeuwawa nae kauwawa usiku wa kuamkia leo.
 
Ndivyo walivyo kwambia? Ila Natenyahu kwa kuufyata yaonekana anawafanyia kitu mbaya kweli kweli.
 
Yule Ayatolah mdogo aliyekuwa awe mbadala wa Ayatula wa Hezbola aliyeuwawa nae kauwawa usiku wa kuamkia leo.

Hezbollah hawachagua bosi taarifa zenu ni kutokea wapi?
 
Lile shambulio lilikua ni move ya kurahisisha mambo yaende idf walitaka kuwapanda kichwani watu wazima
Kama hii habari ni kweli, nahisi kuna kitu kinafichwa kuhusu lile shambulizi.

Na ndiyo maana hawa jamaa wanajiamini sana na wanachimba biti kwamba wakishambuliwa tena round ijayo itakuwa mbaya zaidi.

Ngoja tuone.
 
Kama hii habari ni kweli, nahisi kuna kitu kinafichwa kuhusu lile shambulizi.

Na ndiyo maana hawa jamaa wanachimba biti kwamba wakishambuliwa tena round ijayo itakuwa mbaya zaidi.

Ngoja tuone.

Bila kusahau:

IMG_20241004_074855.jpg

Babu mtu kachoka, kila kukicha, shari!
 
Kama hii habari ni kweli, nahisi kuna kitu kinafichwa kuhusu lile shambulizi.

Na ndiyo maana hawa jamaa wanachimba biti kwamba wakishambuliwa tena round ijayo itakuwa mbaya zaidi.

Ngoja tuone.
Ni habari ya kwli mkuu🤠🤠🤠....Netapaka alihitaji kichaa mwenzie Ili mambo yaende sawa....alijifanya mwendawazimu kumbe kuna vichaa kama yy wanamchora tu....hyu rais mpya wa Iran alikuwa mpolempole naona kaisoma gemu kaona hapa ni kubadilika Ili waendane na Kasi ya drafti.....kibabu Ayatollah na chenyewe leo kimepiga mkwara tena
 
Kibabu Ayatollah kilijificha kabla ya shambulizi. Lakini baada ya shambulizi, naskia juzi kalikuwa somewhere live kwenye msikiti.😀
 
Dunia hii ukiwa mnyonge utaonewa sana ..kama akina Jordan na saudia arabia

Wanasema amani haipatikani ila kwa ncha ya upanga.

Yale yale ya Congo na wale super powers wa kwetu.
 
Onyo lilitolewa kwa ndege zote, za kivita ba kiraia akidai kwamba ndege za kiraia zimekuwa zikitumika kubeba silaha za kivita kwa ajili ya Hezbollah na jeshi la lebanon
Israel imeendelea kushughulika na Hezbollah, hapo Sio mbali na uwanja wa ndege wa Beirut 🤔
....
 
Kwa hiyo bado wako njiani, au?

IMG_20241004_175144.jpg
 
Back
Top Bottom