AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Ndio ina watu 93 Million na ndio nchi ya pili kwa ukubwa Middle East baada ya Saudi Arabia inafuata Iran ila hilo sio suala linalokufanya uwe na kiburi km kupigwa utapigwa tu na namba zako, U.S ina watu 349 Million na ukubwa wa Marekani kwa Iran chukua Iran 6 ndio unapata Marekani 1 kiukubwa, acha ubwegeHawajui Iran ina wananchi milioni 90 na ukubwa wa Tanzania + Kenya!
Bila ya shaka wewe unaripoti kutokea Chunya🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:
"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?
Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.
Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.
Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.
Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz
Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."
View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61
Wee jamaa !? 🤣🤣
Unaeweza kutueleza for fact huo ushindi alionao ni upi !? Na sio Kwa matamko Yako binafsi
Unajua malengo ya hiyo vita wakati vita inaanza USA na Israel walituambia malengo ya vita hiyo ni Nini !?
Watanyooka tu Kwanza hawana Airforce,Waajemi siyo watu wakukata ²tamaa kiwepe¹
Subscribed threads
si
Kwa hiyo wewe huamini kama Iran kwa sasa hawana Airforce,Navy na mifumo yao ya Ulinzi wa anga imeangamizwa??Waliwezaje kuweka mabomu ndani ya strait kama hawana navy? Or rather kwanini Meli za USA zisisindize mafuta maana si hakuna tena cha Navy?? Wanaogopa nini?
Kwa hiyo ninyi watu wa Dar mmemuua Netanyahu? Sasa nimeamini ndiyo maana wanaume wa dar mnaogopa Panyq Road!!Bila ya shaka wewe unaripoti kutokea Chunya
Baada ya kudanganywa na viraza wenzako
Sisi watu wa Dar tunaofuatilia hii vita tunachokijua ni kuwa Netanyau amejificha Yani hajulikani alipo
Mifumo Gani ya makombora waliyo iharibu !? Kama wamefanikiwa kuharibu hiyo mifumo makombora yaliyo rushwa Jana tel-aviv yametokea wapi !?1. Kuharibu mifumo ya kurusha makombora.
2. Kufanya Regime change (hili bado)
3. Kumuua Ayatollah Khamanei
Ndio nakuuliza wanawezaje rusha drones au Balistic missiles ilihali ndege za wayahudi zinazurura anga la Iran? Means zingekua intercepted ndani ya Iran humo humo.Kwa hiyo wewe huamini kama Iran kwa sasa hawana Airforce,Navy na mifumo yao ya Ulinzi wa anga imeangamizwa??
Acha utani!! Kwamba hauoni Trump alvyochimba biti kuhusu Iran kutega mabomu kwa bahari, sasa waliwezaje bila navy yoyote au kama ingekua USA inaitawala mwambao wa Iran? Kingine imekataza meli kupita hapo, je kama navy hapo kinachowauzia USA kusindikiza meli za mafuta ni nini? Na kwanini meli za Korea zimepigwa mabomu if at all bahari iko controlled na USAWanamaji nao wako kimya nyambizi na manoari za matekani zikitamba kwenye pwani ya Iran
Wewe hujasema hamna upinzani, umesema hamna kabisa ndege yoyote iliyosalia!! ila kila siku hapa Fox news (Machawa wa Trump) inaripoti mtanange ya Airforce.Binafsi sioni Ndege-vita za Iran zikileta upinzani kwa marubani wa ndege-vita za Israel
Kwahiyo yale makombora ya Iran yanayopiga kambi za USA, Tel aviv na vituo vya mafuta inamaanisha Israel haina ulinzi wa anga? Ukirusha makombora 100 wanaweza intercept 80 yakapita 20 ndio missile defense zilivyo otherwise Tehran ingekua majivu kama gaza. Maana so far Israel imerusha sio chini ya makombora 10,000!!wala sioni Mifumo ya ulinzi wa anga ukizidungua ndege za Israel badala yake tunaona ndege za Israel zinapiga zinapotaka bila upinzani wowote.
Oooh drone technology kama shaheed 238 unazijua? Kama unadhani vita za siku hizi mpaka utume askari unajidanganya. Drone Iran hana mpinzani hata Israel anajifunza kwake ndio maana wameomba msaada kwa Ukraine maana amepambana nazo sana. Ukichanganya na makombora hatari kama Kheibar shekan nani atapita strait of Hormuz?Huo mlango bahari wa Hormuz wataulinda vipi kama hawana ndege,wanamaji na mifumo ya ulinzi wa anga?
Unaonyesha umri wako. Au ujuha wako. Au vyote kwa pamoja.Huna Akili
We tatizo lako ukristo unakusunbua nani kakuambia Iran hawana Airforce au Navy mwambie Trump basi apitishe oil pale Hormoz kama anaweza afu nakuliza zile Carriers zake mbona kazikimbiza na kuziweka mbali na Iran karibu 1000 km badala kuzileta pale Hormoz🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:
"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?
Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.
Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.
Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.
Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz
Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."
View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:

We umeona ndege walizo piga hata aibu kujisifia umepiga ndege hizo hahahaha bei ya Missiles ni Mara 10 labda bei ya hizo old fleet alizo wawekea Iran1. Kuharibu mifumo ya kurusha makombora.
2. Kufanya Regime change (hili bado)
3. Kumuua Ayatollah Khamanei
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:
"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?
Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.
Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.
Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.
Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz
Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."
View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61
🇺🇸 Rais Donald Trump kuhusu Iran:
"Naam, tutakuwa katika hali nzuri sana. Unaona kinachoendelea?
Wako karibu mwisho wa mstari. Haimaanishi kwamba tutamaliza mara moja, lakini wako.
Hawana Jeshi la Wanamaji. Hawana Jeshi la Anga. Hawana trafiki ya kupambana na anga, chochote kile. Hawana mifumo ya udhibiti.
Tunaendesha masafa ya bure tu juu ya nchi hiyo.
Na sasa tutaangalia kwa makini sana milango ya bahari wa Hormuz
Mifumo ya bahari iko katika hali nzuri. Tumeangusha boti zao zote. Wana makombora, lakini sio mengi sana. Nadhani tuko katika hali nzuri sana."
View: https://x.com/kyg_best/status/2031899737859756209?s=61
Hawawezi vita vya muda mrefu? Check your facts againTatizo wamarekani hawawezi kuvumilia vita ya muda mrefu, wapiga kura hawataki hayo mambo.
Epic furry is doomed from the start.