Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Gaidi Marekani,presha iko juu,anapigwa nyuma na mbele,kwenye base zake,na kwa shoga mwenzake Israel,anakula kichapo.Kipindi kile yule kamanda wa Iran seleman kassim alivyo nyonyolewa Iran ilifanya hivi hivi kwa kurusha makombora kwenye kambi za Marekani kule Iraq . Pamoja na kurusha makombora yale hakuna chochote Marekani ilifanya, sababu ya Marekani kugwaya kipindi kile kuivamia ni namna ambavyo Iran ilikuwa ikitisha kipindi kile kwamba anga lake haliingiliki kirahisi ni moto wakuotea mbali .Sasa atachapika kirahisi maana Israel yupo kule alishaiaza kazi ,kwa hiyo wanaenda kumaliza kazi ambayo Israel ilianza.
Trump anapigwa nyuma na mbele,presha iko juuIran kama kawaida anapigaga bila matokeo. Yeye kabondwa kama ngoma ila uwezo wa kulipa kisasi ambacho kina maana hana
Qatar said it had successfully intercepted an Iranian missile attack on the United States’ al-Udeid base, the largest US military facility in the Middle East.
“The Ministry of Defense announced that Qatari air defenses successfully intercepted a missile attack targeting al-Udeid Air Base,” it said in a statement, adding that “the incident did not result in any deaths or injuries.”
Source: Al Arabiya news
Safi sanaBase zingine dhaifu,ya iraq wajeda wamekimbilia shelters kama wayahudi, wakati qatar yametunguliwa matatu matatu yametua
Trump presha iko juu,anapigwa kote kote,ni aibu kupigwa base zake tatu lwa mpigoUmeona sasa Iran anasema Hakuna Makubaliano ya kusitisha Mapigano (Ceasefire) Wakati Trump anasema ameutangazia ulimwengu wote kuwa Iran has agreed to Ceasefire
Kabisa Na Story wanazotoa Kuanzia Secretary Rubio, Waziri wa Ulinzi Pete Hegseth na VP zote ziko bias na wanajaribu kuonesha Ulimwengu kuwa Majeshi yao ni bora zaidiTrump presha iko juu,anapigwa kote kote,ni aibu kupigwa base zake tatu lwa mpigo
Marekani hawezi kuthubutu kujibu. Iran sio Gaza.Kama kweli yamerushwa basi marekani amepata sababu ya kushinda Iran masaa 24 akiteketeza
adiMashoga wawili wanataka kuharibu mpango wa nuclear wa Iran ambao inaoneka utakuja kuwa na athari kule Israel siku za usoni.
Pia wanataka kumtoa utawalani rafiki yangu wa muda mrefu Ayatollah Khemenei ambaye ameifanya Iran ishamiri kiuchumi pamoja na kuwekewa vikwazo na nchi zenye keherhere kama mkia wa mbuzi zikiongozwa na marekeni.
Kumbuka Iran ndiyo nchi nambari moja katika kuhakikisha taifa la Israel lililoanzishwa kimkakati pale middle east linateketezwa Moja kwa Moja.
Mungu ibariki Iran, Mwachiluwi say amen!
WaPiga Gaidi mkuu,Marekani
Elimu elimu elimuIran sio mchezo aise. Yaani kamnyuka Marekani kwenye military bases tatu kwa mpigo.
Lazima Marekani achanganyikiwe maana Iran hana ahadi feki.
Tafadhali naomba kujua maana ya neno "GAIDI", baada ya hapo niambie nani gaidi kati ya Iran na Marekani!View attachment 3380541
View attachment 3380548
Naona gaidi iran anatapa tapa, sasa ni dhahiri anajichimbia kaburi mwenyewe.
=======
Iran imetekeleza mashambulizi ya kombora dhidi ya kambi za kijeshi za Marekani zilizoko nchini Qatar na Iraq, kwa mujibu wa taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya kimataifa.
Mashambulizi haya yanakuja kama sehemu ya kulipiza kisasi kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni ya Marekani kwenye maeneo ya nyuklia ya Iran.
unaita marekani gaidi? Magaidi ni makobazi sheikhPiga Gaidi mkuu,Marekani
Hahaha 😂Waislam elimu Dunia inawapiga chenga sana
adi
Wa
marekani ipi hiyo wakati usa anawasambaratisha magaidi ya kikobazi? Unachekesha sheikh mjubaGaidi Marekani,anakula kichapo kote kote,nyuma nq mbele
Pamoja na îlim ahera 😂.🤣🤣🤣
Eti elimu dunia
anzia na magaidi wa black september, njoo magaidi wa RENAMO, rudi kwenye magaidi wa al Aqsa brigade maliza na magaidi ya islamic jihad ongeza na magaidi ya al Qaeda, al Shabaab, Boko Haram, Islamic state na matawi yake ndio utajua maana ya ugaidiTafa
Tafadhali naomba kujua maana ya neno "GAIDI", baada ya hapo niambie nani gaidi kati ya Iran na Marekani!
Acdna na huyo oimbi mkuuanzia na magaidi wa black september, njoo magaidi wa RENAMO, rudi kwenye magaidi wa al Aqsa brigade maliza na magaidi ya islamic jihad ongeza na magaidi ya al Qaeda, al Shabaab, Boko Haram, Islamic state na matawi yake ndio utajua maana ya ugaidi
na ujue kwamba watamshughulikia iran parallel and perpendicular, hawawezi kumuacha salama watamuadhibu tuIran sio mchezo aise. Yaani kamnyuka Marekani kwenye military bases tatu kwa mpigo.
Lazima Marekani achanganyikiwe maana Iran hana ahadi feki.