Iran imerusha makombora kwenye base za USA za Qatar na Iraq

M
View attachment 3380556

Iran asitusanifu.

Bases takribani 22 zote hizo azimudu na bado aendelee kupigana na Israel.

Iran itakeguka majivu mda si mrefu.
Marekani lazima atajibu tu.
Iran ilishawahi kufanya hivi mwaka 2020 baada ya Kifo cha soleiman ila ule mzozo ulitatuliwa Kwa njia ya diplomatic najua USA hawatajibu mapema Kwanza kwasababu wanajua hili eneo lote la middle east litaenea machafuko...
Iran kabla ya kufanya mashambulizi amewajulisha wanadlipomasia kadhaa wa ulaya kuwa atafanya mashambulizi ndiyo maana amerusha Tu ballistic Kwanza.

Iran itapigwa Tu Israel Hadi utawala huu uanguke
 
Secretary bird akamatwe afungwe jiwe kubwa atupwe baharini,
Like Ontario wa Jangda plaza nimekumbuka jamaa fulani hivi alikua anamkandia mwamba kinamna hiyo
Hahaha πŸ˜‚, hii amani feki ya hapa duniani nimeichoka.
 
I
Ajabu kwenye hizo base za Marekani hayo makombola yamechenjuliwa juu kwa juu ila Israel yanatua!

Ina maana anga la Israel lipo uchi kuliko la Qatar?

BTW:Leo Iran kachambia jani la mgomba!
Iran imerusha ballistic missiles Tu ndiyo maana yote wamepanguliwa....kule Israel anarusha makombora mengine ya hypersonic, Fatah, Shahid 2 na mengine
 
Mkuu media zinapotosha sana ndio mana unaona hata journalists wanakuwa blocked ku acces Israel ila infact Iran amesha amua liwalo na Liwe tu tena uyu atakuwa na Major player behind the scene yeye anatumika kama Catalyst tu, The World war inanukia sana sana Kuna dola inataka Kudondoshwa ile wa emerge wababe wengine
 
Madhara yaliyotokana na hili shambulio ni almost hakuna so US hatakuwa na haraka kujibu. Ni kama Iran wamepiga tu ili mradi wawaridhishe wananchi wao kuwa wamejibu
 
Ayatollah kifo kinamuandama sana karibia kinamkamata πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…