Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

The regime is gone my friend...stop day dreaming. Ayatollah is hiding in the bunkers like a rat. Wanachimba mikwara mbuzi kama mbwa aliyefungwa na minyororo. The Palavis ( utawala wa kifalme Shah) are thinking of coming back, if not democracy. The Iranians are finally liberated from 46 years of slavery...all hell has broken loose in Teheran. Sijui Ayatollah atakimbilia nchi gani, hata nchi nyingi za kiislam hawamtaki kwa sasa. Kuna ballistic moja ya nguvu imerushwa kwenda Israel masaa machache yaliyopita, ikaishiwa nguvu za kiume taratibu ikiwa hewani.
 
FB_IMG_1750042390358.jpg
 
taarifa kutoka nchini iran zimesema kuwa leo siku ya alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika israel ndani ya dk 6 tu
iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
Usiku unawaza vita vya Iran hauna kingine cha kuwaza
 
Hahahaa.

Hii mikwara tu. Hata Iraq walikuwa hivyo hivyo.

North Korea ndo kiboko yao.

Yule mwanamama wa TV yao anavyoongeaga, hata kama huelewi anachokisema, utajua tu kuwa anamaanisha anachokisema 🤣.
Nirth korea nao wake wale mikwara mbuzi but hawajawahi attempt kumpiga adui yao
 
taarifa kutoka nchini iran zimesema kuwa leo siku ya alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika israel ndani ya dk 6 tu
iran imesema haitalaumiwa kwa lolote

Mwendawazimu pekee ataziamini hizo hadithi.
Hakuna kitu kama hicho. Mabomu ya sumu yalikwishapigwa marufuku Duniani kote. Ukitumia tu bomu la sumu, Dunia nzima itakuja kukumaliza.

Hizo kaui ni za mtu aliyechanganyikiwa kama zile za Ayatollah aliopoupindua utawala wa Iran, akasema kuwa mtume aliagiza wazayuni waangamizwe, na hivyo Iran itaifuta Israel katika uso wa Dunia.
 
Ningekuwa Mimi ndiyo muirani ni geoiga mabomu ya nyukilia kama Ishirini ili kuifuta israel.maana Israel ni chanzo Cha migogoro Kila Kona ya dunia
Israel huwa hana shida na mtu vita vyote yeye ndio huwa anachokozwa.

Hata hili la Iran, haiwezekani mtu anatoka huko Mbagala anakuja kuwa provoke majirani zako hapo Bunju wakudhuru na mbaya zaidi anawapa Kila aina ya nyenzo Ili mradi tu wakuangamize alafu utulie tu? Never!! Kama uwezo unao utaanza kuwatandika majirani zako kwanza ukiona wametepeta hata jiwe hawawez kurusha ndio unamfuata mfadhili wao naye unamtandika vya kutosha na ndicho kinachofanyika kwasasa.

Vita vyote alivyopigana Israel huwa hana makosa wanamchokoza maksudi kabisa, sasa hivi Kuna Edorgan wa Uturuki Kila akiamka ni vitisho Kwa wayahudi usidhani hawamuoni Wala kumzingatia Bali Kuna mission lazima itakuwa inapangwa na Mossad Tena ya muda mrefu tu.
 
Israeli kosa lake ni mvamizi,pale alipo kavamia tu,hana uhalali
 
taarifa kutoka nchini iran zimesema kuwa leo siku ya alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika israel ndani ya dk 6 tu
iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
Mbona hawapigi?
 
Hahahaa.

Hii mikwara tu. Hata Iraq walikuwa hivyo hivyo.

North Korea ndo kiboko yao.

Yule mwanamama wa TV yao anavyoongeaga, hata kama huelewi anachokisema, utajua tu kuwa anamaanisha anachokisema 🤣.
Ila Ngabu kiukweli nimewavulia kofia Hawa nyau wa Israel. Ngoma haziogopi. Ile mikwara ya Hesbollah na kuonyesha Kwa misilaha mikubwa mikubwa,Dunia ikasema hapa mzayuni kwisha. Eti wao ndo wakaisha. Iran kazindua mpaka "UNDERGROUND MISSILES CITY" jamaa kamfata. Najua japo mmarekani anamsaidia ila Kuna muda anamwogopa. Uturuki ndo anajifanya ana kibri.
 
Uturuki anaangalia wapi anapata maslahi, huwa hana urafiki au ukaribu wa kweli. Russia wanawafaham sana hawa jamaa
 
Back
Top Bottom