Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

Kwa hiyo kwa hesabu zako hiyo 24,000km/hr maximum speed ndio itakuwa sawa na km 2300 kwa dk 6? Na wewe walewale tu wa madrasa nini?! We ambaye hujakurupuka kujibu!
Ndugu sasa hivi teknolojia imekua sana ila si kwa nchi kama Iran. Inchi kama america, Russia na China hayo makombora wanayo.
 
Tafuta hela acha kuwaza ujinga
Siwezi kutafuta wakati mwisho wa dunia ndio umefika. Ntaendelea kutafuta hela kama vita vya Israel na Iran vitaisha japo asilimia kubwa inaonekana ndiyo vinahitimisha mwisho wa dunia.

Iran akipiga hilo bomu, lazima Israel atajibu kwa Nyuklia, ghafla Marekani, sijui Pakistan, mara nchi mbalimbali zinaanza vurugu.

Kwa akili zao Wazungu, lazima watatupia tu mabomu Afrika ili tulingane, sidhani kama wataridhika nchi zao zisambaratike halafu Afrika ibaki vizuri
 
Dakika 6 kilometer 2300? Wandugu hata habari za kuokoteza muwe mnatumia na common sense basi hata kidogo! Kombora lina speed kuliko ya mwanga? Ni radi? Una elimu gani kijana?
Hio speed Wala sio kubwa, Speed ya mwanga unaijua lakini?
 
Hahahaa.

Hii mikwara tu. Hata Iraq walikuwa hivyo hivyo.

North Korea ndo kiboko yao.

Yule mwanamama wa TV yao anavyoongeaga, hata kama huelewi anachokisema, utajua tu kuwa anamaanisha anachokisema 🤣.

Yule mwanamama alimgomea Allah kwenda kuwa Bikra huko peponi 😂

Alisema Allah hawez kuruhusu wao kupigwa bomu, sekunde mbili tuu mzigo ukashuka hapo hapo 😂 mama akaona ameudanganya umma ngoja akimbie 🔥

Untitled (1).png
 
Atakuwa kayachukua kwa hao washirika wake China na Urus!
Si rahisi kuna mikataba wao wenyewe inawafunga, hakuna nchi inayojitambua ikakuuzia silaha za Makombora ya Ballistic (ICBMs - Intercontinental Ballistic Missiles, ) ilhali hajua kesho yake kama utaendelea kuwa rafiki yake au adui yake. maana itakapotokea umekuwa adui hicho alichokupa kinaweza kumzuru hata yeye.

Russia, China watampa teknolojia ambao wanajua wao haiwezi kuwaathiri kwa njia moja ama nyingine.
 
I
Siwezi kutafuta wakati mwisho wa dunia ndio umefika. Ntaendelea kutafuta hela kama vita vya Israel na Iran vitaisha japo asilimia kubwa inaonekana ndiyo vinahitimisha mwisho wa dunia.

Iran akipiga hilo bomu, lazima Israel atajibu kwa Nyuklia, ghafla Marekani, sijui Pakistan, mara nchi mbalimbali zinaanza vurugu.

Kwa akili zao Wazungu, lazima watatupia tu mabomu Afrika ili tulingane, sidhani kama wataridhika nchi zao zisambaratike halafu Afrika ibaki vizuri
Acha uoga wewee 😁😁😁
 
Dakika 6 kilometer 2300? Wandugu hata habari za kuokoteza muwe mnatumia na common sense basi hata kidogo! Kombora lina speed kuliko ya mwanga? Ni radi? Una elimu gani kijana?
Wakati mwalimu anafundisha physics yeye alikua anasugua tetere za ubuyu na kuwaunguza wenzake shingoni
 
The regime is gone my friend...stop day dreaming. Ayatollah is hiding in the bunkers like a rat. Wanachimba mikwara mbuzi kama mbwa aliyefungwa na minyororo. The Palavis ( utawala wa kifalme Shah) are thinking of coming back, if not democracy. The Iranians are finally liberated from 46 years of slavery...all hell has broken loose in Teheran. Sijui Ayatollah atakimbilia nchi gani, hata nchi nyingi za kiislam hawamtaki kwa sasa. Kuna ballistic moja ya nguvu imerushwa kwenda Israel masaa machache yaliyopita, ikaishiwa nguvu za kiume taratibu ikiwa hewani.
Ikiwa utawala wa Iran utang'olewa basi itakuwa nikwadhamana ya kuangamia taifa la Israel.
Haitakuwa na faida yoyote kwa Ayatullah Ghomeneiy na utawala wake lakini itakuwa ni fedheha na laana kubwa kwa Benjamin Netapaka na wafuasi wake.
 
Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika Israel ndani ya dk 6 tu
Iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
Wenzao mbona wanayo ya sumu siku nyingi
 
Hahahaa.

Hii mikwara tu. Hata Iraq walikuwa hivyo hivyo.

North Korea ndo kiboko yao.

Yule mwanamama wa TV yao anavyoongeaga, hata kama huelewi anachokisema, utajua tu kuwa anamaanisha anachokisema 🤣.
Lakini mpaka sasaivi unaonaje mziki? can you face?
Yahudi alienda kuchopa akadhan labda kutaekwa mkutano kwanza kujadili hasara nani kapiga na alaumiwe, nyuma vilishuka un-expected
 
Back
Top Bottom