Israel huwa hana shida na mtu vita vyote yeye ndio huwa anachokozwa.
Hata hili la Iran, haiwezekani mtu anatoka huko Mbagala anakuja kuwa provoke majirani zako hapo Bunju wakudhuru na mbaya zaidi anawapa Kila aina ya nyenzo Ili mradi tu wakuangamize alafu utulie tu? Never!! Kama uwezo unao utaanza kuwatandika majirani zako kwanza ukiona wametepeta hata jiwe hawawez kurusha ndio unamfuata mfadhili wao naye unamtandika vya kutosha na ndicho kinachofanyika kwasasa.
Vita vyote alivyopigana Israel huwa hana makosa wanamchokoza maksudi kabisa, sasa hivi Kuna Edorgan wa Uturuki Kila akiamka ni vitisho Kwa wayahudi usidhani hawamuoni Wala kumzingatia Bali Kuna mission lazima itakuwa inapangwa na Mossad Tena ya muda mrefu tu.