Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

Kiutani utani kumbwe mwisho wa dunia ndio mwaka huu unahitimishwa na vita vya Iran na Israel. Maandiko si yanasema mwisho wa dunia ni pale nchi ndogo itakapoishinda nchi kubwa kijeshi. Ngoja tuone! Mimi nazidisha maombi nijiandae kwenda peponi!
Hakuna kitu kama hicho, mwisho wa dunia ni mpaka pale injili ya ushuhuda itakapo hubiriwa ulimwenguni kote ndio huo mwisho utakapofika sasaivi tunaelekea mida ya jioni, hakimu wa haki muda huu anaanda mafaili ya hukumu ya haki kwa ajli ya siku hiyo. Stay tune
 
Taarifa kutoka nchini Iran zimesema kuwa leo siku ya Alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani Iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika Israel ndani ya dk 6 tu
Iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
Sasa hao israeli wataiacha wakati wao wanayo nyuklia tayari,katibu vichwa 90
 
Back
Top Bottom