kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 332
- 952
Usiku unawaza vita vya Iran hauna kingine cha kuwazataarifa kutoka nchini iran zimesema kuwa leo siku ya alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika israel ndani ya dk 6 tu
iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
Nirth korea nao wake wale mikwara mbuzi but hawajawahi attempt kumpiga adui yaoHahahaa.
Hii mikwara tu. Hata Iraq walikuwa hivyo hivyo.
North Korea ndo kiboko yao.
Yule mwanamama wa TV yao anavyoongeaga, hata kama huelewi anachokisema, utajua tu kuwa anamaanisha anachokisema 🤣.
taarifa kutoka nchini iran zimesema kuwa leo siku ya alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika israel ndani ya dk 6 tu
iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
Israel huwa hana shida na mtu vita vyote yeye ndio huwa anachokozwa.Ningekuwa Mimi ndiyo muirani ni geoiga mabomu ya nyukilia kama Ishirini ili kuifuta israel.maana Israel ni chanzo Cha migogoro Kila Kona ya dunia
Israeli kosa lake ni mvamizi,pale alipo kavamia tu,hana uhalaliIsrael huwa hana shida na mtu vita vyote yeye ndio huwa anachokozwa.
Hata hili la Iran, haiwezekani mtu anatoka huko Mbagala anakuja kuwa provoke majirani zako hapo Bunju wakudhuru na mbaya zaidi anawapa Kila aina ya nyenzo Ili mradi tu wakuangamize alafu utulie tu? Never!! Kama uwezo unao utaanza kuwatandika majirani zako kwanza ukiona wametepeta hata jiwe hawawez kurusha ndio unamfuata mfadhili wao naye unamtandika vya kutosha na ndicho kinachofanyika kwasasa.
Vita vyote alivyopigana Israel huwa hana makosa wanamchokoza maksudi kabisa, sasa hivi Kuna Edorgan wa Uturuki Kila akiamka ni vitisho Kwa wayahudi usidhani hawamuoni Wala kumzingatia Bali Kuna mission lazima itakuwa inapangwa na Mossad Tena ya muda mrefu tu.
Mbona hawapigi?taarifa kutoka nchini iran zimesema kuwa leo siku ya alhamisi huenda dunia ikaandika katika historia kwani iran inaweza kupiga israel kombora lake la sumu ambalo halizuiliki wala kuonekana kwenye rada na linafika israel ndani ya dk 6 tu
iran imesema haitalaumiwa kwa lolote
Kama hiyo ndio sababu ya wao kumvaamia Kila mara basi acha aendelee kuwatandika mpaka pale watakapokubaliana na Hali halisi.Israeli kosa lake ni mvamizi,pale alipo kavamia tu,hana uhalali
Ila Ngabu kiukweli nimewavulia kofia Hawa nyau wa Israel. Ngoma haziogopi. Ile mikwara ya Hesbollah na kuonyesha Kwa misilaha mikubwa mikubwa,Dunia ikasema hapa mzayuni kwisha. Eti wao ndo wakaisha. Iran kazindua mpaka "UNDERGROUND MISSILES CITY" jamaa kamfata. Najua japo mmarekani anamsaidia ila Kuna muda anamwogopa. Uturuki ndo anajifanya ana kibri.Hahahaa.
Hii mikwara tu. Hata Iraq walikuwa hivyo hivyo.
North Korea ndo kiboko yao.
Yule mwanamama wa TV yao anavyoongeaga, hata kama huelewi anachokisema, utajua tu kuwa anamaanisha anachokisema 🤣.
Wanayo? Wangekua nayo wangeshatumiaNingekuwa Mimi ndiyo muirani ni geoiga mabomu ya nyukilia kama Ishirini ili kuifuta israel.maana Israel ni chanzo Cha migogoro Kila Kona ya dunia
Uturuki anaangalia wapi anapata maslahi, huwa hana urafiki au ukaribu wa kweli. Russia wanawafaham sana hawa jamaaIla Ngabu kiukweli nimewavulia kofia Hawa nyau wa Israel. Ngoma haziogopi. Ile mikwara ya Hesbollah na kuonyesha Kwa misilaha mikubwa mikubwa,Dunia ikasema hapa mzayuni kwisha. Eti wao ndo wakaisha. Iran kazindua mpaka "UNDERGROUND MISSILES CITY" jamaa kamfata. Najua japo mmarekani anamsaidia ila Kuna muda anamwogopa. Uturuki ndo anajifanya ana kibri.