Iran imetangaza hali ya hatari kwa wananchi wa Israel, huenda ikapiga bomu la hatari duniani

Tena Erdogan ndo mtu rahisi zaidi ndio maana hata Huwa hawamzungumzii. Hujaskia wakiita IRAN kichwa Cha nyoka!? Inamaana walikuwa wanamhofia zaidi ya Uturuki. Hawa jamaa hawaogopagi.
 

Dakika 6 kilometer 2300? Wandugu hata habari za kuokoteza muwe mnatumia na common sense basi hata kidogo! Kombora lina speed kuliko ya mwanga? Ni radi? Una elimu gani kijana?
 
Siku Iran akifanya hivyo ndio siku ambayo dunia itaiona Marekani kama Taifa katili mno
 
Mikwara mingine bhana Sasa anatangaza Ili Israel amuombe msamaha au?
 
Vita ya maneno ishaanza.
 
Hahahaa.

Hii mikwara tu. Hata Iraq walikuwa hivyo hivyo.

North Korea ndo kiboko yao.

Yule mwanamama wa TV yao anavyoongeaga, hata kama huelewi anachokisema, utajua tu kuwa anamaanisha anachokisema 🤣.
🤣🤣 Mwanamama mbishi sana yule, Mossad hawachelewi kumtumia drone ili wamkomoe maana anapandisha morali sana jinsi anavyotangaza
 
Siku Iran akifanya hivyo ndio siku ambayo dunia itaiona Marekani kama Taifa katili mno
Na sio Israel tena kumbe ni Marekani?😂😂

Tunaposema gaidi namba moja duniani ni Marekani ila Israel ni anatumiwa tu mnakuja juu kwamba Israel ana nguvu sana za kijeshi.

Sasa hapa ume prove kwamba Iran akimtwanga Israel kipigo cha mbwa koko lazima mumewe akurupuke mafichoni.
 
Kwa hiyo kwa hesabu zako hiyo 24,000km/hr maximum speed ndio itakuwa sawa na km 2300 kwa dk 6? Na wewe walewale tu wa madrasa nini?! We ambaye hujakurupuka kujibu!
24,000km/hr ni sawa na 400km per minute, kwa dakika 6 missile itacover 2400kms. Punguza common sense kwenye mambo ya tech, watu wapo mbali sana
 
Kiutani utani kumbwe mwisho wa dunia ndio mwaka huu unahitimishwa na vita vya Iran na Israel. Maandiko si yanasema mwisho wa dunia ni pale nchi ndogo itakapoishinda nchi kubwa kijeshi. Ngoja tuone! Mimi nazidisha maombi nijiandae kwenda peponi!
 
Kiutani utani kumbwe mwisho wa dunia ndio mwaka huu unahitimishwa na vita vya Iran na Israel. Maandiko si yanasema mwisho wa dunia ni pale nchi ndogo itakapoishinda nchi kubwa kijeshi. Ngoja tuone! Mimi nazidisha maombi nijiandae kwenda peponi!
Tafuta hela acha kuwaza ujinga
 
Na jana pia walisema wangefanya jambo la kihistoria litakalokumbukwa duniani, wamefanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…