Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Byeeee
 
TRUMP ANAKWAMBIA HAYO N MAKOMBORA YA KIZAMAN BADO MAPYA HAHAHA
 
Na Qatar ni wastaarabu sana hata maswala ya masilaha silaha wao hawajihusishi nayo sana, wao wamejikita kwenye biashara na kuimarisha uchumi wa nchi.

Waislamu wanasema ndugu yao ni Muislamu lakini haya mashambulizi ya Iran yanakuja ku prove tofauti.
 
We ndio jifakari wakati Iran anashambuliwa Iran walikuwa wanaongea na USA kuhusu Nuclear program ya Iran kisiasa na Iran walijuwa wazi Israel hawezi sogea Iran bila USA. Kwanza ni USA ndio walio muuwa Ayatollah wanadai wao walimpa infomation Israel Khomen yupo wapi si kweli.
 
Huwezi kutamba una jeshi imara wakati first attempt mtu ameshakuuwa!!
First attemp ambayo ni kama ambush, wala hii haiwezi kutumika kama hoja ya kudogosha uimara wa jeshi
 
Na Qatar ni wastaarabu sana hata maswala ya masilaha silaha wao hawajihusishi nayo sana, wao wamejikita kwenye biashara na kuimarisha uchumi wa nchi.

Waislamu wanasema ndugu yao ni Muislamu lakini haya mashambulizi ya Iran yanakuja ku prove tofauti.
Kwa hio ndugu yangu ampe adui ardhi yake ili anipige mimi ni muwache tu sababu ndugu usalaba ni noma haswa. Akili zenu zimekaa kama misalaba yenu.
 
Adui wa mtu ni mtu wa karibu, waliomchoma ni hao hao walinzi wake
Israel huwa wana watu on the ground, wanawachomeka sehemu zote muhimu. Of course kuna guards kununuliwa na kuuza mchezo lakini ukumbuke MOSSAD wana watu humohumo ambao huishi tu kama locals and with fluency in local languages kama wanavyofanyaga kwa nchi zote za Kiarabu.
Majasusi wa Kiisraeli wako vizuri sana katika versions zote za Kiarabu na Kiajemi.
 
China atashindwa sio kwasababu ya military capability ila waliomzunguka ni ma snitch kifala
Hana uwezo wa kijeshi kama unavyodhania. Marekani imekuwa na tabia ya kumfanya adui yake aonekane mkubwa zaidi kisiasa na kijeshi kabla ya kuchukua hatua dhidi yake, na kuhalalisha hayo kwa dunia. Kuna kesi zilizo wazi kwenye rekodi kwa mfano, migogoro kama ya Iran, Iraq, Russia-Ukraine, Libya n.k. Sasa ni China na utashangaa kama kawaida yenu.
 
Tuliripoti Ndo mana mtandao ukazimwa na baada ya kuwasha mtandao tukaendelea kuripoti.
Huyu ni mpuuzi tu,

Hakuna jukwaa linaripoti ujinga wa Samia hapa Tanzania kama JF.
 
RIP Comrade Kamenei. Marekani na Israel ni zaidi ya mashetani hapa duniani.
 
Kufa n kufa tuu, kwan ukisema Israel wamemuua Huyo kobaz wako utachapwa?

Usijali hatukuchapi ๐Ÿ˜‚
 
Kwahiyo kina Mbaga Jr na hilo parody la naniliu bimstaafu wanazingua hawajui hata nini kinachoendelea ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Kila mtu ana sababu zake juu ya jinsi wanavyochukulia hili suala
Lakini mimi binafsi niko against mauaji ya makusudi ya watu wasio na hatia, haijalishi huyo mtu ni Muislamu, anaabudu sanamu, Mkristo au hana dini, hupaswi kuua waandamanaji 3000

Mimi najua kuna waislamu wengi tu wanaofurahia kifo cha Khamenei
 
Akipigwa Samia wataanza kusema kapigwa mwanamke jamani? Wanasahau kama huyu mwanamke ni jini nyonya damu linaloshikilia tuzo ya mtu katili zaidi duniani
 
Msemaji wa Jeshi la Israeli (IDF): Tumewaua maafisa 40 na viongozi wakuu wa serikali katika shambulio la mwanzo โ€“ ndani ya dakika moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ