Iran Imethibitisha Kuwa Kiongozi Mkuu, Ayatollah Ali Khomeini ameuawa

Habari njema. Habari mbaya, imla Tramp kamuua mwenzake Khamenei. Ubaya, tunaobeba madhara ni sisi tunaopandishiwa bei ya mafuta na bidhaa. Ukiona kunguru wananyongana, we panzi yako nini?
 
Habari njema. Habari mbaya, imla Tramp kamuua mwenzake Khamenei. Ubaya, tunaobeba madhara ni sisi tunaopandishiwa bei ya mafuta na bidhaa. Ukiona kunguru wananyongana, we panzi yako nini?
Vita imeisha mjomba.
 
Wewe umejuaje alikuwa haogopi kufa? Alikupigia simu akakuambia?
 
How comes Iran viongozi wao wanauwawa kizembe namna hii?
Nafikiri hawa wamewekewa chip au Kama zile simu wakati ule

Kuna inteligensia kubwa sana na mikakati yao ya kuwamaliza

Yaani hata kusalimiana na viongozi kwa mkono itakuwa hatari.

Ila wa kwetu wanapenda mpaka kukumbatiwa
Sasa hawa hata Kama ni sindano wanachomwa hata za mgongo bila kuhisi

Waacheni tu
Wakitakiwa kufa wanakufa kizembe sana
Dunia hii hata wewe Una wachawi wako Ila basi tu mida haijafika
 
Hakuna neema yeyote kwa Mzee Khamenei, ataozea jehanamu kwa mauaji ya raia wasio na hatia aliyofanya.
We kama nani umhukumu binadamu kwa propoganda za US na Netanyahu au Western. Kwa hio Trump na Netanyahu wao ndio wataenda peponi kutokana na akili zako.
 

Mwendo ni kuwapelekea tu kitu cha moto hawa magasho wakiinama tu nk kuwachapa nao akina Ritz Jagina Makebo ChoiceVariable YALE MAZOEZI MNAYOFANYA YA KUWATEGA WANAUME KWA KUBONG'OA KILA SIKU WENZENU WANACHOMEKA PIPE WANAPELEKA MOTO HALAL KABISA. SHOGA MOJA KUBWA LENU LIMEPELEKEWA MOTO. ENDELEENI NANYI KUWA MNAINAMA INAMA KUWATEGA WA WANAUME. Watu hawamswalii mtume tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…