Aisay hakuna hata alicho ongea kimemsaidia zaidi ya kuzidi kuonekana kachanganyikiwa. China leo kasema hawawezi kukubali kuendelea kusubiri ujinga wa Trump kanzisha vita ambayo imeleta matatizo kwenye nchi nyingi duniani hapa ba nusa nusa harufu karibu China atakinukisha๐บ๐ธ๐ฎ๐ท Trump hataki tena "Kuokoa" Wairani, sasa anasema watawarudisha kwenye Enzi ya Mawe kwa kugonga miundombinu ya kiraia:
"Tutawarudisha kwenye zama za mawe, ambako ni zao. Kumbuka kwamba uhalali wa awali wa vita ulikuwa "kusaidia" Wairani."
View: https://x.com/megatron_ron/status/2039631144707088749?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Anadhani Iran wanaogopa anawatisha Iran lakini waisrael ndio wanaharisha sababu wanajua ukiharibu miundombinu๐จ๐บ๐ธ๐ฎ๐ท Trump: "Iwapo makubaliano hayatafikiwa, tutaathiri sana kila kituo chao cha kuzalisha umeme, ikiwezekana kwa wakati mmoja"
Hiyo ni kama mara ya 10 yeye kutishia hii ๐คฃ
Kuna mgalatia mmoja kaanzisha uzi eti analalamika Iran kashambulia makampuni ya Marekani lakini yupo kimya Marekani kushambuliaAisay hakuna hata alicho ongea kimemsaidia zaidi ya kuzidi kuonekana kachanganyikiwa. China leo kasema hawawezi kukubali kuendelea kusubiri ujinga wa Trump kanzisha vita ambayo imeleta matatizo kwenye nchi nyingi duniani hapa ba nusa nusa harufu karibu China atakinukisha
Afu anadai eti Iran karusha Missiles tatu alidhani Iran kaishiwa Missiles au sa mbona anapiga keleleKuna mgalatia mmoja kaanzisha uzi eti analalamika Iran kashambulia makampuni ya Marekani lakini yupo kimya Marekani kushambulia
Miundombinu ya Iran.
Kazi imeenza.
View: https://x.com/marionawfal/status/2039351374006390839?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Iran jana wamesema wameishafanya maamuzi ya bunge wameteuwa kamati ya kukusanya tozo wamewafahamisha wenzao wa Oman.Anadhani Iran wanaogopa anawatisha Iran lakini waisrael ndio wanaharisha sababu wanajua ukiharibu miundombinu
kule Iran na wao inakula kwao
๐ฎ๐ฑ Makombora ya Hezbollah yanaonekana kugonga McDonald's kaskazini mwa Israel.Afu anadai eti Iran karusha Missiles tatu alidhani Iran kaishiwa Missiles au sa mbona anapiga kelele
Unajua hi vita wa Israel wengi wameanza kuiba wanaingia kwenye Mall's au Restaurant's hawatoki mpaa wakisikia Air raid sirens wanakimbia na vitu walivyo chukua au kula bila kulipa hahaha๐ฎ๐ฑ Makombora ya Hezbollah yanaonekana kugonga McDonald's kaskazini mwa Israel.
Ndani imeharibiwa kabisa.
Siku mbaya sana
Hawa si uwa wanajifanya kugawa pizza za bure kwa wanajeshi wa Marekani.
View: https://x.com/marionawfal/status/2039637240947806475?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw