Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

Wewe unadhani Iran haina nuclear bombs?
 
Kama kuna kete Marekani na wenzie wanaisubiri kwa hamu sana, basi ni Iran kuingia vitani na Israel.
 
Kwahiyo Iran ana nuclear bombs?
 
Nyuklia haitumiki hovyo hovyo hata ukiwa nayo mara ya kwanza na ya mwisho kutumika ilikuwa katika vita vya pili vya dunia.

Vimepiganwa vita vingi tena na mataifa yaliyo na nyuklia lakini hadi leo hakuna taifa lililo thubutu kutaka kutumia hayo makombora zaidi ya kutishia tu.

Leo Russia anapigana na Ukraine lakini mpaka leo na makombora yake ya kunyuklia hajayatumia
 
Je Merakani alizidiwa nguvu n North Korea?
 
Nimemaanisha nchi yenye nuclear power haiwezi vamiwa tu kizembe. Kuna tahadhari kubwa sana inachukuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…