Iran inajiandaa kupiga ndani ya Israel kwa masaa 48 yajayo

Unaandika uharo mwengi sana wasome mabwana zako huko walipo
Mavi yangango Pambas.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
🚨 Muda mfupi uliopita, IOF iliamua rasmi kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga "kutokana na hali ya usalama."

Kwa saa kadhaa, jeshi la anga na ulinzi wa IOF vimekuwa katika hali ya tahadhari na tayari kabisa, wakihofia jibu la Iran kwa shambulio la IOF la ubalozi mdogo wa Damascus, kulingana na vyombo vya habari vya Kizayuni. Wakati huo huo, Waziri wa Vita Gallant alitoa hotuba akisema operesheni itaongezeka upande wa kaskazini.

Kwa kuzingatia hofu hii ya majibu au vita vilivyopanuliwa, benki kuu ya "Israel" inaomba benki kuhifadhi kiasi kikubwa cha fedha, kutokana na ongezeko la uwezekano wa mahitaji kupitia ATM.

Zaidi ya hayo, vyanzo vya ndani katika #AlQuds viliripoti kwamba shule zitabadilika na kutumia masomo ya mbali mwishoni mwa Ramadhani kwa angalau mwezi mmoja, sanjari na hali ya hatari ili kuzihamisha shule hizo na kuzigeuza kuwa makazi ya walowezi waliohamishwa kutoka kaskazini.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
🚨 Moments ago, the IOF officially decided to call up reserve soldiers for air defense systems "due to the security situation."

For several hours, the IOF's air force and defenses have been on high alert and full readiness, fearing an Iranian response to the IOF's bombing of the Damascus consulate, according to Zionist media. Simultaneously, War Minister Gallant made a speech stating the operations will increase on the northern front.

In light of this fear of a response or an expanded war, the central bank of "Israel" is requesting banks to stock up on large amounts of cash, due to a potential increase in demand through ATMs.

Additionally, local sources in #AlQuds reported that schools will switch to remote learning at the end of Ramadan for at least a month, coinciding with a state of emergency to evacuate the schools and turn them into shelters for displaced settlers coming from the north.

Archive img.
 
Hahaaa malofa kweli nyie hivi unaweza kumpangia mtu apigane vipi vita?
Sio kumpangia apigane vipi vita bali azingatie kanuni na taratibu za mapigano na sio kuwaingiza na wasiohusika. Jeshi lipo kikazi kwenye vita na ndio kazi yao. Sasa hairuhusiwi kuwatumia raia wasio na silaha kama ngao ya kujikinga. ndo mana Raia wasio na hatia wa Palestina wanauawa. Wenye hatia ni wapiganaji (wanajeshi) kwa wapiganaji (Jeshi pinzani).
 
Reactions: 511
Israel anazingatia kanuni na taratibu za mapigano? Juzi kawaua raia wa nchi za uingereza, marekani ,Australia na Poland ambao walikua wanapeleka misaada kwa raia wa palestina hizo ndio kanuni za kupigana?
 
Sasa ndugu yangu hebu kuna mambo tuyaweke sawa.

Israel inapambana na kikundi cha wanamgambo wa Hamas. Kikundi ambacho kipo Gaza chenye idadi ya wapiganaji takribani elfu ishirini (20,000). Gaza ambayo ukubwa wake kama wilaya ya Kigamboni.

Mpaka sasa Israel bado anapambana nacho hicho kikundi na Israel ametumia 82% ya uwezo wake wa kijeshi. Kikundi ambacho kinatumia silaha duni.

Tangu mwaka jana mpaka sasa bado hajamaliza vita.

Unafikiri kupigana vita ni rahisi?
Umejaribu kuwaza akipigana na nchi kamili yenye majeshi kamili na yenye silaha za hali ya juu itakuwa salama kwa Israel?

Unafikiri kwa nini Marekani imejaribu na imeweza kupunguza mvutano wa Hizbullah kuingia vitani na Israel kipindi hiki?
 
Nakubali wanajua(Russia ndie anawapa huo utalaam) ila bado hawajatengeneza.
Moja kati ya sababu za Iran kuipa Russia siraha ni kwa vile, bado anamtegemea Russia ku bypass vipuri kumfikia Iran maana yeye ana ban hauziwi.
Sawa sawa!

Lakini unafahamu pia USA ilikuwa inamlipa Iran kiwango kikubwa cha pesa ili asitengeneze hayo mabomu?

Na unakumbuka pia kipindi cha kati Iran alitishia kuwa atafanya urutubishaji na kutengeneza hayo mabomu ya nuclear?
 
Israel anazingatia kanuni na taratibu za mapigano? Juzi kawaua raia wa nchi za uingereza, marekani ,Australia na Poland ambao walikua wanapeleka misaada kwa raia wa palestina hizo ndio kanuni za kupigana?
Mlengwa HAMAS ndiye ametibua utaratibu mzima kwa kuwatumia raia kama ngao. HAMAS sio jeshi bali ni kikundi (wengine wamekiita kikundi cha kigaidi) chenye silaha na kinashambulia kwa kushtukiza kutokea mikusanyiko ya watu, mahospitalini, mashule n.k. Hakina mwelekeo katika mapigano kitu ambacho ni tofauti kabisa na mapambano kati ya Jeshi A na jeshi B
 
Israel yenye unazungumzia ni hii daily inapokea msaada kutoka US? ama kuna ingine
 
Sawa sawa!

Lakini unafahamu pia USA ilikuwa inamlipa Iran kiwango kikubwa cha pesa ili asitengeneze hayo mabomu?

Na unakumbuka pia kipindi cha kati Iran alitishia kuwa atafanya urutubishaji na kutengeneza hayo mabomu ya nuclear?
Point yangu ni hana siraha za nuclear mpka sasa.
Nafahamu anapambana kutengeneza, nimesema hivyo toka mwanzo.
 
🤣🤣🤣 unataka hamas iwe na mwelekeo wa mapigano. Unaakili sawa sawa kweli wewe.?
 
🤣🤣🤣 unataka hamas iwe na mwelekeo wa mapigano. Unaakili sawa sawa kweli wewe.?
Kha! Sasa IDF inapotenda kama wanavyotenda HAMAS i.e. bila mwelekeo wa mapigano mbona tena mnalia-lia? Si ndivyo mnataka game liwe?
 
Noted
 
Tahadhari kuwepo haimaanishi kuwa huwezi kushambuliwa kwa sababu ya Nyuklia zako.

Nyuklia haitumiwi hovyo hovyo kama mabomu mengine tu
Huyo anabisha hafahamu lolote, Iran ilishafanya testing za nuclear bombs wakifanyiwa na North Korea.
Kama Iraq na Syria walishatengeneza vinu vya nuclear miaka mingi nyuma itakuwa Iran?
Iran alishatengeneza hadi kombora za kufika US.

Nchi imejaa wanasayansi wa nuclear itashindwa kutengeneza silaha za nuclear? Watu wanatengeneza hadi air defense systems na drones za kivita na kuipa Russia watashindwa vipi kuwa na tech ya mwaka 1945 kwenye 2nd World War?

Iran ina ndoto baadae kuja kufanya biashara ya ya gas na nchi za ulaya, ndio maana kuanza kumiliki silaha za masafa na nuclear bombs inakuwa inaleta sintofahamu na europe ndio maana projects zake ni za siri sana, zamani walitengeneza kombora lina range kufika US baadae wakabadili sera na kusema maadui zao wapo pale pale middle east hivyo haina sababu kuwa na long range missile kiasi kile kwani inaleta taharuki kwa nchi hasa zilizopo Europe.
 
Kha! Sasa IDF inapotenda kama wanavyotenda HAMAS i.e. bila mwelekeo wa mapigano mbona tena mnalia-lia? Si ndivyo mnataka game liwe?
Mbona unakua kama mwanamke malaya malaya dada? Aliyesema Israel anafuata kanuni za kupigana ni nani kama siyo wewe? Umegeuka tena kua IDF inatenda kama wanavyofanya Hamas? Haya naona utakua umechoka pumzika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…