Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Ndugu, nimekujibu kwa staha tena kwa hoja kwa kile ninachofahamu; hayo matusi Yako yanatoka wapi?
Mihemko uliyonayo kama vile jina lako litasomeka kwenye makabila 12
Narudia; JIBU KWA HOJA
Hakuna tusi hapo labda tu una Makasiriko yako baada ya Iran kupigwa vinu vyake vya Nuclear!! Wala hapo hakuna hoja yoyote ya kujibiwa
 
Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Duuuuh!
Yaani umesoma bandiko lote la Ngabu lakini bado umekuja na hili swali!?

Hakika kuna namna genes za Wanzania zina shida.
Sasa wewe ni mtu ambaye una exposure ya kutosha na shule umeenda lakini bado bandiko lenye maneno kadhaa umeshindwa kulielewa. Watu wa namna yako (wasomi) ndio wanapewa mamlaka ya kuongoza hili taifa, vuta picha tunapoelekea.

Inabidi ichukuliwe sampuli ya ubongo wa Mtanzania mmoja ipelekwe maabara ikafanyiwe utafiti, kuna namna ubongo wa Mtanzania una shida.
 
Pakistan sio tishio kwa Israel......ukizingatia amepakana na Kibaraka wao mkubwa India ambaye anammudu vizuri......

Threat pekee kwa Israel ni Iran na anao uwezo kijeshi, kiuchumi na kiintelejensia kumuondoa Israel
Miaka ya 2000 Israel ilishawahi kutaka kuishambulia Libya sababu Libya alikuwa na mpango wa kuunda siraha za Nuclear toka Pakistan.

Sasahivi si unaona Pakistan anamsaidia Iran? Basi kaa na hili kuwa akitoka Iran basi next Pakistan, Israel hataki nchi yoyote ya kiarabu iwe na nguvu za kijeshi, ameshapiga Syria miaka hiyo, ashaitumia Marekani kwa Iraq etc
 
Acha ujinga kama ni Kahaba ni wewe tu!!! Acha kueneza chuki za kukaririshwa na Wafuga Midevu na Majini.

Ni kweli Israel ni taifa teule utake Usitake watabaki kuwa taifa teule!!!
Umewahi kusikia muisrael akimlilia mkongi anayepigwa mabomu na risasi kwasababu ya mali?

Muisrael amewahi kusema free Suda/Somalia n.k?

Mnajikombakomba kwa watu ambao hawana muda na ninyi
 
Jibu swali, unafuatilia vyombo Gani vya habari ?
 
Iran wanarusha tu makombora bila target maalumu,

Na wanaokufa ni watu Muhimu kwa Iran

Kwa upande wa israel hizi bunker zimejengwa mapema na Mpaka rocket itoke iran ifike israel wanakuwa tayari kwenye bunker zao,

Hivo Iran anaishia kupiga majengo tu
 
Si tulikuwa tunazungumza chanzo cha huu mjadala au sio?
Nimejaribu hapo kutoa sababu kwanini Israel anashindwa kuishi kwa amani na majirani zake
Ni hivi israel inataka sana Amani na majirani zake wote tatizo lao wao ndiyo wanataka kuwaangamiza, hata kama ni wewe Jirani yako akitaka kukuangamiza lazima utajitete tu kwa njia yoyote ile!!!!!

Israel katika vita vyote hakuna vita ambayo yeye mwenyewe kaianzisha dhidi ya waarabu hata waajemi yeye anachokozwa tu ndipo na yeye Ana amba kuliamusha dude!!!

Hebu niambie ni wapi Israel ilianzisha vita ili kumchokoza mtu yeyote jibu ni hakuna. Katika mgogoro wa Mashariki ya kati israel ndiye aliyechokozwa a nayo haki ya kujilinda.
 

Attachments

  • IMG_1124.jpeg
    110.1 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…