Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

Hujafatilia vizuri..... Israel anamtreat Iran kama Gaza tu, Israel lengo lake kuu hataki Iran atengeneze nuclear, that's it, ndo maana ana target na kuua top nuclear researchers wa Iran wa muda mrefu, Iran ye anarusha tu makombora liwalo na liwe, Leo Israel ameshatoa taarifa maeneo ambayo wananchi wanatakiwa kuondoka atapiga maeneo hayo, imagine mpo vitani na mtu kabla hajakupiga ana pin point target kabisa, anajua huwezi kufanya lolote



Israel anajilinda Sana kutarget raia ovyo maana anajua atapata upinzani Toka Kwa washirika wake(us na Europe)..... Sio viongozi Hawa Kina trump(not that they care).... Ila tofauti na tunavyofikiri wananchi wengi wa hizi nchi wako against na huu upuuzi wa Israel na wanashinikiza serikali zao kutotoa msaada wowote kupitia Kodi zao
 
Unatamani visivyokuepo.

Iran pamoja na uwezo wake hawezi kumshinda Israel. Omba uhai na afya ushuhudie kwa macho yako. Watajitahidi kujibu lakini mwisho wa siku hawezi fanya lolote.
Unaweza kushinda vita ila ukawa umeumia pia. Kweli iran itashindwa but this time naona Israel atakua na maumivu makubwa kupita ya octoba 7.
 
Nyani.

Kusema Iran haijaanzisha vita una maana gani. Mwaka jana nani alianza kurusha makombora kama si Iran ?!. Nani amekuwa akifadhili vikundi visumbufu vyenye itikadi kali dhidi ya Israel ?!. Hamas, Hezboullah, Houthis nk nani ni sponsor wake kama si Iran ?!


Iran walifikiri wako salama kwa sababu za umbali wa ki jiografia. Lakini adui yake yuko advanced ki technology. Sasa wacha mwisho useme . Kujibu watajibu lakini mwisho wa siku hata viongozi wake wote watauliwa.
 
Mwaka jana alianza israel kwa kupiga alichoita military targets ndio irani akajibu. Rudi kwenye kumbukumbu mkuu.
 
📌
 

Attachments

  • 20250616_080011.jpg
    340.1 KB · Views: 27
Kwa nini watu wengi hawafi kama Israel ikipiga Iran?
Iran wameshakufa watu zaidi ya 200 wakati Israel hawazidi 20!
Bankers na Sirens.

Iran hawana na ndo maana Israel kawaambia waondoke Tehran
 
Ya mwaka jana si yalishaisha hayo…

Ila, hata hiyo mwaka jana Iran hakuanzisha chochote.
 
Israel hapaswi kusaidiwa na yeyote. Inabidi apondwe sawa sawa ili awe na adabu kwa wakubwa zake.
 
Mara nyingi Israel anaficha taarifa za maafa ili kuondoa taharuki lakini ukweli unaonekana kabisa.
Sasa mnaoujua ukweli si muufichue? Wekeni hadharani huo ukweli unaoonekana ili tujue makamanda na majenerali wangapi wa Israel nao wamekufa
 
Unaweza kushinda vita ila ukawa umeumia pia. Kweli iran itashindwa but this time naona Israel atakua na maumivu makubwa kupita ya octoba 7.
Iran amevitafuta hivi vita muda mrefu. Pamoja na kujiimarisha kwa vifaa na jeshi kubwa. Lakini pia amekuwa sponsor wa majirani wanaomsumbua Israel muda wote. Hamas, Hezboullah, Houthis nk. Huku yeye akitegemea makombora kwa mbali.

Aliyoyatafuta hata serikali yake ya kidini inaweza kupinduliwa. Achunge sana.
 
Ni siku ya pili ila Israel inaonekana kama Gaza, na bado mashambulio haya Iran atafanya kwa siku 10 mfululizo kama ishara ya salamu tu ile ya  Shalom baada ya hapo yataendelea mashambulio ya kushtukiza yasiyo na idadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…