Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Ile mitambo ilofungwa na Russia haikuona shambulizi hili?
 
Mbona video haionyeshi makombora yalipanguliwa, alafu Iran nae mweupe tu kapewa S400 AD na Urusi, Hana mfumo wa ulinzi huyo muajemi
 
BREAKING: Israel STRIKES HARD with a three-wave assault on Iran, taking out over 20 missile and drone sites in the โ€œDays of Repentanceโ€ operation.

The Israel Defense Forces declares TOTAL SUCCESSโ€”every jet back home safe.
 
Mpumbavu mkubwa wewe yaan tukuamini wewe kama nani?
Eti mniamini kuna mazungumzo
Israel hajadiliani na magaid
Dawa ya mshenzi ni kumpelekea motooo hasaa
 
Kwani haujaona ndege za Urusi zikiingia Iran mzee
 
Mpumbavu mkubwa wewe yaan tukuamini wewe kama nani?
Eti mniamini kuna mazungumzo
Israel hajadiliani na magaid
Dawa ya mshenzi ni kumpelekea motooo hasaa
Mbona dogo unalia sasa ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€...Angalia Tel Aviv yalivyoshuka mpaka watu wamekimbia kwa hofu
 

Attachments

  • 0sVCSZlWtOl5zLrv.mp4
    1.9 MB
Iran yenyewe imekiri kupigwa lakini WAIRANI wa KIBAIGWA wanakanusha. Hatari ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mbona video haionyeshi makombora yalipanguliwa, alafu Iran nae mweupe tu kapewa S400 AD na Urusi, Hana mfumo wa ulinzi huyo muajemi

Unataka uone yakipanguliwa kama ngumu za Bruce Lee?!! Hiyo interceptions hewani unahisi ni nini Mkuu?!!

Kumbuka,vita ni akili na Iran kamuweza Israel kwani Israel likely hili ni shambulizi la stage 1 na lengo kuu lilikua kujaribu uimara wa mifumo ya Iran lakini pia kujaribu kudetect locations za mifumo mikubwa kama S400 ili Israel aishambulie,Iran alichofanya ni kutumia short rangers kutungua mashambulizi pasi kutumia mifumo ya medium na long range ili kuzuia location detection.

Suala linalofuata ni True Promise 3,aliahidi Iran kua Israel akijaribu kujibu basi atashusha kipigo kingine kikali zaidi.
 


Mfumo wa anga wa Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท vipi. Ndege za Israel zimepenya na kushambulia maeneo mengi ya kijeshi.
Zaidi ya ndege 100 zimetumika kwenye mashambulizi. Kwanini adui anapenya kirahisi hivi?
 
Zipigwe tu , ila hawa mazayuni wanachokitaka watakipata tu , ni suala la muda ,Iran ina uvumilivu sana ila naona kuna agenda ya mazayuni kupush vita kubwa hapo mashariki ya kati kutokea ,hii vita haitakuwa ya kitoto , mazayuni na washirika wake wajiandae na shughuli nzito hapo middle east .
Hata kuundwa kwa hizi proxies za Iran ni suala la Iran kujihami ,maana uchokozi wa Israel haujaanza leo ,ni miaka mingi , kitendo cha Iran kuua wanasayansi wa nuclear kule Iran na vitendo vingine vya kigaidi ,halafu retaliation ikifanywa na Iran , kuna wapumbavu flani wanasema Iran ni mkorofi , kitu ambacho si kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ