Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbavu mkubwa wewe yaan tukuamini wewe kama nani?Dunia hii ilivyo na mambo mengi chini ya kapeti, ukute hapo walishafikia makubaliano pande mbili na kuihusisha Russia kuwa Iran iwape baadhi ya target zao za kijeshi wazipige ili kulimaliza hili suala na ionekane KISASI KIMELIPWA. Haiingii akilini taifa kama Israel lipigwe halafu eti iwachukuwe karibia mwezi kujipanga kulipa kisasi. Israel tunayoijua hujibu papo kwa papo.
Hii ya kusubiria muda wote huo ninaamini kulikuwa na majadiliano ya pande mbili yalikuwa yakiendelea.
Si mlisema Israel hawawezi Hizbullah?Natamani Iran iliamshe moja kwa moja liwalo na liwe. Israel inahitaji mbabe mwenzake kama Iran ndio tutapata ladha ya vita. Siku Tel Aviv ikiwa magofu kama Gaza ndio akili itawakaa
Kwani haujaona ndege za Urusi zikiingia Iran mzeeSi unaona wamesubiri hadi US kapeleka ndege vita za kutosha, kuna F22, F16, F15E na A 10...
Ngoja tusubiri madhara watakayosababisha, hata hapo wameshambulia kwa uoga mkubwa ni ile basi tu wasionekane wanyonge.
Ni ile unapigwa ngumi nzito hadi jino linatoka halafu unarudisha kibao kama unaua mbu kwa sababu ya uoga.
Tutaona hapa baadae hayo mashambulizi wametumia ndege vita, misiiles za masafa ama drones? na wameshabulia sehemu ngapi? tuendelee kusubiri..
umeambiwa upige nuclear sites sio kuingia ndege maana airspace iko huru .Jamaa si tu walituma makombora bali pia waliingiza ndege Tehran.Mfumo wa anga wa Iran ni zero kabisa
Mbona dogo unalia sasa 😀 😀 😀...Angalia Tel Aviv yalivyoshuka mpaka watu wamekimbia kwa hofuMpumbavu mkubwa wewe yaan tukuamini wewe kama nani?
Eti mniamini kuna mazungumzo
Israel hajadiliani na magaid
Dawa ya mshenzi ni kumpelekea motooo hasaa
Mjalaana yeye anaitaji majambia tu na pingu za kutumia wakati wa kuwaua sisimiziMama Samia ongea na Iran kama tunaweza kununua hizo Air defense kwa sasa ni muhimu sana tuwe na vifaa vya kisasa vya kujilinda
Mbona video haionyeshi makombora yalipanguliwa, alafu Iran nae mweupe tu kapewa S400 AD na Urusi, Hana mfumo wa ulinzi huyo muajemi
Kwa kuongezea mkuu, umesahau kuwa Israel hata akipigwa huwa haelezi pia.I
Israel mara nyingi huwa haelezi sana kile alichokifanya, aliepigwa hueleza mwenyewe aseme alichokumbana nacho.