Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Natamani Iran iliamshe moja kwa moja liwalo na liwe. Israel inahitaji mbabe mwenzake kama Iran ndio tutapata ladha ya vita. Siku Tel Aviv ikiwa magofu kama Gaza ndio akili itawakaa
Ndio hiyo ndo lugha wanayoielewa usa .nakuhakikisha shakbulio lingine la iran kwenda telviv ...wawekezaji wote wataondoka telviv pamoja na matajiri wenzao
 
Kwa taharifa yako Iran kwa USA mtoto mdogo sana ambaye bado anafuta makamasi
US ule ujanja wake miaka ile kutumia propaganda kuvamia nchi za watu hivi sasa hakuna anamkubalia..

Mwaka 2003 US aliongoza nchi zaidi ya 40 kuivamia Iraq, unafikiri itatokea leo hii? Hakuna kitu kama hiko mzee...


US akizingua na yeye mizinga inatua kama kawaida watu hawaangalii sura..
 
Wewe unaongea upuuzi...
Israel ni makatiloi hujapata kuona, kuna video niliweka hapa mzee flani mstaafu IDF akiwaambia askari vijana na kuwapa motovation kwamba wakiingia Gaza, waue watoto , wanawake na kila wamuonae mbele yao...
Waue hata majirani zao wa kiarabu, wasisubiri wala kujiuliza, waue wanawake zao na kila kitu ...

Na ndicho kitu kinafanyika Gaza.. halafu mnakuja kusema eti Israel ina huruma...
Video hio hapo tazama, ina subtitle, halafu ndipo unambie hio huruma ipo wapi...
Your browser is not able to display this video.
 
Hayo makombora 1,000 kwa urushaji ule holela wa Iran, ni upotevu wa hela kwa nchi ambayo wananchi wake walio wengi wananuka umaskini wa kutupwa. Mengi ya hayo makombora yataishia nyikani, kama yale 300 ya mwanzo.
We unafikiri Iran ina shida kama Israel inayotegemea kila kitu USA...
Makombora yaligonga target kama kawaida... Fuatilia vitu.
 
Israel haina huo uwezo , hilo ndilo jibu, inatamani sana kufanya kisasi cha nguvu lakini uwezo haina na uoga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…