Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Natamani Iran iliamshe moja kwa moja liwalo na liwe. Israel inahitaji mbabe mwenzake kama Iran ndio tutapata ladha ya vita. Siku Tel Aviv ikiwa magofu kama Gaza ndio akili itawakaa
Ndio hiyo ndo lugha wanayoielewa usa .nakuhakikisha shakbulio lingine la iran kwenda telviv ...wawekezaji wote wataondoka telviv pamoja na matajiri wenzao
 
Kwa taharifa yako Iran kwa USA mtoto mdogo sana ambaye bado anafuta makamasi
US ule ujanja wake miaka ile kutumia propaganda kuvamia nchi za watu hivi sasa hakuna anamkubalia..

Mwaka 2003 US aliongoza nchi zaidi ya 40 kuivamia Iraq, unafikiri itatokea leo hii? Hakuna kitu kama hiko mzee...


US akizingua na yeye mizinga inatua kama kawaida watu hawaangalii sura..
 
Umeishiwa akili ya kujua kuwa magaidi wanashambulia wakiwa katikati ya raia? Kama gaidi limejificha katikati ya raia, linapolengwa, kwa nini madhara yasiwapate raia? Mbona ni akili ndogo sana kulijua hilo.

Ungekuwa na akili japo kidogo sana, ungesema kuwa kwa vile majeshi ya Iran hayajificha kwenye makazi au shughuli za kirai, na kwa vile Israel inashambulia military targets, hakutakuwa na madhara makubwa kwa raia, kama ilivyotokea kwa Israel iliposhambuliwa na Iran. Raia hakuna aliyekufa, wala mwanajeshi yeyote wa Isrsel, wala nyumba yoyote ya makazi.

Kwa ujumla, jeshi la Israel ni la watu wastaarabu. Hawarushi makombora hovyo, wala wao wenyewe hawajifichi kwenye makazi ya raia. Tatizo lipo upande wa magaidi ya Hezbollah na Hamas yanayotumia binadamu wasio askari kama ngao, yaani ama uache kuyashambulia au kabla yenyewe hayauawa, wafe kwanza raia.

Haya magaidi hayana utu wala ubinadamu. Fikiria kule Gaza na Lebanon, yakija yakaweka silaha zao au yakawa yanashambulia kutoka kwenye nyumba yako, wewe au majirani wakitaka kulihama hilo eneo, yanakuua!! Sasa majitu majitu ya hivi, si mashetani tu haya?
Wewe unaongea upuuzi...
Israel ni makatiloi hujapata kuona, kuna video niliweka hapa mzee flani mstaafu IDF akiwaambia askari vijana na kuwapa motovation kwamba wakiingia Gaza, waue watoto , wanawake na kila wamuonae mbele yao...
Waue hata majirani zao wa kiarabu, wasisubiri wala kujiuliza, waue wanawake zao na kila kitu ...

Na ndicho kitu kinafanyika Gaza.. halafu mnakuja kusema eti Israel ina huruma...
Video hio hapo tazama, ina subtitle, halafu ndipo unambie hio huruma ipo wapi...
 
Hayo makombora 1,000 kwa urushaji ule holela wa Iran, ni upotevu wa hela kwa nchi ambayo wananchi wake walio wengi wananuka umaskini wa kutupwa. Mengi ya hayo makombora yataishia nyikani, kama yale 300 ya mwanzo.
We unafikiri Iran ina shida kama Israel inayotegemea kila kitu USA...
Makombora yaligonga target kama kawaida... Fuatilia vitu.
 
Kwa taarifa yako

Kwa anayeijua hulka ya Israel ktk mashambulizi ya visasi.... Atakubaliana na Mimi kwamba kang`ang`aniwa na kulazimishwa asipige kwa hasira kama ilivyo kawaida yake.
Ikumbukwe yeye aliapa KULIPA mitambo ya Nuclear na visima vya mafuta.
Any way, cha kujiuliza ni;... Israeli aliapa kumpiga adui yake na kweli kampiga. Safari ya ndege kutoka Israel Hadi Iran zikapiga na kurudi salama... Inafikirisha na kwamba kwa hali hii, hakuna namna zaidi ya kuweka tofauti zao chini na kuitafuta Amani. Wakikaziana msuli, ya Gaza na Lebanoni nayaona yakitokea Iran. Mungu aepushie mbali
Israel haina huo uwezo , hilo ndilo jibu, inatamani sana kufanya kisasi cha nguvu lakini uwezo haina na uoga...
 
Back
Top Bottom