ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ni upuuzi kweli kweli,binadamu sijui tukoje aiseeWatu wanafanya bishara kwa gharama za maisha ya watu , kweli dunia uwanja wa fujo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni upuuzi kweli kweli,binadamu sijui tukoje aiseeWatu wanafanya bishara kwa gharama za maisha ya watu , kweli dunia uwanja wa fujo
Pesa imewekwa mbele watu hawana hofu tena kuwa kuna siku wanaweza kukutana na Mungu wakapata hukumu yao, watu wamevurugika kisawa sawaNi upuuzi kweli kweli,binadamu sijui tukoje aisee
Mnapenda sana ujinga hata huwezi kuona TAREHE YA HIYO PICHASo far mashambuliziya Israyyanefeli,Iran katungua makombora karibu yote,waajemi wanaendelea na maisha. Israel anasambaza picha fake.
Aibu kubwa sana Israel amepata!!
View attachment 3135455
Ndio hiyo ndo lugha wanayoielewa usa .nakuhakikisha shakbulio lingine la iran kwenda telviv ...wawekezaji wote wataondoka telviv pamoja na matajiri wenzaoNatamani Iran iliamshe moja kwa moja liwalo na liwe. Israel inahitaji mbabe mwenzake kama Iran ndio tutapata ladha ya vita. Siku Tel Aviv ikiwa magofu kama Gaza ndio akili itawakaa
naam, umeniita?
Iran imeishambulia israel mara mbili tu moja kwa moja na haikuwa hivyo.Irani ilipoishambulia Israel
Nikisikia anaagiza ndege lakini hajazitumia kupiga Israel...Kwani haujaona ndege za Urusi zikiingia Iran mzee
Sasa kalipiza nini hapo?Alichofanya Iran Kwa Israel ilikuwa siyo kujitafutia balaa?. Israel kihistoria ni taifa la visasi na likuwa lazima watalipiza tu.
Ayatollah anatafutwa toka 1970s...IDF iliisubiri kauli hii Kwa hamu!! Soon tunakwenda matanga ya Ayatollah
US ule ujanja wake miaka ile kutumia propaganda kuvamia nchi za watu hivi sasa hakuna anamkubalia..Kwa taharifa yako Iran kwa USA mtoto mdogo sana ambaye bado anafuta makamasi
Hata hivyo wameshindwas
sasa lengo lilikua ninkufanya mashambulizi mzee..wewe ulitaka watume ndege muda gani umekaa na bando lako la jero unawapangia watu?
Wewe unaongea upuuzi...Umeishiwa akili ya kujua kuwa magaidi wanashambulia wakiwa katikati ya raia? Kama gaidi limejificha katikati ya raia, linapolengwa, kwa nini madhara yasiwapate raia? Mbona ni akili ndogo sana kulijua hilo.
Ungekuwa na akili japo kidogo sana, ungesema kuwa kwa vile majeshi ya Iran hayajificha kwenye makazi au shughuli za kirai, na kwa vile Israel inashambulia military targets, hakutakuwa na madhara makubwa kwa raia, kama ilivyotokea kwa Israel iliposhambuliwa na Iran. Raia hakuna aliyekufa, wala mwanajeshi yeyote wa Isrsel, wala nyumba yoyote ya makazi.
Kwa ujumla, jeshi la Israel ni la watu wastaarabu. Hawarushi makombora hovyo, wala wao wenyewe hawajifichi kwenye makazi ya raia. Tatizo lipo upande wa magaidi ya Hezbollah na Hamas yanayotumia binadamu wasio askari kama ngao, yaani ama uache kuyashambulia au kabla yenyewe hayauawa, wafe kwanza raia.
Haya magaidi hayana utu wala ubinadamu. Fikiria kule Gaza na Lebanon, yakija yakaweka silaha zao au yakawa yanashambulia kutoka kwenye nyumba yako, wewe au majirani wakitaka kulihama hilo eneo, yanakuua!! Sasa majitu majitu ya hivi, si mashetani tu haya?
Kiufupi supreme leader kajipakata2025 huyu anaweza asifike akimbilie RUSSIA ila watampitishaje
Sawa mwajuma ndala ndefu😂Oooh!
Kitambo sana Sara!
We unafikiri Iran ina shida kama Israel inayotegemea kila kitu USA...Hayo makombora 1,000 kwa urushaji ule holela wa Iran, ni upotevu wa hela kwa nchi ambayo wananchi wake walio wengi wananuka umaskini wa kutupwa. Mengi ya hayo makombora yataishia nyikani, kama yale 300 ya mwanzo.
Nini kifanyike?This is not going to end well for both sides.
My prayers are for the innocent people.
Maisha nyuma ya Keyboard matamu sana.
Israel haina huo uwezo , hilo ndilo jibu, inatamani sana kufanya kisasi cha nguvu lakini uwezo haina na uoga...Kwa taarifa yako
Kwa anayeijua hulka ya Israel ktk mashambulizi ya visasi.... Atakubaliana na Mimi kwamba kang`ang`aniwa na kulazimishwa asipige kwa hasira kama ilivyo kawaida yake.
Ikumbukwe yeye aliapa KULIPA mitambo ya Nuclear na visima vya mafuta.
Any way, cha kujiuliza ni;... Israeli aliapa kumpiga adui yake na kweli kampiga. Safari ya ndege kutoka Israel Hadi Iran zikapiga na kurudi salama... Inafikirisha na kwamba kwa hali hii, hakuna namna zaidi ya kuweka tofauti zao chini na kuitafuta Amani. Wakikaziana msuli, ya Gaza na Lebanoni nayaona yakitokea Iran. Mungu aepushie mbali
Kipindi kili iran walishambulia wakampoteza rais wao ,wakasingizia ukungu ila sasa wamekili ni pagerSasa kalipiza nini hapo?
No kituko kafanya...