π π πMda huu jamaa anamalizia kahawa hajasema chochote , US na UN wanasema jamaa asilipize watatoa majehso mpaka Gaza na Lebanon.
Mi sijawahi kusema alipigwa na Talibanmmarekani uyu uyu mnaesemaga alipigwa na watalebani
Nimekuambia hio picha ni CNN wametoa punguza ubishi mzee...Wewe Wasema!! Hilo handaki la kwampalange limefikaje Israel? Nijuavyo mimi wao wana Basement tu!,
Analo hiliKiufupi supreme leader kajipakata
ZIle picha mnazosambaza ni uongo , hilo la askari katangaza mwenyewe.kama ilivyo kwa Israel alivyo ficha na Iran kaficha pia ila kupigwa kapigwa mpaka unaona wanatangazwa askari wawili wa air force wamekufa ujue kuna Impact ila ni siri ya kambi
Wewe ni Kiazi tena mbatata Avatar umemuweka Mcuba halisi alafu unaelea kwenye Ubepari.PatheticMtuache Taifa teule.
Halafu, Iran imeshambulia Israel kisa anaua proxy wake Hamas na Hezbollah. Lakini Israel bado anaendelea kuua hao proxy na mbaya zaidi anaua na raia Gaza na Lebanon. Sasa hayo mashambulizi ya Iran yanazuia nini?π€£π€£
Hivi si ulisema Israel imefyata na haitojibu mapigo?
Imekuwaje tena sasa?
Bado Israel anawatandika Hamas,Hezbollah na raia huko Gaza. Na Iran wala mwarabu yoyote hawezi kuzuia. Bado wanasema wanamuweza huyo Israel?Unaambiwa siyo Iran tu hata Syria imedondoshewa vitu vizito vyenye ncha butu.
Na haitaishia hapo tu sisi wayahudi weusi wa huku tutapeleka invoice kwa kila msikiti walipe hayo mabomu wateule wamedondosha.
NO MERCY
Nyau de adriz
Mnapenda sana ujinga hata huwezi kuona TAREHE YA HIYO PICHA
Sawa....Fungua TV yako uangalie Al Jazeera utajionea ,,usikae huko vichakani.
Jiulize swali Kama mtu mzima Kama askari amekufa ujue kuna kitu kimepigaZIle picha mnazosambaza ni uongo , hilo la askari katangaza mwenyewe.
Wanasema ni batteries zimelipuka , hao wawili walikuwa ndio wanaactive mfum kwa chini ...Kikubwa video zenu ni uongo labda mlete nyingine.Jiulize swali Kama mtu mzima Kama askari amekufa ujue kuna kitu kimepiga
Harafu swala la sijui picha sijui video ziko wapi unazani Ile ni movie Israel inapiga uku ina shoot video kuwe na ma director kabisa?
Kambi ya israel zimepigwa mpaka ndege zimeharibiwa ila vifo wameficha , video zipo nyingi tu .Jiulize swali Kama mtu mzima Kama askari amekufa ujue kuna kitu kimepiga
Harafu swala la sijui picha sijui video ziko wapi unazani Ile ni movie Israel inapiga uku ina shoot video kuwe na ma director kabisa?
Trust me hamna picha wala video hata Moja tuuuu ya ndege ya Israel iliyo halibika Iran ilipo shambulia sikatai Kama hazijapigwa ila hakuna mwenye access ya kupata iyo video zaidi ya walegwa wenyewe Kwa sabb za kiusalama hizo Air force base ni restricted Areas ataikipigwa inabaki ni top secret au confidentialKambi ya israel zimepigwa mpaka ndege zimeharibiwa ila vifo wameficha , video zipo nyingi tu .
Weka video au picha Moja tuuuuKambi ya israel zimepigwa mpaka ndege zimeharibiwa ila vifo wameficha , video zipo nyingi tu .
Wanaleta ushabiki tu mkuu.lakini mtu kuifikia base yako ya jeshi ni kitu kibaya sana kijeshi. Lazima uwena maswali mengi kwanza kaingiaje. Na wakati ulijiandaa ulijua atakuja maana alishasema atakuja.Halafu, Iran imeshambulia Israel kisa anaua proxy wake Hamas na Hezbollah. Lakini Israel bado anaendelea kuua hao proxy na mbaya zaidi anaua na raia Gaza na Lebanon. Sasa hayo mashambulizi ya Iran yanazuia nini?
Iran amekiri bases zimepigwa ingawa anasema madhara ni madogo,haya sasa akateketeze Israel kama alivyosema iwapo Israel itajibu.
Iran wamesema batteries zimelipuka , tena asubuhi na mapema ila hakuna kambi imepigwa kwa sababu zifuatazo :- upigaji wa Israel hakuna kombora zito na kilichotokea upande wa batteries ni operation ya mfumo ngeni sana kwao .Trust me hamna picha wala video hata Moja tuuuu ya ndege ya Israel iliyo halibika Iran ilipo shambulia sikatai Kama hazijapigwa ila hakuna mwenye access ya kupata iyo video zaidi ya walegwa wenyewe Kwa sabb za kiusalama hizo Air force base ni restricted Areas ataikipigwa inabaki ni top secret au confidential
Iran imepigwa na baadhi ya battery kwenye mfumo wa air defense zimepigwa ila huwezi ona izo picture only watu wenye access
Tumia akili kwa hicho unachokisema badala ya UZUSHI. Kama iran aliziharibu ndege zikiwa Israel alipopiga .Sasa kwanini asingetungua ndege zilizofika kwake Iran zisitoke hata moja?.Kambi ya israel zimepigwa mpaka ndege zimeharibiwa ila vifo wameficha , video zipo nyingi tu .
Mbona watu wanaonekana wanalia , wameinama chini ....Angalia rate kuzuia yanafika mpaka chini ila iran kama zirushwa baruti.. π π πWeka video au picha Moja tuuuu