Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Tumia akili kwa hicho unachokisema badala ya UZUSHI. Kama iran aliziharibu ndege zikiwa Israel alipopiga .Sasa kwanini asingetungua ndege zilizofika kwake Iran zisitoke hata moja?.
Kwanj kuna ndege ilifika iran?
 
Picha za Iraq na Lebanon.
Hakuna picha ya Iran hata moja hapo.
 
Ndege za Israel hazikuingia anga la Iran.
Zilishambulia kutokea anga la Iraq.
Hivyo usidanganye watu.

Pia kuhusu video kila maeneo anayoshambulia Israel huwa analeta video na picha,Lebanon kila aliposhambulia alitoa picha na video,kwanini ashindwe kutoa za Iran!?
 
Ngege 100 madhara yake tuliyoyasikia ni machache sana. Kijeshi ni hasara.Sasa tungoje Waajemi walipiza vipi.

Wameshatangaza ku;ipiza kwa namna watakavyo wao, hakuna cha kuwazuia.
 
Israel ni mtaalamu wa kutoa video leaks za mashambulizi yake. Mbona mpaka sasa hajatoa video kuthibitisha madai yake ya "precise attacks"?
 
Hazina madhara wakati zimepiga target kwanini
Qatar watoe tamko ? πŸ˜‚
Wewe hujui tu.Iran iliziona hizo ndege tangu zinawekwa mafuta na wakajua haziwezi kuleta dhahma kubwa.Ziliweza kuharibu vituo vya silaha na utengenezaji silaha tu.Kidooogoo,ziliua askari wanne tu.Kwa hiyo,it wasn't a big deal!πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…