Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Ndio maana nasemaje ngoja tusubiri damage watakayofanya...
Kama damage ni kubwa, Ayatollah kasema waandae makombora 1000.
Naona Ayatollah kachoka kuishi 🤣.

Yasije kumpata yaliyowakuta akina Nasrala na Haniya.

Ila sidhani kama haya mashambulizi yataleta madhara kivile.

Kumbuka kuna uchaguzi Marekani katika siku 11 zijazo.

Lazima kutakuwepo na behind the scenes machinations zinazoendelea ku encourage restraint.
 
Ayatollah alitaarifiwa mapema ajifiche? Maana Israel anadeal na adui tu hata mashabiki wa adui too
Unaambiwa siyo Iran tu hata Syria imedondoshewa vitu vizito vyenye ncha butu.

Na haitaishia hapo tu sisi wayahudi weusi wa huku tutapeleka invoice kwa kila msikiti walipe hayo mabomu wateule wamedondosha.

NO MERCY

Nyau de adriz
 
Wewe unaamini hivyo. Sorry kwa kukuuliza hili swali mkuu; hivi unajua sheria za kivita na elimu yoyote ya kimedani?
 
Where are the S400? Urus kamuuingiza chaka muajemi. Na siyo Iran tu mwamba mteule kashusha vitu vizito pia Syria.

Halafu yeye harushi vimondo hovyo hovyo yeye kapiga precise strike target maamae.

JESUS AND ISRAEL FOREVER
Jesus wouldn't approve of what these Zionist savages are doing, it's against Christian values. They don't care if they are killing Christian or Muslims. We are all scum to them.
 
Iran inasema milipuko hio zilikuwa ni air defenses.
Israel kafanya kituko.
 
USA kala nyoya...🤣
 

Kweli wamepiga lakni Hiyo picha ni Israel walipopata chao. Sio ya iran.
Walikwisha onywa ilikiwa watapiga vituo vya mafuta an nuclear, Iran lazima itajibu. Na ikiwa vijutuo vya kijeshi hafifu Iran inaweza isijibu maana inakuwa haina maana.
Kwa sababu wewe ni myahudi mweusi kwa sintofahamu ukidhani hawa ndio wateule ambao hawautambui ukiristo na hawamtambui Yesu wanaemuona ni mwanaharamu, unadiriki kuwaita Wapestina, Walebanon mbwa na ndio inao wakiristo basi ntautumia mfano wa hao wateule wako ni cancer mashariki y kati tangu hao wazungu koko waletwe.
Hivyo basi:
Mwenye mbwa Marekani alikuwa huko israel juzi. Na mipaka ilifungwa n nchi za Iran, Iraq mpaka kesho 11am ( saa 5 asubuhi).
 
Ayatollah wakimuua na Netanyahu anahama Israel anakwenda kuishi Washington DC, kwa sababu lazima watamla kichwa tu, kama migambo wa Hebollah wamemkosa na drone kwake, unafikiri Iran itashindwa...

Haya mashambulizi ya Israel ni ya uoga, vyanzo mbali mbali vina report hali ni shwari Tehran, Israel inajibu kama kutokubali unyonge mbele ya Iran, na mimi nasema hata kama wamejibu kwa uoga Iran siwaonee huruma, iwatandike kweli kweli mpaka wakome.

Sema yule mwehu Trump akiingia, kuna uwezekano huu mgogoro uka escalate zaidi...

Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia kuzima huu mvutano, na mwenyekiti wa kikao ni USA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…