Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Mvaa kilemba unateseka sana, Mwanaume kaingia geto kwako,kapiga machine kasepa fresh.
Kilemba ni mkongo na hua mwanamke hapaki mkongo,kingine huyo gasho kaishia nje angeingia ndan aone kama angetoka salama.
 
Cheap propaganda where we're you when Israel was attacked on October 7?
Nyie watu wa Oct 7 naonaga mnajitia hamnazo ,Vita haijaanza Oct 7 ebu kuweni waelewa bhc au kisa nyie ni kondoo ndio mtusumbue kuwaelewesha kila siku
 
Hawana uwezo huo kama watu wanavyojua , wanachowin ni kimoja tu , kutumia mamluki kuwaua viongozi ila hawana uwezo wa kupigana moja kwa moja .

Israel hasa waziri mkuu anapata msukumo kutoka nje ili kulinda heshima ya wale wanaoamini ni taifa la Mungu ...Ila Iran anaweza kuifuta ndani ya lisaa kwa sababu ni sehemu ndogo ila shia sio wajinga kuwaua watu wasiokuwa na hatia .

Kiufupi wanapiga millitary sites wanaonesha kwamba wanaweza kufanya chochote .
Nahata Iran hatua anayochukua ni kurusha makombola tuu. Kubaba askari wake zaidi ya 200,000 na kuwapeleka Lebanon au Syria ni ngumu sana, maana kuloss itakuwa wazi wazi ikumbukwe yeye ni mbali na home kwake.
 
Mkuu sio Israel bali ni Israel + mume wake Marekani wamejiaibisha maana hakuna chochote walichofanya zaidi ya kujikosha waonekane angalau wamejibu.😂😂

Israel peke yake hana uwezo hata huu tu walioonesha wa udhaifu maana yeye kila kitu hadi asaidiwe vinginevyo hana tofauti na Burundi.
Sizitaki mbichi hizo!!!!!
 
Hakuna zayuni hapo ni Marekani na juzi nilisema humu huyo Blinken ndio mkaanga SUMU mwenyewe ifikie kipindi unafiki wake waarabu waache kumpokea, Israel wanaharibu nchi yao wenyewe kuna nchi zimepigana vita kama japan lakin mwisho wa siku baada ya kuachana na vita uchumi umekua na wako stable, sasa hapo anasubiri ballistic buku na kifurushi cha buku 2 cha kamikaze, huku Marekani wanakula mtori tu
 
Hapo nato wakitaka kumchosha Iran waitumie Israel kama wanavyoichosha urusi kwa kutumia Ukraine.

Wakihakikisha zimechoka kabisa ndiyo nato inaingia mzigoni kumaliza mchezo.

Hao nato sio wajinga wanavuta subira na wanajiandaa kimya kimya,
 
Mlitupanga sana kusu Israel, leo tunajionea wenyewe, hawana lolote kazi usenge tu.
1000003112.png
 
Yaani vijikombora vinamezwa kwa pamoja kama chura anavyomeza wadudu hivi.😂😂😂

Muajemi hoyeeee. Hapa sasa ndiyo dunia itaamini kwanini Iran ni mbabe maana wamejionea jinsi anga ilivyo salama wasalimini kwa mfumo imara kabisa wa ulinzi.
Wakristo wa makanisa ya maturubai huwaambii kitu kuhusu irone domoo ..sasa jana wameona mfumo mzuri wa kuzuia makombora
 
Nahata Iran hatua anayochukua ni kurusha makombola tuu. Kubaba askari wake zaidi ya 200,000 na kuwapeleka Lebanon au Syria ni ngumu sana, maana kuloss itakuwa wazi wazi ikumbukwe yeye ni mbali na home kwake.
Iran akipeleka jeshi lke Israel bhc jua ni masaamachache tel Aviv inaanguka
 
Kuanzia Leo kumbe Israel wasenge nilikuwa nawaamini kumanina zao asa ndio makombora gani yale
Mkuu Israel mpk sasa bado wapo vizuri tuu.
Kupigana vita na 1).Hezbollah ndani ya Lebanon
2.) kupigana na hamas Gaza.
3.) vikosi vya Israel. kuwepo west bank.
4). Kushambuliwa na Yemen.
5). Kushambuliwa na Iran na vitisho vingi.
6). Kuwa na kesi ICJ.
7). Vikwazo kimataifa.
Na baadhi ya nchi kuwazui kuwauzia siraha.
8). Vikosi vyake pia vipo Syria mkuu
Sio kwamba ni dhaifu mkuu. Hata hapa Africa hakuna nchi imewafi kukabiliana na hayo yote. Hata ukanda wa uarabuni wote ule. Na mpk america ya kusini.

Iran mwenyewe haijawahi kupata kashikashi kama hio.
 
Back
Top Bottom