Iran ndio taifa pekee la Uislamu wa ukweli wengine wanafiki tu

Soma Uislam Acha kuropoka aliyekuambia mashia waislam nani?
 
Iran sio waarabu wala taifa la kiislamu, Regime ya sasa ya Iran ndiyo ya kiislam
 
Ungekuwa unafuatilia ungeona quatar wanavyoangaika na aljazeela Yao kuwatetea wapalestina
 

Si mlisema palestina kuna waislamu na wakristo,mbona wakristo mnawatenga?
 
Inajulikana ni baba la ugaidi duniani, saudi arabia ikasome huko licha ya kuwa kitovu cha uislam duniani. Unaiachaje afghanistan, qatar, iraq, oman na indonesia?
 

Kwani hao unaowataja ndiyo waliomtuma avizie na kuua watu pasi na hatia yoyote. Wamekuwa katika mzozo wa maneno kwa miaka mingi, lakini hali ilikuwa shwari, ila sasa hili la kunyatia na kuua, acha wapigwe tu. Na watapigwa tu.
 
Lakini si Waislamu wote? Achana na madhehebu
 
Walikuwa wakigombanishwa na America sasa hivi Saudi na Iran ni marafiki hawana ugomvi tena,kama Iran akiingia vitani Saudi Arabia atakuwa upande wa Iran. Hilo halina shada hakuna cha Ushia wala Usuni ni Humanity na undugu.
 
Halafu Iran na Iraq wakazipiga kipindi kile Saddam anaungwa mkono na Wamarekani wakati wote ni Washia 😳
Vita vya 🇮🇷Iran na Iraq vilianza September 22 1982, vilidumu hadi August 1988 ,Vita hii ilikua ni moja kati ya migogoro mikubwa sana karne ya 20, Vita hii ilianza kipindi sadam hussein akiwa raisi wa Iraq.l, Vita hii ilisababishwa na mivutano ya kihistoria ,kikanda na kisiasa.

Sababu za Vita hii.

1.mvutano wa mda mrefu kuhusu mpaka wa eneo la Shatt Al -Arab( mto kati ya Iraq na iran) na tofauti ya kidini kwa Iraq ya kissuni na irani ya kishia.

2.Matumizi ya silaha za kinyuklia.

Iraq ni nchi ya kissuni pia yenye watu wengi wa madhehebu ya kishia kuliko nchi yoyote ya kissuni ,ndio maana nimeitaja pia.
 
Shia kwenye kuadhini wanaadhini vipi kama hawamuani mtume muhhamad?
Kwa mujibu wa mafundisho ya madhehebu ya Shia, ambayo ni kundi la Kiislamu lenye itikadi tofauti na Sunni, kuna tofauti kidogo katika utaratibu wa kuadhini ukilinganisha na madhehebu ya Sunni. Katika Shia, wito wa sala huitwa "Iqama" badala ya "Adhana." Iqama inatolewa kabla ya Swala kuanza na mara nyingine inaweza kutofautiana kidogo na Adhana ya Sunni katika maneno na jinsi inavyotamkwa.

Pia, katika madhehebu ya Shia, kuna mazoea maalum yanayohusiana na Iqama katika mikusanyiko ya ibada. Kwa mfano, katika sala ya Jama'a (sala ya pamoja), Iqama inaweza kutolewa na mwamini mwenye uwezo wa kufanya hivyo au kwa imamu wa sala. Kwa ujumla, ingawa tofauti za kisiriasi zipo katika utaratibu wa ibada kati ya Sunni na Shia, malengo yao kuu ya kuwaalika waumini kwa sala bado yanabaki sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…