SADA Abdala
Member
- Jul 25, 2023
- 28
- 25
Hujui LOLOTE umeandika tu,ushia ni dini tofauti na UISLAM,
Kwanza rejea vitabu Vyao firaqus As- shia Mwanzilishi wa ushia ninani?
Mwanzilshi wa ushia ni Myahudi Abdullah IBN Sabai(Al- yahud) Alitokea Yemen istoshe Wanachuoni Wote wakarne zilizopita Wametaja Katika vitabu Vyao Ushia siyo Katika madhehebu ya kislamu