Iran ndio taifa pekee la Uislamu wa ukweli wengine wanafiki tu

Hao saudia ni wanafiqina tangu walimuacha Sadamu Hussein akanyongwa sina hamu nao!
 
Tatizo ni Kila mtu kuwa mjuaji. Hivi uislamu haukufundisha jinsi gani ya kuamiliana na maadui mnapokuwa kwenye mazingira ya udhaifu?

Hivi Irani amefanya Nini zaidi ya matamko?
Hivi hamjifunzi tuu kwenye "sulhu alhudaibiya"
Kuna uwezekano mkubwa wa Iran kuwa machochezi Ili kuwapa madhila wapalestina. Anafadhili silaha Kwa vikundi vidogo vidogo na silaha zenyewe ndogo ndogo Ili waichokoze Israel huku wakijua majibu yatakuwaje..!
Kwanini asiingie ye shujaa awamalize hao mayahudi kama alivyoahidi?

Nani asiejua kuwa kupigana na hao mayahudi bandia ni kupigana na mataifa yote ya kishetani!?

Wapalestina wangeacha njia hii wanayoitumia ambayo haijaleta manufaa toka waanze kuitumia. Kisha waende mezani. Wakubaliane kuwepo na mkataba wa amani hata kama ni wakuipoteza Jerusalem. Muhimu ni Israel iondoe mzingiro wake na kuiacha Palestine iwe nchi huru. Kisha wajipange Wadai walichokipoteza baada ya kujipanga na kurudi kwenye mafundisho ya uislamu yanawataka waweje Ili waweze kuwa warithi wa ardhi Ile.

Lakini iwapo watakuwa wanadanganyika na matamko ya Iran watakuwa ni watu wa kuteseka Kila siku
 
Uko sahihi. Iran ndio wanaochochea vurugu palestina
 
Walikuwa wakigombanishwa na America sasa hivi Saudi na Iran ni marafiki hawana ugomvi tena,kama Iran akiingia vitani Saudi Arabia atakuwa upande wa Iran. Hilo halina shada hakuna cha Ushia wala Usuni ni Humanity na undugu.
hawana akili kwan ? mbona unawatukana
 
Kwakua nchi yetu Haina dini ikitokea tukachapana na somalia ambayo ni taifa la kiislamu utasimama na sisi au utasapot ndugu zako?
Undugu wa kweli hauna mipaka
 
Halafu Iran na Iraq wakazipiga kipindi kile Saddam anaungwa mkono na Wamarekani wakati wote ni Washia [emoji15]
Saddam na regime yake walikuwa ni wasunni na ndio maana Saddam alikuwa na chuki kubwa dhidi ya washia na aliwaua sana enzi zake pale Iraq na kupigana vita na Iran pia ,enzi hizo Saddam ni kibaraka wa Marekani huku akipewa kila aina ya silaha ili kupambana na Iran
Baadaye naye wakamgeuka , serikali ya Marekani na nchi za magharibi zinazoongozwa na mazayuni ndio chanzo cha kuchochea huo mgawanyiko ili kutimiza agenda zao hapo mashariki ya kati ,divide and rule .
Nashangaa kuna fala anasema Iran nchi ya kigaidi ,
Pumbavu sana , ile 9/11 ya Marekani , Tu suspects wote ni raia wa Saudia Arabia ,nchi ya wasunni .
Hamna suspect wa ugaidi hata mmoja wa dhehebu la kishia guantanamo bay .
A united Arab world is a threat to the Zionist state of Israel
 
Uislam vs uarabu.

Hapa tunachanganya saana.

Hivi pale Palestine hakuna wakristo?

Hii vita imewekwa kwa taswira ya kidini imefika hatua, watu hawaoni huruma sababu akili inasema wale ni waislamu tu, je palestine wanapambana wasimamishe sheria za kiislam au wanapambana ardhi yao isibebwe!?

Nijuacho mimi hata israel kuna waislam pia, wangeanza kubondwa wao basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…