Iran ndio taifa pekee la Uislamu wa ukweli wengine wanafiki tu

Jamaa niliyemkwoti ameshanielewesha vizuri ni kwa nini alizitaja Iran na Iraq kama nchi za Kishia. Hata wewe umeelezea vizuri japo huku mwishoni umehemka kidogo. Asante Ostaadh.
 
Acha kufananisha Iran na nchi dhaifu
 

Unadhani haya uliyoyasema hayajawahi kufanyika?israel inataka ardhi yake yote. Na wamedhamilia kuipata.

Shatani ni mataifa yote ya kiislamu.
 
Sawa ila kinachonishangaza ni kuwa raia wengi wa taifa hilo la iran ni miongoni wa wadandia ngalawa na viboti kukimbilia maisha bora katila nchi zinazotambuliwa na waislam kuwa ni nchi za makafir.
 
Wapo sawa , Uislamu haitaki kuendea mambo kichwa kichwa lazima usalama wa watu na mambo mengine yachungwe .
 
Soma Uislam Acha kuropoka aliyekuambia mashia waislam nani?

Muslim ni nani?? Embu wacha kuishi kufuata mikumbo bila kusoma na kujua history ya kitu husika.

Wengi wenu hamjasoma hiyo dini wala history yenu ila ni wale mnajiita mimi nimezaliwa kwenye hii dini.

Narudia tena soma soma soma, usikimbilie kitype hovyo kisa una uhuru tu wa kutype kwenye rununu mparazo.
 
Unamaanisha nini mkuu fafanua niongeze kitu kichwani
Vita zote za Middle East ukitoa Waarabu na Wayahudi. Ni vita kati ya Wasunni na Washia, Vita yao ilianza baada ya kifo cha Mtume wao.

Vita ya Syria, ilikuwa ni Wassuni, dhidi ya Washia, now tazama mpasuko wa mataifa ya kiarabu, wakimbizi na vifo alafu ulinganishe na mgogoro wa Palestinia
 
Sadam alikuwa ni msunni, Iraq wa shia ni wachache, Iran ndio inaongoza kwa kuwa na washia wengi, zaidi ya asilmia 90 ni washia. Ndio maana wana uadui na wasuni saudi arabia
Zaidi ya 60% ya Wairaq ni Washia. Sadam alitawala kwa shida sababu Washia hawakumuunga mkono. Tangu Sadam atolewe utawala wa Iraq umerudi mikononi mwa Shia na wako bega kwa bega na Iran ambao ni Shia wenzao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…