SADA Abdala
Member
- Jul 25, 2023
- 28
- 25
Viongozi wote wa hamas wako QatarQatar je kwann wasitoe hata vifaa?
Iraq ya Sadam ambaye alikuwa Suni walitawala na wapo asilimia ndogo.Halafu Iran na Iraq wakazipiga kipindi kile Saddam anaungwa mkono na Wamarekani wakati wote ni Washia 😳
Hii kauli yako ndio waislam wa middle east wanaaminiHujui LOLOTE umeandika tu,ushia ni dini tofauti na UISLAM,
Kwanza rejea vitabu Vyao firaqus As- shia Mwanzilishi wa ushia ninani?
Mwanzilshi wa ushia ni Myahudi Abdullah IBN Sabai(Al- yahud) Alitokea Yemen istoshe Wanachuoni Wote wakarne zilizopita Wametaja Katika vitabu Vyao Ushia siyo Katika madhehebu ya kislamu
Ule mzozo haueleweki vizuri - majeshi ya Mahmood Abbas yameingia mtaani kupambana na hamas so huenda hao majirani unawasema hawaongei lugha moja na HammasToka Gaza ikumbwe na mashambulizi ya Israel hakuna nchi ya Kiislamu iliyothubutu kukemea unyanyasaji huyo kwa raia lakini 🇮🇷 imethubutu mara kadhaa kusema huenda ikaingia na kusababisha mzozo kuwa mkubwa zaidi.
Saudia iko wap na uwezo wake?
Qatar je kwann wasitoe hata vifaa?
Misri jirani kabisa lakini kimya?
Ni aibu kubwa sana kuona ndugu yako akionewa na ww huchujui hatua yeyote
Uislamu ni undugu undugu wao kwa Palestina uko wapi zaidi ya unafiki.
Mbona liko wazi ikiwa vitabu Vya vimeenea hukoHii kauli yako ndio waislam wa middle east wanaamini