mbinde
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 801
- 651
Hapa panafikirisha kidogo.Wewe unafikiri innovations zinazotumia akili kubwa huko marekani na ulaya zinafanywa na nani kama siyo waisreali wanaoishi huko, unafikiri wanawakumbatia kindezi............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa panafikirisha kidogo.Wewe unafikiri innovations zinazotumia akili kubwa huko marekani na ulaya zinafanywa na nani kama siyo waisreali wanaoishi huko, unafikiri wanawakumbatia kindezi............
Hata mm sijaongelea diniMimi siongelei mambo ya dini, bali uwezo wa kijeshi wa nchi ambayo iliwekewa vikwazo vya kijeshi miaka zaidi ya 50, lkn bado ni tishio kwa waliomuwekea vikwazo hivyo.
Kwahiyo hizo innovations zinafanywa na Mayahudi peke yao? Wao ni asilimia ngapi ya population ya Marekani? Acheni kudanganya watu. Wangekuwa wana akili kama mnavyosema wangekuwa ni taifa linalojitegemea badala ya kujibanza kwenye ubavu wa Marekani kijeshi na kiuchumi.Wewe unafikiri innovations zinazotumia akili kubwa huko marekani na ulaya zinafanywa na nani kama siyo waisreali wanaoishi huko, unafikiri wanawakumbatia kindezi............
Kwahiyo hizo innovations zinafanywa na Mayahudi peke yao? Wao ni asilimia ngapi ya population ya Marekani? Acheni kudanganya watu. Wangekuwa wana akili kama mnavyosema wangekuwa ni taifa linalojitegemea badala ya kujibanza kwenye ubavu wa Marekani kijeshi na kiuchumi.
Huu mtazamo ni wakikoloni. Nchi yoyote inayopoteza utamaduni wake, historia yake na dini yake ya asili inakuwa rahisi kutawaliwa.Iran ni nchi imara tena tajiri wa mali na utamadini.
Ila tatizo iran huenda ikajikanga kwa mafuta yake yenyewe kwa kujiwekea sera na itikadi isiyo na tija kiuchumi kwa wananchi wake.
Mapinduzi ya kidini yana faida gani? Badala ya kufanya mapinduzi ya kiuchumi yenye kufaidisha umma wao wanaua hadi wanawake kwa kutovaa hijab. Polisi wa maadili wanahangaika kusimamia watu waingie misikitini kusali. Sasa wakishasali inasaidia nini kiuchumi.
Kiuchumi iran wanaendeleza uchumi wa kibepari wanasema uislamu unaruhusu kulimbikiza mali kibepari.
Kwa hivyo iran haina sera ya kuona usawa na haki kwenye mgawanyo wa keki ya taifa.
Kwa kuwalazimisha wananchi kusali na wanawake kuvaa hijab ni mambo hayana faida yoyote na uchumi wao.
Siku si nyingi tutazamie mapinduzi ya kidini kusambaratika iran na pengine kurithiwa na mapinduzi ya kiuchumi kwa wavuja jasho kuchukua hatamu ya dola ili kupata uhuru wa nafsi zao na uhuru kiuchumi.
Mwenye akili kubwa anajitegemea siyo kumtegemea mtu. Israel inasavaivu kwa msaada wa Marekani na washirika wao. Kwanini hawajitegemei?Ukiwa na akili kubwa lazima utegemewe, maana wewe ndo unakuwa umebeba hatma, jawabu, suluhisho.......kilaza hawezi kutegemewa kwa namna yoyote ile. Isreal imesimama yenyewe kama taifa na bado inaendesha mambo kwenye nyanja mbalimbali kupitia mataifa makubwa hasa marekani, ulaya bila kusahau Urusi na ukraine wamejaa watu wenye asili ya kiyahudi.......tafuta maarifa uelewe.
sio kishabiki ila Israel kuingia ruksa kikubwa usiwe hatarish kwa usalama waoNafikiri hata na wa Iran ni vigumu kuingia Israel.
duh umeandika kinyume ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tatizo la wayahudi wa buza kila jambo linalohusu Iran au Palestina wao wanalichukulia kiimani ya dini, hata kama hakuna uhusian wowote kati ya dini na jambo husika.
kwann mnawapinga magharibi ilihali mnashinda vijiwenWashakuwa brainwashed...
Iran imeendelea kijeshi sio kimazingira , wadini mtahisi masema Israel ndo kumeendelea wkt sijaitaja hata Israel , hili ndo ttzo kubwa la team Kobaz a.k.a teamPutin ukiiponda Urusi wanahisi unaiunga mkono USA , nakutana nao weng mtandaon , ila hapa mmeandika kinyumeKweli mkuu, sisi tumeweka uhalisia, ila kuna watu wataugeuza uhalisia kuwa udini.
Mkuu kama hautojali, msome mwenzako katika post namb #48. Yeye ameshaingiza ukristo, biblia nk, na wakati thread niliyoandika haikutaja biblia, msahafu, Uktisto wala Uislam. Mko wengi humu mkuu wala hamjifichi katika kuonesha hisia zenu wazi wazi.Iran imeendelea kijeshi sio kimazingira , wadini mtahisi masema Israel ndo kumeendelea wkt sijaitaja hata Israel , hili ndo ttzo kubwa la team Kobaz a.k.a teamPutin ukiiponda Urusi wanahisi unaiunga mkono USA , nakutana nao weng mtandaon , ila hapa mmeandika kinyume
Pamoja mkuu.Umenena vema mkuu hata ikikitooea rais bora mwenye maono watataoa atawale miaka mitano ampishe mwingine asiye na uelekeo thats why waliumwa na vichwa waliposikia tetesi Magufuli anataka abaki madarakani....
Ni ukweli mchungu pia hata huu unaoitwa upinzani ni mbinu ya mabeberu kuleta mbambamba kwenye mataifa yetu thats why upinzani kwa afrika umefeuka kua fujo na mapambano dhidi ya serikali zinazotawala
Kikubwa ni kwamba wameya design haya iwa makusudi kabisa na wanajua kabisa kwamba mazingira yao s kama yakwetu wao nchi kwanza mambo mengine yatafuata
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
Hapa umebalance vizuri, shukran sana mkuu.Ebu niwe muungwana kidogo leo! Kongole kwa uchambuzi wako! ingawa uzi wako umejaa ushabiki na chumvi nyingi tofauti na uhalisia!! ingawa kwa upande mmoja umeeleza ukweli!!
Nianze na kuunga mkono!
-Ni kweli iran imeweza kustahimili vikwazo ingawa wananchi wake wanateseka na imepelekea kuwepo kwa biashara za magendo mipakani ambazo n dawa,vifaa,simu nk
-Iran ni taifa lenye watu wenye akili zaidi middle east kwa asili ni waajemi na si waarabu kama saudia,yemen ,oman au UAE
-Iran inauwezo mkubwa wa kijeshi licha ya vikwazo!! Lakini ni nchi ambayo hamna nchi ya kiarabu inaweza kushindana kijeshi hasa ukizingatia ni inatengeneza silaha zake yenyewe
UKOSOAJI!!
-Iran alikua mshirika mkubwa wa marekani zaidi hata ya saudia enzi za Iran monarch hivo ilikua inauziwa silaha nyingi kutoka marekani!!Nadhani ndo mwanzo wa kuwa imara kijeshi! kama unavoona sasa Saudia inauwezo mkubwa kijeshi kwa sababu ya ushirika wa kimkataba wa ulinzi wa US.Ni pale serikali ya kiislam ya irani ilipopindua serikali ya kifalme ya iran ndpo uhusiano na marekani ulipozorota na kuanza kwa vikwazo
-Drone za Iran si kwamba ndiyo ziko advanced zaidi ya drone zote hapana. wala si kwamba ni bora kuliko za Rusia hapana
Sababu pekee ambayo inafanya ziwe muhimu ni kutokana na
-Russia kushindwa kutengeneza drone nyingi kwa haraka ukilinganisha na mahitaji ya vita! ikumbukwe Russia imepoteza drone nyingi sana UKRAINE!
-Drone za Iran ni bei ndogo na zipo nyingi sana kiasi kwamba zinaendana na mahitaj ya vita
•Si kweli kwamba vikwazo vya marekani na washirika kwamba haviiumizi IRAN. Kuna kipindi vilitaka hata kuua Program ya nuclea!
wananchi wanaojarobu kuandamana wamekua waakikutana na mkono wa chuma
Tatizo lenu nyinyi mmeng'ang'ania kuamini mambo yalioandikwa kwenye vitabu na sio yale mnayoyaona au kuyatafakari wenyewe.Hao ni wale wa upande ule, wanajaribu kubishana na facts.....wanasema Isreal anasaidiwa na wazungu wakati kimsingi wazungu ndo wanamtegemea Isreli kwenye mambo yote yanayohitaji akili kubwa ikiwemo teknolojia za kijeshi, kiufupi Isreali anajilinda mwenyewe kwa kipawa chake cha akili, haijalishi anafanya hivyo kutokea ulaya au marekani.
😂😂😂😂 unachekesha sana mkuu.Wewe unafikiri innovations zinazotumia akili kubwa huko marekani na ulaya zinafanywa na nani kama siyo waisreali wanaoishi huko, unafikiri wanawakumbatia kindezi............
Haya ni mambo uliyoyasoma tu kwenye vitabu na wew ukakariri, sio yalio kwenye uhalisia.Ukiwa na akili kubwa lazima utegemewe, maana wewe ndo unakuwa umebeba hatma, jawabu, suluhisho.......kilaza hawezi kutegemewa kwa namna yoyote ile. Isreal imesimama yenyewe kama taifa na bado inaendesha mambo kwenye nyanja mbalimbali kupitia mataifa makubwa hasa marekani, ulaya bila kusahau Urusi na ukraine wamejaa watu wenye asili ya kiyahudi.......tafuta maarifa uelewe.