Iran ni nchi ya maajabu sana

Wewe unafikiri innovations zinazotumia akili kubwa huko marekani na ulaya zinafanywa na nani kama siyo waisreali wanaoishi huko, unafikiri wanawakumbatia kindezi............
Hapa panafikirisha kidogo.
 
Mimi siongelei mambo ya dini, bali uwezo wa kijeshi wa nchi ambayo iliwekewa vikwazo vya kijeshi miaka zaidi ya 50, lkn bado ni tishio kwa waliomuwekea vikwazo hivyo.
Hata mm sijaongelea dini
 
Wewe unafikiri innovations zinazotumia akili kubwa huko marekani na ulaya zinafanywa na nani kama siyo waisreali wanaoishi huko, unafikiri wanawakumbatia kindezi............
Kwahiyo hizo innovations zinafanywa na Mayahudi peke yao? Wao ni asilimia ngapi ya population ya Marekani? Acheni kudanganya watu. Wangekuwa wana akili kama mnavyosema wangekuwa ni taifa linalojitegemea badala ya kujibanza kwenye ubavu wa Marekani kijeshi na kiuchumi.
 
Ukiwa na akili kubwa lazima utegemewe, maana wewe ndo unakuwa umebeba hatma, jawabu, suluhisho.......kilaza hawezi kutegemewa kwa namna yoyote ile. Isreal imesimama yenyewe kama taifa na bado inaendesha mambo kwenye nyanja mbalimbali kupitia mataifa makubwa hasa marekani, ulaya bila kusahau Urusi na ukraine wamejaa watu wenye asili ya kiyahudi.......tafuta maarifa uelewe.​
 
Huu mtazamo ni wakikoloni. Nchi yoyote inayopoteza utamaduni wake, historia yake na dini yake ya asili inakuwa rahisi kutawaliwa.
 
Mwenye akili kubwa anajitegemea siyo kumtegemea mtu. Israel inasavaivu kwa msaada wa Marekani na washirika wao. Kwanini hawajitegemei?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tatizo la wayahudi wa buza kila jambo linalohusu Iran au Palestina wao wanalichukulia kiimani ya dini, hata kama hakuna uhusian wowote kati ya dini na jambo husika.
duh umeandika kinyume ?
 
Kweli mkuu, sisi tumeweka uhalisia, ila kuna watu wataugeuza uhalisia kuwa udini.
Iran imeendelea kijeshi sio kimazingira , wadini mtahisi masema Israel ndo kumeendelea wkt sijaitaja hata Israel , hili ndo ttzo kubwa la team Kobaz a.k.a teamPutin ukiiponda Urusi wanahisi unaiunga mkono USA , nakutana nao weng mtandaon , ila hapa mmeandika kinyume
 
Mkuu kama hautojali, msome mwenzako katika post namb #48. Yeye ameshaingiza ukristo, biblia nk, na wakati thread niliyoandika haikutaja biblia, msahafu, Uktisto wala Uislam. Mko wengi humu mkuu wala hamjifichi katika kuonesha hisia zenu wazi wazi.

Afu kingine Iran ni adui hata wa nchi nyingi tu za kiislam kama Saudia, Oman, Kuwait, Falme za Kiarabu nk.

Kwahiyo hapa hatuzungumzii uislam, ukristo, u warab, uyahudi, uzungu wala uajemi.
Mada ni jinsi gani Iran imeweza kujisimamia yenyew bila kutetereka licha ya kuishi kwenye vikwazo kwa zaidi ya miaka 50 na ushee.

Silaha zake zimeleta maangamizi na kuonesha mafanikio makubwa zaidi ya zile alizokuwa anatumia Russia huko Ukraine ambayo (Russia) haina vikwazo vyovyote vya kutengeneza silaha.
Hii imewashangaza wengi wakiwemo wazungu wenyewe na wayahudi.

Hii ni sawa na kumfungia mtoto wako ndani (magharibi kuiwekea vikwazo Iran) Afu jioni unarudi kazini unamkuta mtoto wako (Iran) akiwa maskani na watoto wenzake wakipiga story huku ukiwa umekuta mlango wako ulioacha umemfungia ndan haujabomolewa.

Ni lazima utashangaa akili kubwa na uwezo aliotumia mwanao kutoka nje bila kuvunja mlango.
Ndo wanavyoshangaa wenzako, pamoja na vikwazo kuwepo lkn bado nchi hiyo imeendelea kujisimamia tofauti na kina Cuba, Venezuela na wenzao ambao vikwazo kidogo tu vya kiuchumi (sio vya jeshi) wakakimbilia kuomba poo kwa Mmarekani.
Iran hajawahi kuomba poo na kila Mmarekan akisogeza meli za kipelelezi na ndege zake zisizo na ruban anazitia kibiriti. Haogopi kama waogopavyo wengine.
 
Pamoja mkuu.
 
Hapa umebalance vizuri, shukran sana mkuu.
 
Tatizo lenu nyinyi mmeng'ang'ania kuamini mambo yalioandikwa kwenye vitabu na sio yale mnayoyaona au kuyatafakari wenyewe.

1) Wa Israel wangekuwa na akili unayosema wasingefanywa watumwa huko Misri (Afrika)

2) Wa Israel wangekuwa na akili wasingeruhusu warumi waingie katika nchi yao na kufanya waliyoyafanya. Kumbuka warumi asili yao ni ulaya. Sasa kama unaamini nchi za ulaya zinaitegemea Israel ilikuje anaetegemewa (Israel) atawaliwe na anaemtegemea (mzungu) hii inaingia akilini kweli?

Wa israel wangekuwa na akili unayosema wasingeangamizwa na Hitler Mzungu tena ni miaka 50 au 70 tu iliyopita, wakati wazungu wameanza kuitawala dunia au sehem kubwa ya dunia miaka zaidi ya elfu iliyopita.

SWALI LA MWISHO:

Kama Israel inategemewa na wazungu inakuaje nchi za wazungu ndio zenye nguvu za kijeshi, uchumi mkubwa na maendeleo ya kiteknolojia zaidi ya Israel yenyewe?

Yan nchi yenye wataalam bado inategemea msaada wa kifedha na kijeshi kutoka kwa wale inaowasaidia, hii inaingia akilini kweli?

Sawa vitabu vya dini tusome lkn na akili zetu pia tuzitumie kufanya tasmini ili kujua ukweli wa mambo.

Israel ingekuwa na sifa hizo unazozisema hapa. Basi leo ndio ingekuwa nchi ya kwanza kiuchumi, kijeshi na kiteknolojia, ila kwa vile hawana sifa hizo mlizomezeshwa ndo maana leo iko nyuma hata ya China.

Acheni kuweka mambo ya dini kwenye mambo muhimu.
 

Attachments

  • Screenshot_20221024-214325.jpg
    68.1 KB · Views: 7
Wewe unafikiri innovations zinazotumia akili kubwa huko marekani na ulaya zinafanywa na nani kama siyo waisreali wanaoishi huko, unafikiri wanawakumbatia kindezi............
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unachekesha sana mkuu.

Yani waisarel waende wakafanye mambo hayo huko ulaya na marekani, huku nchi yao wenyewe ikiwa inahitaji msaada wa kiuchumi na kijeshi kutoka katika hizo nchi ulizotaja?
Hakika unachekesha na kushangaza sana aisee.
 
Haya ni mambo uliyoyasoma tu kwenye vitabu na wew ukakariri, sio yalio kwenye uhalisia.
Nchi inayotegemewa duniani haiko hata kwenye nchi 10 zenye uchumi mkubwa duniani.
Nchi inayotegemewa duniani haiko hata kwenye 5 bora ya nchi zenye nguvu kijeshi.
So what kind of joke are you try to joke here bro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…