Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuna tofauti ya msaada wa kijeshi na kufadhili ugaidi. Iran iko zaidi kwenye kufadhili vikundi vya ugaidi katika nchi mbalimbali.
Hilo liko wazi mkuu hata wayahudi wa buza wanalifahamu.
Bila huruma ya magharibi na msaada wa Marekani kamwe hawawezi kuwa na visalaha walivyonavyo.
Iran ni jeshi la mtu mmoja. Haihitaji msaada wa mtu yeyote kujijenga na kujisimamia, sana sana yenyewe ndio unatoa msaada wa kijeshi kwa nchi kama vile Rassia, Syria, hezbullah, wale waasi wa kule Yemen nk. Tena hapo ikiwa chini ya vikwazo vikali vya kiuchumi na kijeshi kwa zaidi ya miaka 50.
Je isingewekewa vikwazo hivyo vya kiuchumi na kijeshi miaka hiyo 50 iliyopita leo hii ingekuwa wapi?