IRAN: Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran ya kulipiza kisasi

Kwa hiyo unadhani Israel imeua wanajeshi 2 wa irani kwa kuwavizia kama inavyofanya hamas na Hezbollah?

Israel imepiga tagerts za kijeshi ambazo Iran hawezi kuonesha zilivyoharibiwa
 
We dogo uko wapi dunia nzima inajua wazi ndege za US na Israel zilishia nje ya mpaka wa Iran. hawakusubutu kusogeza pua zao Iran.
 
Bila ushahidi hapa mkuu unapoteza muda wako kujieleza. Tunataka tuone moto ukiwaka Tehran kama tulivyoona Tel Aviv. Iran imesema radar zimeharibiwa na Air defense kwa minimal damage. Sasa nyie hayo mnayotueleza bila ushahidi tutaamini vipi ikizingatiwa tumeona Iran akiyatungua makombora ya Israel na marekani hewani ?
 
Kwa hiyo unadhani Israel imeua wanajeshi 2 wa irani kwa kuwavizia kama inavyofanya hamas na Hezbollah?

Israel imepiga tagerts za kijeshi ambazo Iran hawezi kuonesha zilivyoharibiwa
Taarifa ya kuuliwa hao wanajeshi imetolewa na Iran na wasingesema tusingejua chochote. Mimi nauliza mbona Iran walipoipiga Israel tuliona milipuko Tel Aviv kwanini wakati Israeli na marekani wanaipiga Iran hakuna milipuko ya moto au yalikua yanalipuka hewani?
 
Iran sasa wanamfanya shetanyau asitoke pangoni.
Israel wamesambaratisha air defence system za iran kabisa, sasaivi iran akirusha chochote ndege zitakuja na kupiga na hataziona kabisa kabisa. Myahudi kasababisha madhara makubwa sana Iran, syria na Iraq ndani ya masaa mawili, ukiona israel inasema imeshamaliza retaliation, jua anafahamu alichokifanya kimeleta maumivu. sasaivi hata bongo tukitaka tunaenda na kurudi iran hakuna atakayetuona, manake air defence system na rada zao wamefyekelea mbali.
 
Tumia akili wewe mfuasi wa Zumaridi.

Ingekuwa kweli shambulizi limeathiri mifumo ya ulinzi ya Iran pamoja na radar zote basi ingekuwa fursa nzuri kwa Mazayuni na Marekani kuishambulia Iran ili kuimaliza kabisa.

Yaani jinsi Iran anavyowanyima usingizi Israel na ulaya yote halafu wapate fursa adhimu kama hiyo waache kuitumia ili kumaliza kazi kabisa?

Hivi nyie huwa mnatumia nini kufikiri? Hata akili ya kawaida tu huna ya kung'amua mambo madogo kama haya?
 
kwa hiyo unawapinga wairan, wewe mtu wa mbagala? manake serikali ya iran imekiri kupigwa na imesema italipiza kisasi.
 
Yaani laiti Israel na Marekani wangefanikiwa kuhujumu miundombinu ya kijeshi ya Iran hata kwa asilimia 20 tu basi sahizi Iran ingekuwa inashambuliwa mfululizo ili kuimaliza kabisa.

Lakini kwakuwa ukweli ni kwamba hakuna madhara yaliyotokea ndiyo maana unaona Israel na Marekani wameingiwa ubaridi wanafikiria majibu ya Iran yatakuwaje this time.
 
Aaah mkuu usitudanganye bana video tumeona makombora ya Israel yakiwa intercepted.
Sasa kama mifumo ya anga ya Iran imeshambaratishwa Iran ilikua inadungua makombora ya Israel kutumia nini!??
 
ndoto zingine shida sana mtu anakula ugali wa dona mchana mpaa kakosa pumzi, afu anaota usiku eti kala ugali 😄
 
wamefanya hivyo. miundo mbinu yenyewe wala si ya kutisha sana, anachoringia iran ni vitu viwili tu, (1) nuclear facility ambayo ukipiga tu italeta madhara kwa raia wa Iran na israel au amrekani watalaumiwa milele (2) kiwanda cha kuzalisha mafuta kwenye kile kisiwa chao ambacho ukipiga tu mafuta yatasambaa baharini na bahari itachafuka, kwa wana mazingira hiyo itakuwa msala mkubwa sana.

inajulikana IRAN ana mahandaki ya kuhifadhia siala chini ya ardhi, lakini hata uwe na silaha namna gani kama air defence system yako ni mbovu, wenzio watakuja na ndege watakupiga na hautawaona. utasoma namba tu. Israel kasambaratisha air defence systems hata zile Mrusi alipeleka IRan zimefyekwa, sasaivi iran yupo uchi kabisa, Israel inaweza kumpiga ipendavyo na hatajua kama kuna ndege zinakuja wala zinatokea wapi.
 
Mkuu uongo huwa haukufai.
Tumeona video Iran iki dungua yale mashambulizi.
Pia Iran ilisema kitendo chochote cha Israel kushambulia Iran iwe kimefeli ama kufaulu kitajibiwa.
 
Aaah mkuu usitudanganye bana video tumeona makombora ya Israel yakiwa intercepted.
Sasa kama mifumo ya anga ya Iran imeshambaratishwa Iran ilikua inadungua makombora ya Israel kutumia nini!??
vile vilikuwa vinalipuka milipuko midogo? pole sana, unaambiwa zile sasa sio zile land to air defences, walikuwa wanarusha artilary na wengine walitumia hadi bunduki kujaribu kudungua. ndege 100 zilienda na zote zimerudi hakuna hata iliyopata mkwaruzo. Ukisema uliona iran inadungua makombora unakosea, kwa sababu Israel alienda na ndege hadi iran, hakurusha makombora. vile ulivyoviona walikuwa wanahangaika tu hao wairan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…