Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Jana kishindo cha myahudi kimepandisha sukari ya ayatollahndugu yangu, tumwombee tu ayatolah apone, manake hali yake huko ni mbaya.
View: https://x.com/Osint613/status/1850265117155324118/photo/1
Wameshindwa kuziona ndege wameishia kusema haIjaibgia anga lao hahaha Hagari amesema ndege tena wanawake wameendesha zilikuwa free anga la Iran... tatizo wameduwazwa pigo la kwanza usiku lilikuwa shabaha kwa Air defense then asubuhi ndege zikaanza kufyatua viwanda vya jeshi freelyNdege za Israel na marekani hazijaingia katika airspace ya Iran zimeshambulia km 100 kutoka border ya Iran na Iraq. Taarifa rasmi ya jeshi la Iran jioni hiiView attachment 3136112
Kitisho kimetolewa akiwa Lebanon? Trailer ya jana Iran harushi kitu.. huwezi ishi bila Air defense systemWanaukumbi.
Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran.
Operesheni True Promise III inakuja hivi karibuni.
Iran, wamesema wazi lazima walipize kisasi wana haki ya kujilinda kama taifa kamwe hawezi kukubali na wako tayari kwa vita virefu.
View: https://x.com/timesof_lebanon/status/1850231493710262737?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Mwamba namkubali sana. Anajua kuadabisha magaidi hapo Middle East
Hezbollah washaqnza kuibamiza airbase ya mazayuni ndani telaviv:
Siyo mazayuni ndiyo nagaidi namba moja duniani?Mwamba namkubali sana. Anajua kuadabisha magaidi hapo Middle East
Magaidi ni wale wanaouwa watu kikatili huku wanaimba mungu mkubwaSiyo mazayuni ndiyo nagaidi namba moja duniani?
Tuoneshe picha za video bila ushahidi unajisumbua bure kutoa maelezo mkuu hautaaminika.Wameshindwa kuziona ndege wameishia kusema haIjaibgia anga lao hahaha Hagari amesema ndege tena wanawake wameendesha zilikuwa free anga la Iran... tatizo wameduwazwa pigo la kwanza usiku lilikuwa shabaha kwa Air defense then asubuhi ndege zikaanza kufyatua viwanda vya jeshi freely
Bila ushahidi wa video hatuamini unanijisumbua Bure kutoa maelezo.Kipigo ni kipigo tu haijalishi mpigaji amekaa angle gani
Platinum member kabisa.Ndege 100 zimepenya hapo Tehran mana yake zimepita nchi yote "undetectable".
Yani mtu atume ndege 100 toka Entebbe zipite Kagera mpaka Sumbawanga na zirudi Entebbe bila kuonekana.
Israel imetuma ujumbe mzuri kwamba panaweza geuzwa majivu hapo Tehran na kuchoma kobazi zote hapo. 😁
Hawezi kitu muajemi, Israel alitaka kujua strength ya Iran, sasa kaijua kuwa Iran iko vizuri, sasa kifuatacho ITV tutaona B-2 bombers za mmarekani zikicheza singeli Iran.. 🤣Wanaukumbi.
Tel Aviv iwe tayari tena kwa makombora ya Iran.
Operesheni True Promise III inakuja hivi karibuni.
Iran, wamesema wazi lazima walipize kisasi wana haki ya kujilinda kama taifa kamwe hawezi kukubali na wako tayari kwa vita virefu.
View: https://x.com/timesof_lebanon/status/1850231493710262737?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ni jambo jema. Watu warudi kwenye hekima.Ayatollah amechimbaa! Ameona mziki mzito wa F35 lightning akaamua akimbize mbawa zake
Kenge mimi au wewe!?Wewe kenge kweli. Kwanza wanajeshi waliokufa ni wanne. Pili Israel imepiga awamu 3 halafu usisahau Iraq na Iran kwa wakat mmoja walifunga anga lao. Na so ndani ya awamu tatu ushindwe kwenda kurusha hata ndege moja kwenda kupambana na adui? Ndege zenyewe pilot. Mademu
Hajui huyo! Tena kuna mmoja mbichi kabisa hata 25 hakufikisha alipelekwa Afrika ya Kusini kwa training.Kenge mimi au wewe!?
Ushasahau kama Iraq kuna kambi za kijeshi za USA!?
Hizo kambi za USA ndani ya Iraq ndizo zimetumika ku facilitate hilo shambulio.
Ngojea nitaenda kuhakiki kama ni wanne ila taarifa nilosoma inasema wawili.
Pilot kuwa demu hoja!?
Mbona Tanzania ina pilot wa fighter jets mademu tena wengi tu na wanazirushaga hizo ndege!??
Hoja zako dhaifu kiasi hiki!??
Wamewekwa hapo lazima wayahudi watetewe kwa gharama yoyote hatakama ni kujitoa akiliCha kushangaza kila Israel ikiipiga Iran utaona viongozi wa USA na west wanaanza kutoa warning kuwa Iran isilipize dunia haitaki escalation. Yani escalation ni Iran kujibu lakini sio Israel ikichokoza.
Hawa west watakuwa wamenyweshwa mvinyo na Israel sio bure
uzuri Iran hasikilizagi upuuzi wao
Ni chuki zaidi na roho mbayaWaafrika wamebase kwenye udini 😃
Mbona kama naona ni wewe ndiye unajifariji, utakuwa na wewe ni wale wavaa kobazi mliopata kichapo. Pole sana lakini mliyataka wenyeweUnajiliwaza😂