Safari hii am a unafik tenaWanakumbi.
MPYA:
๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑ Iran katika Umoja wa Mataifa:
"Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"
Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon, basi chaguzi zote zitakuwa mezani ikiwa ni pamoja na kuhusika kwa pande zote katika mhimili wa muqawama.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1807016405834912086?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
walisema hivyo hivyo kwa wapelestina, leo wamewaacha wanateseka peke yako. Laana iwashukie waajemiWanakumbi.
MPYA:
๐ฎ๐ท๐ฎ๐ฑ Iran katika Umoja wa Mataifa:
"Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"
Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon, basi chaguzi zote zitakuwa mezani ikiwa ni pamoja na kuhusika kwa pande zote katika mhimili wa muqawama.
View: https://x.com/megatron_ron/status/1807016405834912086?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Lini walisema?walisema hivyo hivyo kwa wapelestina, leo wamewaacha wanateseka peke yako. Laana iwashukie waajemi
Kiumbe gani?Ukisoma historia ya mwisho wa dunia hii vita naona sio poa kabisa. Kuna kilala dalili ya yule kiumbe anakuja kutaka kufanya yake.
Acha sie tusio amini dini za majahazi tuangalie mtanangeUkisoma historia ya mwisho wa dunia hii vita naona sio poa kabisa. Kuna kilala dalili ya yule kiumbe anakuja kutaka kufanya yake.