Iran wamewaambia UN iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

Ukisoma historia ya mwisho wa dunia hii vita naona sio poa kabisa. Kuna kilala dalili ya yule kiumbe anakuja kutaka kufanya yake.
Ni kawaida watu waliovamia maeneo ya watu hujidhatiti kwa kila hali ili waonekane wana haiki ..hii vita kama ya hamasi ni kama imetibua kila kitu kwa Israeli
 
Iran wameamua kuwa wakristo hadi waseme ukweli? This is kawaida yao... tujuavyo yupo vitani tokea October 7 sasa vitisho vya nini wakati tayari wapo vitani... wanawachuuza waarabu wanajua ni wajinga sakizio sakiza tu
Toka lini mkristo akawa mkweli!??
Ona hili jamaa!!
Iran hakuwahi kwenda kinyume na ahadi zake,au mmeshasahau Iran ndio baba wa AXIS OF RESISTENCE hapo mashariki ya kati!!??
 
Mwarabu sio wa kumdhamini utajikuta peke yako. MWARABU anashika nafasi ya pili kwa Unafiki. Namba moja inakamatwa na Mzee Baba MTU MWEUSI.
Iran ni MUAJEMI sio MUARABU.
Iran ndio taifa linalohofiwa kwa usalama wa Israel hapo mashariki ya kati.
-Hizbollah iko chini ya Iran.
-Houthi iko chini ya Iran.
Na Iran ni baba wa AXIS of RESISTENCE,makundi ya wapiganaji takriban yote yanafadhiliwa kisilaha na kifedha na Iran.
 
Wanakumbi.

MPYA:

🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa:

"Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon, basi chaguzi zote zitakuwa mezani ikiwa ni pamoja na kuhusika kwa pande zote katika mhimili wa muqawama.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1807016405834912086?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Waislamu gani hao watakaoenda huko Lebanon? Tuache ushabiki. Vita inaleta shida nyingi na dhiki kuliko haya maneno mengi yasiyo tekelezeka
Iran akienda na mataifa mengine yote ya kiarabu, itakuwa ndio mwisho wa Israel. Na haitakaa kutokea.
Zipo nchi kadhaa za kiarabu ambazo ni marafiki wa wazi au wa siri wa Israel.
What matters in the Islamic world ni either wewe ni Shia au Suni. Mengine sisi wapiga kahawa wa mitandaoni tunajichangamsha
 
Iran amebaki anabwekabweka kama mbwa koko, ametutia aibu sana muajemi huyu. Hamuoni nduguye Kim anachokifanya
Mkuu kipindi wewe unasema hivyo huko Lebanon wanapishana viongozi wa US kutuliza hali isiwe mbaya.
Tokea Iran irushe makombora directly toka Iran kuingia ndani ya ardhi ya Israel USA na Israel wenyewe wanajua kuwa Iran akiongea hatanii.
Haikupatapotokea Iran kushambulia directly Israel ila toka itokee mwaka huu threat imeongezeka.
Tupo hapa tutaona,hao waajemi huwa wanaongea kama utani hivi.
 
Moto mnao tembezewa daily uko Rafah hauoni au ndo ushazoea kwa kua mzee upo jehanamu kwa sasa!!
Rafah kumbe ipo Lebanon siku hizi!?
Umeanza kudata sio kosa lako,ila wacha nikueleweshe.
Hizbollah imeanza kushambulia kaskazini kwa Israel tokea mwaka jana Oktoba ila mpaka leo Israel hajavamia Lebanon.
Anasubiri nini!??
 
Wanakumbi.ao
H

Wanakumbi.

MPYA:

🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa:

"Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon, basi chaguzi zote zitakuwa mezani ikiwa ni pamoja na kuhusika kwa pande zote katika mhimili wa muqawama.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1807016405834912086?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Hao hao Hizbollah tu wanatoka kwa Israel, Israel hamna kitu zilikuwa sifa tu wanaauwa na raia na kuangusha majengo ya raia tu vita wameshindwa ata ni Hamas tu
 
Iran amebaki anabwekabweka kama mbwa koko, ametutia aibu sana muajemi huyu. Hamuoni nduguye Kim anachokifanya
BREAKING:

9 Israeli soldiers wounded, 3 in serious condition, in a Hezbollah drone strike on an Israeli army base in Golan.

A military helicopter landed at Rambam Hospital in Haifa with those casualties.
 
Waislamu gani hao watakaoenda huko Lebanon? Tuache ushabiki. Vita inaleta shida nyingi na dhiki kuliko haya maneno mengi yasiyo tekelezeka
Iran akienda na mataifa mengine yote ya kiarabu, itakuwa ndio mwisho wa Israel. Na haitakaa kutokea.
Zipo nchi kadhaa za kiarabu ambazo ni marafiki wa wazi au wa siri wa Israel.
What matters in the Islamic world ni either wewe ni Shia au Suni. Mengine sisi wapiga kahawa wa mitandaoni tunajichangamsha

View: https://x.com/naziakhan455/status/1807073992680845688?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Iran ni MUAJEMI sio MUARABU.
Iran ndio taifa linalohofiwa kwa usalama wa Israel hapo mashariki ya kati.
-Hizbollah iko chini ya Iran.
-Houthi iko chini ya Iran.
Na Iran ni baba wa AXIS of RESISTENCE,makundi ya wapiganaji takriban yote yanafadhiliwa kisilaha na kifedha na Iran.
Netanyahu hawezi kutamka maneno 10 bila kuitaja irani ..huwa anateseka sana kwa kweli
 
Toka lini mkristo akawa mkweli!??
Ona hili jamaa!!
Iran hakuwahi kwenda kinyume na ahadi zake,au mmeshasahau Iran ndio baba wa AXIS OF RESISTENCE hapo mashariki ya kati!!??
Iran ni baba wa ugaidi duniani. His days are numbered
 
Wanakumbi.

MPYA:

🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa:

"Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon, basi chaguzi zote zitakuwa mezani ikiwa ni pamoja na kuhusika kwa pande zote katika mhimili wa muqawama.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1807016405834912086?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hawata sogea hao kule Gaxa leo wanakuambia kuimaliza Hamasi inataka miaka miwili.

View: https://x.com/amansouraja/status/1807029309691117631?t=nF06jBPlZPvqW-WUPvenuw&s=19
 
Back
Top Bottom