Iran wamewaambia UN iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

Iran anazungumza vile sababu kuna tetesi America, UK, France, Egypt. UAE, Jodan, Baharain na Saud Arabia ndio watakao pigana na Hezbullah sio Israel

Israel hana jeshi wengi wao wameusha uliwa huko Gaza na wengine wamekimbia
 
Waislamu gani hao watakaoenda huko Lebanon? Tuache ushabiki. Vita inaleta shida nyingi na dhiki kuliko haya maneno mengi yasiyo tekelezeka
Iran akienda na mataifa mengine yote ya kiarabu, itakuwa ndio mwisho wa Israel. Na haitakaa kutokea.
Zipo nchi kadhaa za kiarabu ambazo ni marafiki wa wazi au wa siri wa Israel.
What matters in the Islamic world ni either wewe ni Shia au Suni. Mengine sisi wapiga kahawa wa mitandaoni tunajichangamsha
Ushia na usunni ushawekwa pembeni katika jambo la kupigania amani ya middle east.
Kafuatilie vikao vya peace summit mwaka jana pale Cairo.
Sasa hivi wenzako wanatazama geopolitical interests hivyo madhehebu yamewekwa kando.
Pia urafiki wa mataifa ya kiarabu na Israel/USA ni kama ya kulazimishwa Yani ni ule urafiki wa sina budi.
Na hapo middle east Iran ndio inatizamwa kama mkombozi kijeshi,waarabu waoga kuingia vitani wasije kuharibu uchumi wao,ila akitokea chambo(Hizbollah,Houthi) watamtumia.
Ila sasa hivi wao wamekaa kisiasa zaidi kwenye kujikomboa hapo middle east.
Unadhani hawajui kilichotokea Iraq enzi za Hussein Saddam kwa kuwa na ushirika na USA na Israel!!??
 
Wanakumbi.

MPYA:

🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa:

"Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"

Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon, basi chaguzi zote zitakuwa mezani ikiwa ni pamoja na kuhusika kwa pande zote katika mhimili wa muqawama.

View: https://x.com/megatron_ron/status/1807016405834912086?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Sijawahinkuaninterested na hii vita sijui kwanini
 
Iran anazungumza vile sababu kuna tetesi America, UK, France, Egypt. UAE, Jodan, Baharain na Saud Arabia ndio watakao pigana na Hezbullah sio Israel

Israel hana jeshi wengi wao wameusha uliwa huko Gaza na wengine wamekimbia
Kwa ground battle hao jamaa sina mashaka nao hawawezi kuniangusha.
Iran katika medani ya vita wako njema show anaweza isimamia tena sana tu.
Akiwashtua na Houthi kazi imeisha asubuhi mapeemaaa.
 
Ushia na usunni ushawekwa pembeni katika jambo la kupigania amani ya middle east.
Kafuatilie vikao vya peace summit mwaka jana pale Cairo.
Sasa hivi wenzako wanatazama geopolitical interests hivyo madhehebu yamewekwa kando.
Pia urafiki wa mataifa ya kiarabu na Israel/USA ni kama ya kulazimishwa Yani ni ule urafiki wa sina budi.
Na hapo middle east Iran ndio inatizamwa kama mkombozi kijeshi,waarabu waoga kuingia vitani wasije kuharibu uchumi wao,ila akitokea chambo(Hizbollah,Houthi) watamtumia.
Ila sasa hivi wao wamekaa kisiasa zaidi kwenye kujikomboa hapo middle east.
Unadhani hawajui kilichotokea Iraq enzi za Hussein Saddam kwa kuwa na ushirika na USA na Israel!!??

Muda utaongea yote. Sisi wa huku kina maamuma tunaongea maneno mengi na kusema kweli mengi hatuyajui. Ujuaji tu
 
Back
Top Bottom